madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Siku 60 za Rais Samia madarakani: Tunakushukuru sana kwa uongozi wako makini, hakika umerejesha tumaini na furaha

    Mheshimiwa Rais. Awali ya yote nakutakia Amani ya Mwenyezi Mungu BWANA wa Majeshi na Nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipende kuchukua fursa hii kukupongeza kwa uchapakazi makini, kwa uongozi thabiti na serikali inayosikia na kuzingatia maoni, matakwa na maslahi ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Tanzania huandika vitabu wakishastaafu na marais wa Marekani huandika wakiwa madarakani?

    Kwanini Marais wa Tanzania [emoji1241] huandika vitabu mara tu baada ya kustaafu, tofauti na Maraisi wa Marekani ambao huandika Vitabu kabla ya kuukwaa Uraisi. Hii picha inakufundisha nini?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwani Kikwete anasemaje kuhusu Masheikh wa Uhamsho?Hakuna jambo alielekeza wakati akiwa madarakani?

    Mashekhe wa Uhamsho wamekaa ndani kwa tawala za Marais watatu mfulululizo. Lakini taasisi ya urais urithishana baadhi ya mambo. Mfano Jk alimwekea ngumu Babu Sea lakini JPM alipoingia akamwachia. Jpm ALIKUWA na kesi nyingi za uhujumu uchumi ambazo Rais aliyepo Sasa anaona nyingi hazikuwa na...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Kama ni gari ya chini kwa Mzee Mwinyi, kwanini isiwe IST au Fun Cargo za bei rahisi?

    Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu...
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

    Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa. JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Majanga na Trauma zilizotokea awamu ya tano ikiwa madarakani

    Janga la kisiasa (Hatukupata vipaji vipya vya kisiasa) Bunge kuzimika laivu Ajari ya treni kule Dodoma Tetemeko la Kagera Mauaji MKIRU (Ikwiriri na Kibiti) na mikoa ya kusini Ajari ya kivuko Ukara (ukerewe) Kundi la nzige huko kaskazini Mlima Kilimanjaro kuwaka moto Isabella kuleta Corona Vifo...
  7. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu; Nitaongeza mishahara kabla sijaondoka madarakani-Rais Magufuli

    KUMBUKUMBU;NITAONGEZA MISHAHARA KABLA SIJAONDOKA MADARAKANI-RAIS MAGUFULI. Matumaini ya wafanyakazi ya kusikia habari njema za kuongezewa mishahara yaliota mbawa baada ya Rais Dk John Magufuli kusema atatekeleza ahadi hiyo kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi, hata hivyo, hakuweka bayana ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuiondoa CCM madarakani ni rahisi kuliko wakati wowote ule, tuanze kujipanga

    Chawa wa Taifa hili CCM 2025 kama wakitaka wasitake wanaondoka na tutawabanja kikwelikweli, na wito wanaoikataa CCM waikatae kuanzia sasa,kama upo CCM basi huko hakukufai hama na mapema,mambo ya kudandia mmeyaona,Nyarandu kawekwa pembeni,Membe kamembuka eti leo ndio wamejua kama nyimbo...
  9. mfianchi

    JamiiForums Tanzania Je, katiba inasemaje kuhusu ukomo wa Raisi kuongoza kwa hali ya sasa, je raisi tuliyenae atakuwa madarakani kwa miaka mingapi?

    Nina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani, kwani katiba inasema atashika madaraka mfululizo kwa miaka kumi itawapo atachaguliwa. Kwa hivyo basi je raisi tuliyenae sasa anaweza...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia naifananisha na ile ya Mzee Kikwete alivyoingia madarakani

    Wakati Mhe. Rais kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005, alitoa hotuba safi sana, ambayo kweli tulikuwa na matumaini ya kuwa na Tanzania mpya, na yenye maendeleo ya kasi. Aliongelea mambo mengi ikiwepo uwekezaji, na kujali wawekezaji, kweli milango ilifunguliwa tulipata wawekezaji wa kila...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waasi nchini Chad watishia kumng'oa madarakani mtoto wa Rais Deby aliyeuawa katika mapigano na waasi

    Waasi nchini Chad wametishia kumng'oa madarakani mtoto wa Rais aliyeuawa baada ya kuteuliwa kuwa kiongozi wa mpito nchini humo. Kundi la waasi ambalo jeshi limelilaumu kwa mauaji ya Rais Idriss Deby Itno, limesema kuwa wapiganaji wake wanaelekea katika mji mkuu wa N'Djamena wakati huu. Waasi...
  12. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Baada ya muhula huu, Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa kushika kiti hicho mara moja

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na marekebisho yake yote, baada ya mhula huu mfupi wa urais wake wa kurithi kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 37(5), Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa tena kwa mhula mwingine mmoja. Ibara ya 40(4) ambayo ndiyo inahusika...
  13. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina mheshimu Rais aliyeko madarakani usimpangie ya kutekeleza, usilazimishe Legacy,utawala siyo sawa na mirathi

    Wewe ulikuwa Waziri wa Mifugo, ukafanya yako tukakuona. Tuambie uliyemkabidhi ofisi, anafuata yako au anatekeleza yake kwa mujibu wa Katiba?. Kushinikiza na kutaka ya mtu fulani yaendelezwe ni kumuona aliyeko hana dira na ni kama umemdharau. Mzee Mwinyi na Hayati Benjamin walilelewa na Hayati...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Somalia yakosoa vitisho vya nje baada ya Rais kuongezewa miaka miwili madarakani

    Nchi hiyo inawatuhumu baadhi ya washirika wake kwa nje kwa wake kudhoofisha Uhuru wake baada ya Serikali kutishiwa na vikwazo kufuatia uamuzi wa kuongeza mamlaka ya Rais kwa miaka miwili. Washirika muhimu wa kigeni wamekemea uamuzi huo wakisema kumuongezea muda Rais Mohamed Abdullahi unatishia...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rais wa Somalia asaini Sheria kuongeza miaka miwili madarakani

    Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed amesaini Sheria Tata inayoongeza mamlaka yake kwa miaka miwili, huku hatua hiyo ikipingwa vikali na Wafadhili. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Serikali na Waziri wa Habari, Osman A Dubbe Rais amesaini Sheria hiyo ambayo ilipitishwa na Bunge. Hata...
  16. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Bila CCM kutoka madarakani hatuwezi piga hatua ya maendeleo ya kuonekana

    Habari wakuu. Mimi nimetafakari sana kuhusu jinsi mambo yanavyokwenda hapa kwetu. Yaani unaweza kupata hasira hawa jamaa hatua waliyofikia ni mbaya sana. Kwanza wamejua hawapendwi na uchaguzi bila kutumia nguvu ya dola hawashindi. Pili wanawaza mambo ya kuwakomoa watu kuwalit uhuru awamu hii...
  17. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Ifikie mahali utawala uliopo madarakani utambue haya

    1. Lengo la kukabidhiwa dola sio kufanya maisha yetu kuwa magumu kwa makusudi. 2. Hii nchi ni yetu sote, kuwa katika nafasi mlizopo ni kwa mchango mkubwa wa raia ambao mmeamua kuwafanya wanyonge makusudi. Kweli muamue tu kuvuruga mitandao ya simu kwa kuwa mmejiskia tu kuumiza raia? Raisi wetu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Waziri Mkuu kujiuzulu akiwa madarakani, sasa huenda ikawa ni zamu ya Makamu wa Rais alie madarakani

    February 7,2008, aliekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Edward Lowassa, alilazimika kujiuzulu kutokana na kashifa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond ambayo ilibainika kuwa ilikuwa ni kampuni hewa(kwa mujibu wa kamati ya Mwakyembe wakati huo). Wakati hayo yakitokea mwaka 2008, leo tumepata...
  19. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Rais Mama Samia Suluhu asipokuwa makini 2025 CCM itaondolewa madarakani

    Nimefuatilia sana mijadala inayoendelea nchini kuhusu utendaji kazi wa Mheshimiwa Rais. Mama Samia Hassan nimeona ameungwa mkono sana na watu hasa wale waliojipambanua kuwa ni Wapinzani. Hii kitu ikanifanya nitenge muda kutafakari why? Tangu lini mtu wa CHADEMA akasifia utendaji kazi wa...
  20. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuhitaji bandika bandua, tunahitaji kuimarisha Taasisi. Hata Mama yetu akitoka madarakani tutakuwa na stori hizi hizi tu

    Wakati nyimbo za maombolezo zikiendelea kupigwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari na mashada ya maua hata hayajanyauka katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Tz, JPM. Kuna mengi yameanza kuibuliwa ambayo ni mapungufu katika Uongozi wake. Hasara ya Shirika la Ndege, Ubadhilifu mkubwa katika...
Back
Top Bottom