Kama ni mtumiaji wa mabasi ya mwendokasi utanielewa hiki nachotaka kusema, imekuwa ni kero ya muda mrefu na sasa imezidi maradufu kwa sisi watumiaji wa mabasi yaendayo kasi na bahati mbaya hatuna pa kusemea.
Kujazwa kwenye mabasi, kukalishwa muda mrefu kwenye foleni ya kusubiri mabasi, kukata...
KAMPUNI YA MARCOPOLO
Kampuni ya #marcopolo ilianzishwa tarehe 6 Agosti 1949 huko Caxias do Sul kama Nicola & Cia Ltd.
Wakati kampuni inaanzishwa ilikua na washirika 8 na wafanyikazi 15.
Mnamo mwaka 1971 kampuni ilibadilisha jina na kuwa Marcopolo S.A. (Marcopolo S.A. yaani mtengenezaji wa body...
Wadau,
Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi sambamba na ujenzi wa SGR inawafanya watumiaji wa barabara kukosa njia mbadala.
Ni heri wangesuburi kukamilika kwa madaraja ya juu ya...
Ajali ya barabarani iliyohusisha gari mbili za abiria, Saibaba iliyokuwa inatoka Nachingwea kwenda Dar na Baharia iliyokuuwa inaelekea Nachingwea. Ajali hii imetokea jana mchana tarehe 05.10.2023 katika eneo la Kiwawa, Mkoani Lindi.
Tunasubiri Taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka
=====
Watu saba...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeruhusu Mabasi ya abiria kufanya usafirishaji wa Saa 24, baaada ya kujiridhisha kiusalama, mwamko wa wananchi, huduma za mawasiliano pamoja na miundombinu ya usafirishaji.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Jumanne Sagini wakati...
Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600
Pia soma:
DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea...
Na sababu Kubwa ni kutokana na Hoteli nyingi kuwa za Gharama huku Wao ( Mashabiki ) wakiwa na Hela pungufu.
Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka Jijini Kigali Rwanda ni kwamba nje ya Mashabiki Kulala ( Kimasikini na Kiuhuruma ) Ndani ya Mabasi Mikweche yao pia hata katika...
Serikali imesema hivi karibuni itaruhusu mabasi kusafiri kwa saa 24, ni jambo jema sana endapo jambo hili muhimu litafanyiwa kazi.
Jambo lenyewe ni kufunga taa kwenye barabara kuu zote, fungeni taa zinazotumia solar panels ili kuongeza mwanga barabarani, kwa wanao endesha usiku watakubaliana...
Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.🤣
Hivi ni nani...
Kuna msemo husema mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, lakini pia nimekuwa nikisikia kuwa ndugu zetu nshomile hujifanya wajuaji wa kila kitu, lakini pia ni wabinafsi kupindukia..je? ujuaji wao ndio umefanya serikali iwaache wapambane na hali yao! lakini pia hawa ndugu zetu huko nyuma walikumbwa na...
Mkurugenzi wa Baraza la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Samuel Gwamaka amezungumza na waandishi wa habari na kusema:
Moja ya jambo ambalo limekuwa likifanyika mara kwa mara kama mazoezi ni mabasi ya abiria, malori na magari yanayofanya safari ndefu kuwa na kawaida ya kusimama porini kwa...
Wakuu,
Mtu analipia basi luxury kupata huduma extra, nzuri na bora, asafiri akiwa anajisikia huru. Inakuaje unalipia kusafiri basi luxury halafu unakutana na choo kama hiki? Choo hiki ni kwa huduma ya haja ndogo pekee na hauruhusiwi kuingiza tishu/toilet paper na haiwekwi kabisa chooni lakini...
Ikumbukwe kuwa tarehe 28, juni, mwaka huu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa maagizo kwenye Wizara mbili, Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi pamoja na Wizara Ujenzi na Uchukuzi ya kuweka utaratibu wa Magari kuanza kutoa huduma ya usafirishaji abiria masaa ishirini na nne(24), tayari utaratibu wa...
Salaamu Wakuu: Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Sote tuitikie: Kazi Iendelee!
Moja kwa moja kwenye mada.
Mbali na utaratibu mzuri walionao uongozi wa stendi wa kuwaelekeza utaratibu wa hapo stendi wasafiri wanaotumia eneo hilo wakati wa alfajiri; bado Bwana Afya...
Naomba anayeijua app nzuri ya kukatia online tickets za basi hapa Tanzania anijuze tafadhali! Nimejaribu app ya e-ticket kilichonipata sina hamu kabisa!!!
Nimepita viwanja vya Tanganyika packers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea nchini? Kweli CCM ni chama dola
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) mkoani Mwanza kimetaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA), kubadili ruksa ya spidi barabarani kutoka kilomita 80 kwa saa hadi 100 kutokana na maboresho makubwa yaliyopo barabarani.
Akizungumza leo Katibu wa Taboa mkoani Mwanza, Anwar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.