Napendekeza kofia ngumu ndani ya usafiri wa mabasi

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,744
Naomba kuuliza je? Kuna utafiti ulishawahi kufanyika kwa ajali zilizotokea na kuua watu wengi kwenye mabasi, kuwa hao waliofariki hasa waliumia sehemu gani mwilini?

Mm maranyingi nilishuhudia majeruhi wakiwa wameumia vichwani,

Kama kwenye meli watu huvaa life jacket, basi na nchi kavu tuwekewe kofia ngumu ndani ya usafiri wa mabasi,

utengenezwe tu mpango wa abiria atakayehitaji avae asiyehitaji asilazimiishwe,

Najua kuna changamoto ya magonjwa ya kuambukiza ila hizo kofia ziwe zinapuliziwa sawa,

Tusisubiri wazungu waanzishe ndo tuige Kama mikanda umeshindwa kutusaidia, basi tujaribu na hiyo njia labda yaweza kutufaa na kupunguza idadi ya vifo vya ajali za barabarani, majaribio yaanzie kwa mabasi makubwa,

Ni mawazo yangu tu
 
Kila njia ya kujikinga na ajali iliyowekwa kwenye vyombo vya usafiri ilipendekezwa baada ya kufanya utafiti wa kina na kwa muda mrefu. Haya mambo hayawekwi kwa siku moja kama wabongo mlivyozoeshwa na CCM. Magari yanafanyiwa test za kila aina na kunakuwa na simulation zinazoakisi hali halisi. Kwa taarifa yako, nchi zilizoendelea, kila ajali inayotokea huwa ni somo kwao.
 
habari mkuu.. zile basi zinachongwa pale Dar coach test zake huwa zinafanyika wapi? asante
 
Mkuu mm namaanisha na as Tufanye wa kwetu, ukiwa haufai si tunaachana nao tu,

Sasa hivi wazungu wakianza kuuza mabasi yakiwa na kofia ngumu, Tanzania kuna wa kupinga?

Au kuna Sheria gani ya kimataifa inatuzuia kufanyika hilio
 
Zinatengenezwa kwa kutumia standard ambayo imewekwa na test ni lazima zilishafanyika. I mean siyo kila gari inayotengenezwa mpya huwa inafanyiwa crush test. Test zilishafanyika na hizo test zinatumika kama standard ya kuunda gari jipya la aina na muundo ule. Hata makampuni mkubwa kama Toyota yanapotoa toleo jipya la gari, test huwa zilishafanyika na utengenezaji wa ile model huzingatia standard iliyowekwa. Na pia kila gari inakuwa na test ndogo ndogo na ukaguzi wa kuhakikisha kuwa standard za utengenezaji kwa kutumia viwango vilivyowekwa imefuatwa. Sasa kama kuna uzembe wa kutozingatia standard iliyowekwa kwenye utengenezaji, hilo siyo tatizo la test bali ni utendaji.
 
Kila njia ya kujikinga na ajali iliyowekwa kwenye vyombo vya usafiri ilipendekezwa baada ya kufanya utafiti wa kina na kwa muda mrefu. Haya mambo hayawekwi kwa siku moja kama wabongo mlivyozoeshwa na CCM. Magari yanafanyiwa test za kila aina na kunakuwa na simulation zinazoakisi hali halisi. Kwa taarifa yako, nchi zilizoendelea, kila ajali inayotokea huwa ni somo kwao.
Huyu anayependekeza helmet kwenye mabasi mgonjwa wa akili. Huyu utakuta hata kwenye pkpk havai hiyo helmet.
 
Mkuu mm namaanisha na as Tufanye wa kwetu, ukiwa haufai si tunaachana nao tu,

Sasa hivi wazungu wakianza kuuza mabasi yakiwa na kofia ngumu, Tanzania kuna wa kupinga?

Au kuna Sheria gani ya kimataifa inatuzuia kufanyika hilio
This is too awkward mkuu. Tutakuwa kama laughing stock kwa mataifa mengine. Hatuwezi kukwepa tatizo la uendeshaji usiozingatia kanuni za usalama barabarani kwa kuvaa helmet kwenye magari! Hii ina maana unakuwa umeshakubali kuwa uzembe wa madereva siyo kitu issue. Njia sahihi ni madereva kuzingatia kanuni za usalama na wale wasiofuata waadhibiwe.
 
Naomba kuuliza je? Kuna utafiti ulishawahi kufanyika kwa ajali zilizotokea na kuua watu wengi kwenye mabasi, kuwa hao waliofariki hasa waliumia sehemu gani mwilini?

Mm maranyingi nilishuhudia majeruhi wakiwa wameumia vichwani,

Kama kwenye meli watu huvaa life jacket, basi na nchi kavu tuwekewe kofia ngumu ndani ya usafiri wa mabasi,

utengenezwe tu mpango wa abiria atakayehitaji avae asiyehitaji asilazimiishwe,

Najua kuna changamoto ya magonjwa ya kuambukiza ila hizo kofia ziwe zinapuliziwa sawa,

Tusisubiri wazungu waanzishe ndo tuige Kama mikanda umeshindwa kutusaidia, basi tujaribu na hiyo njia labda yaweza kutufaa na kupunguza idadi ya vifo vya ajali za barabarani, majaribio yaanzie kwa mabasi makubwa,

Ni mawazo yangu tu
My country pipo😆
 
Gari wake mkanda
Pikipiki yake helmet
Boti ya life jacket.
Ajali ya gari inahusisha sana kutikisika kwa mwili zaidi ya kuumia kichwa.
Na test zilishafanyika kufikia hatu. Unatakiwa ujikabe na mkanda wako ili uwe safe. Sio kuulegeza kaba panapostahili. Ukufit
Mchukue mtoto mdogo hapo ulipo. Mtikiseee mtikise. Jeneza nitakuchongea.
 
Magari yapo tangu Karne ya 19 baada ya Industrialization miaka ya 1886's

Tangu kuvumbuliwa magari miaka 300 iliyopita, kumekuwa na tafiti mbalimbali kuweza kuona namna sahihi ya kulinda na kukinga watumiaji wa usafiri huo ndiyo maana magari yanakuja na Mikanda Kwa watumiaji (Seat belts) pamoja na Mabegi ya hewa (Air Bags) japo haya yanakaa mbele kulinda dereva na mtu wa mbele kushoto/Kulia Kwa dereva.

Japo Kwa magari mengi ya Ulaya, wameweza kufunga airbags hadi Kwa wasafiri waketio nyuma ya seat ya dereva Kwa magari madogo (SUV).

Nadhani tungeweza kuweka Sheria Kali kwamba magari yote ya abiria yasiyokuwa na Mikanda (seat belts) yasiruhusiwe kutembea.

Pia tungeweza kutunga Sheria kwamba magari yanayoruhusiwa kubeba abiria yasitumike baada ya miaka 7/8 tangu yaingie Nchini.

Kuna baadhi ya Kampuni za Usafirishaji, zinatumia magari ya Mwaka 2000 kuendelea kubeba abiria.

Unakuta gari ikipanda Mlima, Utingo anashuka na kigogo, yaani gari ikipanda Mlima kidogo Utingo anaenda anaweka Kigogo ili gari isirudi nyuma.

Huku ni kurisk maisha ya Watanzania
 
Huyu anayependekeza helmet kwenye mabasi mgonjwa wa akili. Huyu utakuta hata kwenye pkpk havai hiyo helmet.
Wewe itakuwa ni ccm ambayo kila Mwenye mawazo tofauti huonekana Hana akili kwao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom