Kama CCM itaendlea kubaki Madarakani kuna hatari Tanzania kuongozwa na familia zilizoshindwa kuleta mabadiliko

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,300
Huu ndo mtazamo wangu, Wakati sisi tunataka mabadiliko na mawazo mapya ndani ya nchi japo taifa lifike mahali fulani.

CCM yenyewe iko na mawazo tofauti kabisa ya kuachiana madaraka kifamilia zaidi.

Kila amayestaafu anahakikisha kapanda mbegu ndani ya chama ili mirija ya ulaji isipotee. Matokeo utendaji unabaki ni uleule mbovu.

Imagine kama babu na Baba walishindwa je huyu mjukuu au mtoto atakuwa na jipya gani?.

Mimi hii ndiyo hatari kubwa zaidi ninayoiona kwenye taifa letu tutaendelea kuongozwa na watu wasiokuwa na uwezo milele.

Kama huu ukoo wa panya ulioshindwa for 60 years utaedelea kuwepo madarakani Taia litazidi kudidimia.

Ni hayo tu.
#2025 tutaamua#
 
20230902_154110.jpg
 
Hatari sana
 
Tutasikilizwa?
 
Back
Top Bottom