sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,434
- 5,099
Baadhi ya maeno ya paving kwenyw kituo cha mabasi kibaha maili moja yanafanyiwa marekebisho, kituo hizi hakijazidi miaka nane tangu kigunguliwe rasmi.
Kwa mujibu wa website ya kibaha mji, ujenzi uligharimu 3.3 bilions, na kilianza kutumika October 2018. Stendi Kuu Mpya Kibaha Kuanza Kutumika Jumatatu.
Sasa
1. gharama iliotumika ya ukakasi,
2. Design yake ni mbovu sijawahi ona yani gari ndogo xinazunguuka hadi kero.
Tukirudi kwenye ubora sasa, yani 3.3 billion imeondoka halafu hata miaka nane haijafika tayari imeharibika,
Inamaana hapa inapangwa bajeti nyingine? Je waliokua wanasimamamia wamewajibishwa?
Hii nchi inahela nyingi sana za kuchezea na umakini ni mdogo sana.