Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,372
- 17,920
Salam Wana JF,
Nasema hivi siku ambayo Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki likitoa tamko au waraka kuhusu kuvurundwa kwa uchaguzi mkuu CCM itaondoka madarakani asubuhi mapemaa. Hii taasisi ina nguvu sana nchi nyingi duniani ambako ukristo wa dhehebu la ukatoliki upo.
Hii taasisi imesababisha serikali na bunge wapige u-turn kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria ya kulinda rasilimali za taifa.
CCM wakisikia TEC wanakuja na waraka, wazee wa bao la mkono wote wanasambaratika na kufunga unofficial 'parallel tally' center yao kama ile ya Masaki 2015.
Nimeanza kulipa ZAKA (fungu la kumi) baada ya waraka wao wa kupinga mauza uza ya DP World. Karibuni nitaanza kusali tena kanisa katoliki.
Siyo kwamba nimekuwa muumini mzuri wa dogma bali nachangia michango ya kuwezesha kusomesha wasomi wengine wengi kama wale watakao kuja kutetea maslahi mapana ya watanzania wengi bila woga au uchawa kama wa mzee wa upako LUSEKELO au uchawa wa wazee wa kugombea uongozi wa kanisa sijui usharika wale wa KKKT.
Niliowapiga kitu kizito don't take it too personal mbadilike mtetee watu wenu siyo matumbo yenu pekee. Hao watu wenu ndiyo wanao waletea sadaka na michango mnayo gombea makanisani.
Yale makapu mnayotembeza kanisani yatarudi matupu kama Kila kitu tutaacha kichukuliwe kifisadi na mafisadi wachache kupitia washirika wao wa kigeni wanaoitwa wawekezaji.
"TEC ni lidude fulani likuuubwaaa.
Linawatisha wabunge kiasi wanajitokeza kanisani kukiri wanapitisha vitu bungeni bila kuelewa kimeandikwa nini, kina madhara au ubaya gani." by Titicomb