DOKEZO Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma inatia aibu kwa mazingira machafu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma mazingira yake ni machafu na yanatoa hasira kwa sisi tunaotumia eneo hilo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kila siku.

Licha ya kuwa wanakusanya fedha zetu kwa maana ya ushuru kila siku lakini majani yamezidi, hata kuyafyekwa imeshindikana.

Hii ni aibu, Uongozi wa Stendi uko wapi? Uongozi wa Wilaya uko wapi? Uongozi wa Mkoa nao uko wapi?





 
Kuna namna Magufuli tunalazimishwa kumkumbuka. Hakuna uwajibikaji saizi ,watu wanajipigia tu
 
Back
Top Bottom