Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
14,069
8,327
Igweee!

Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs.

Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience.

Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya interesting facts nishee na wewe mpenz msomaji.

Faida za mabus ya usiku

1. Unasave time ya kazi, kama uko busy saba na kazi za mchana unaweza safiri na mchana ukawa unaendelea na kazi zako. Au kama wewe ni mtori wa kazini (waajiriwa) hapo ndiyo umefika.

2. Unasave usumbufu wa kulala lodge, yani usiku balada ya kulalia kitanda unalala kwa kiti (inahitaji moyo sana🤔), maana unalala next to a stranger, na ukute anakoroma, au anajamber jamber dah😆

3. Wasafiri wa usiku siyo watu wa story, kila mtu kivyake; yani hakuna kusemeshana au kupiga story kama zile za mchana unatamani mtu asishuke aendelee kusema nawe. Huku kwa wapenda utulivu baasi umefika, kuna ‘kiustaarabu flani hivi’.

4. Kama wewe ni muoga wa barabara, kuona mabonde na milima baasi usiku unasafiri muruwaa bila kuona hatari za nje.

5. Wauzaji wa vitu kusumbua madirishani ni wachache sana, hupati usumbufu.

6. Unsave nauli ya kufika kituo cha stand, kunakua mchana au usiku ambao siyo mkali wakati wa kutoka home.

7. Kwa wachepukaji wao ni rahisi sana kuexcuse na kusafiri kwa kutumia usafiri wa usiku.. (Mshana Jr ) atanisaidia hapa na kutongozana kwenye gari inakua rahisi kwa kuwa kuna factor favourable (usingizi, kuchoka etc) na uko next na mrembo😀😀

HASARA

1. Kupoteza vifaa ni rahisi kwani wizi na udokozi unakua rahisi sana
2. Gari ikiharibika njiani ndiyo itakuwa halelujah
3. Kufika umechoka na kuhitaji kulala tena ili kuanza next day vzr
4. Mauza uza usiku njiani, madereva wanajua hii; usiku kuna vimbwanga vingi zaidi ya mchana

Huu ni uzoefu wangu kwa ufupi.

IMG_4640.jpeg
 
Na mkurungezi wa hapa yuko wapi, anaruhu au anaruhusije jiwe kusimama namna hiyo na wananchi mmekaa kimya😆😆
 
Igweee!

Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs.

Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience.

Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya interesting facts nishee na wewe mpenz msomaji.

Faida za mabus ya usiku

1. Unasave time ya kazi, kama uko busy saba na kazi za mchana unaweza safiri na mchana ukawa unaendelea na kazi zako. Au kama wewe ni mtori wa kazini (waajiriwa) hapo ndiyo umefika.

2. Unasave usumbufu wa kulala lodge, yani usiku balada ya kulalia kitanda unalala kwa kiti (inahitaji moyo sana), maana unalala next to a stranger, na ukute anakoroma, au anajamber jamber dah

3. Wasafiri wa usiku siyo watu wa story, kila mtu kivyake; yani hakuna kusemeshana au kupiga story kama zile za mchana unatamani mtu asishuke aendelee kusema nawe. Huku kwa wapenda utulivu baasi umefika, kuna ‘kiustaarabu flani hivi’.

4. Kama wewe ni muoga wa barabara, kuona mabonde na milima baasi usiku unasafiri muruwaa bila kuona hatari za nje.

5. Wauzaji wa vitu kusumbua madirishani ni wachache sana, hupati usumbufu.

6. Unsave nauli ya kufika kituo cha stand, kunakua mchana au usiku ambao siyo mkali wakati wa kutoka home.

7. Kwa wachepukaji wao ni rahisi sana kuexcuse na kusafiri kwa kutumia usafiri wa usiku.. (Mshana Jr ) atanisaidia hapa na kutongozana kwenye gari inakua rahisi kwa kuwa kuna factor favourable (usingizi, kuchoka etc) na uko next na mrembo

HASARA

1. Kupoteza vifaa ni rahisi kwani wizi na udokozi unakua rahisi sana
2. Gari ikiharibika njiani ndiyo itakuwa halelujah
3. Kufika umechoka na kuhitaji kulala tena ili kuanza next day vzr
4. Mauza uza usiku njiani, madereva wanajua hii; usiku kuna vimbwanga vingi zaidi ya mchana

Huu ni uzoefu wangu kwa ufupi.

Kwa wachepukaji wao ni rahisi sana kuexcuse na kusafiri kwa kutumia usafiri wa usiku.. (Mshana Jr ) atanisaidia hapa na kutongozana kwenye gari inakua rahisi kwa kuwa kuna factor favourable (usingizi, kuchoka etc) na uko next na mrembo
 
Hii imeenda
 
Nakukumbuka miaka ile Moshi tumefunga chuo, niko stendi narudi home niliulizwa kama nataka niongeze nauli ili wanikatie tiketi ya kukaa na demu bomba, kumbe haitokei kibahati inapangwa hii
 
Back
Top Bottom