Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.

Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.

Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.

Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.

Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.

Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.

Mnakaribishwa wadau wa siasa
 
Lucas mwashambwa mwongozo wako tafadhali
 
Muulize Lucas mwashambwa
Ni yeye pekee aliyetendewa wema ktk Tanzania nzima.

Upofu wake anataka kuambukiza wengine
 
Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.

Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.

Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.

Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.

Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.

Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.

Mnakaribishwa wadau wa siasa
amefanya mengi. amewapa dp world bandari waiendeshe, amewapa dp world misitu yetu waitunze, amewaondoa wamasai loliondo na ngorongoro ili wawekezaji wafanye kazi vizuri. na mengine mengi.
 
Amefungua nchi
Agiza karanga za kuchemsha kwa bili yako
IMG_20230823_174243.jpg
 
Back
Top Bottom