mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mabasi ya Rombo - Dar yanaanza safari usiku wa manane. Kuna madhara yanaweza kutokea!

    Ratiba ya mabasi hayo yanaanza kutoka Rombo saa 9 usiku na basi la mwisho saa 11 alfajiri. Jambo hili licha ya kuleta usumbufu kwa abiria lakini pia linahatarisha usalama wa abiria kutokana na mazingira ya eneo husika. Maeneo mengi ya Rombo yametawaliwa na uoto uliofungamana (miti, vichaka na...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Kwema wakuu? Kwa Hali ilivyo usalama barabarani nyakati za usiku ni mdogo madereva hawazingatii Sheria barabarani wakati wa usiku maana hamna Oolisi. Malori nayo ndio mida yao ya kukimbia so ajali ni nyingi mno. Madereva pia usiku wanasinzia barabarani sababu ya uchovu. Kuna siku nimesafiri na...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Mimi nilikataa Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi kujengwa Jangwani, Sikuwa na Madaraka ya Kuzuia

    Prof. Anna Tibaijuka amesema wakati akiwa Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi Tibaijuka amesema "Jangwani haina kibali changu kuwa pale. Mimi nilikataa...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Arusha: Stendi ya mabasi ya mikoani inapogeuzwa kuwa soko, pamoja na kituo cha kufanyia biashara haramu

    Hii ndo hali halisi ya kituo cha mabasi ya kwenda mikoani jijini Arusha. Mchana kinageuzwa kuwa soko, ikiwa no pamoja na biashara nyingi haramu na usiku kinageuka kuwa danguro pamoja kuwa sehemu za kulala kwa wale vijana wa mjini wasiokuwa na pakulala wakiwemo na vibaka. Mabasi mengi kwa Sasa...
  6. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya mabasi ya mikoani na hizi hoteli wanazosimama kulisha abiria?

    Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na; Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini...
  7. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kampuni zilizoleta mabasi mengi kwa mwaka 2023

    Wakurugenzi walioleta mabasi mengi zaidi mpaka sasa kwa mwaka 2023 1. Abood kaleta basi 36 2. Shabiby 30 3. BM 22 4. Kimbinyiko 10 5. Kisire Luxury 6 6. ?
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

    Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini. Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa. Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy. Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bilioni 14.5 Kujenga Kituo cha Mabasi, Barabara Mtwara

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Deogratius Ndejembi amesema Serikali kupitia mradi wa kubadilisha miundombinu na ushindani wa miji nchini (TACTIC) imetenga Sh14.5 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa kituo kipya cha mabasi pamoja na barabara mbili zenye urefu wa kilometa sita katika Mkoa wa...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hali ya mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho ni kero tupu kama kawaida leo Novemba 15, 2023

    Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote. Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu. Hapa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Safari za mabasi za usiku zimepunguza rushwa na wala rushwa hawapendi hilo

    Safari za MABASI Kwa Usiku Ni Nzuri na salama Zaidi Kwa sababu madereva wa Magari Mengi Hasa malori na Gari ndogo zenye Malena Wengi wanakuwa hawapo barabarani. Lakini kimekuwa kilio kwa wala Rushwa maana usiku polisi na tasisi zingine zinazopenda Hela wanakuwa wachache saana. Hili limepinguza...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi 759 yanayofanya safari za Usiku yanazidisha Speed na kuchezea mfumo wa ufuatiliaji taarifa za gari (VTS)

    Mwezi mmoja tangu Serikali iruhusu safari za mabasi kwa saa 24, tathimini ya mamlaka za usimamizi imeonyesha kuwepo ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za usalama barabarani, hali inayohatarisha usalama kwa abiria na mali zao. Kutokana na ukiukwaji huo, ndani ya muda huo mabasi 759 yamekamatwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huku ni kudhalilisha elimu ya degree. Yaani kuwa mhudumu wa basi napo mpaka degree. Wamiliki wa mabasi acheni dharau

  14. Faana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkalimani wa Movie kwa Kiswahili kwenye Mabasi

    Hivi hakuna mamlaka inayosimamia na kuchuja kiasi cha uongo kilichomo kwenye movie ya kiingereza zinazotafsiriwa kwa Kiswahili humo kwenye mabasi nimemsikia akisema? My pleasure = hamna shida Let us go = nenda nyumbani How! = Wapi sasa
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli

    Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu. Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA yawaonya wanaopandisha Nauli za Mabasi kiholela

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa onyo hili baada ya kuwepo kwa malalamiko ya Wananchi kuhusu baadhi ya Wamiliki na Kampuni za Usafirishaji Abiria kuamua kufanya mabadiliko ya Nauli kinyume na masharti ya Leseni zao. Taarifa ya Mkurugenzi wa LATRA, CPA Habibu J.S. Suluo...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zinashindwa kudhibiti wanaopandisha Nauli za Mabasi kiholela?

    Kwa muda wa takriban miezi miwili kumekuwa na malalamiko mfululizo ya Wananchi kuhusu wamiliki wa Mabasi kupandisha nauli bila kufuata utaratibu ingawa sababu wanayoitaja ina umuhimu kwakuwa ni kweli bei za mafuta zimekuwa zikipanda kila wakati huku nauli zikibaki palepale. Pamoja na hilo bado...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha 'shape' ya mwili

    Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini? Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani. -- Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA kujadili Shinikizo la Wamiliki wa Mabasi linalotaka nauli mpya za Daladala, Mabasi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhi (LATRA) imekusudia kuitisha mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri nchini kupokea maoni kuhusu marejeo ya nauli za mabasi ya mikoani na daladala. Aprili 2022, LATRA ilitangaza kupanda kwa viwango vya nauli kwa daladala ilikuwa kuanzia kilomita 0 hadi 10 ilipanda...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea mabasi, Pia mabasi ni machache

    Ofisa Mawasiliano na Uhusiano wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Willium Gatambi ameeleza sababu za msongamano vituo vya 'Mwendokasi' jijini Dar es Salaam Leo Oktoba 11, 2023. Amesema tatizo hilo linasababishwa na watu wengi asubuhi kuelekea upande mmoja pia hakuna mfumo rasmi wa...
Back
Top Bottom