Wizara ya afya Tunaomba mchunguze uwepo wa kunguni na mende wadogo kwenye mabasi ya abiria safari ndefu

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Serikali kupitia wizara ya afya Tunaomba mfanye ukaguzi kwenye mabasi ya usafirishaji wa abiria hasa safari ndefu jamani mabasi yana kunguni na mende wadogo wengi jambo lina hatarisha afya ya abiria.

Siku zakaribuni nikiwa na abiria wenzangu tulishuhudia utitiri wa kunguni kwenye basi la abiria naomba nisitaje ila chanzo kikuunni stand zetu na kutokuwepo utaratibu wa kukagua na kupiga dawa mabasi ya safari ndefu na fupi.

Wizara husika Tunaomba msaada jamani kunguni wanatumaliza.
 
kuna basi la kuelekea mkoani njombe na mbeya mpaka dondora wapo na wameweka makazi nilijiuliza maswali mengi sana?
 
Bora sie kwetu tunapanda VESPA hakuna safari ya mabasi sio kama nyie Machogo wabongo mna kunguni

😅😅😅😅

NMEENDA KAMA SILIMA
 
Serikali kupitia wizara ya afya Tunaomba mfanye ukaguzi kwenye mabasi ya usafirishaji wa abiria hasa safari ndefu jamani mabasi yana kunguni na mende wadogo wengi jambo lina hatarisha afya ya abiria.

Siku zakaribuni nikiwa na abiria wenzangu tulishuhudia utitiri wa kunguni kwenye basi la abiria naomba nisitaje ila chanzo kikuunni stand zetu na kutokuwepo utaratibu wa kukagua na kupiga dawa mabasi ya safari ndefu na fupi.

Wizara husika Tunaomba msaada jamani kunguni wanatumaliza.
Sio kazi ya wizara y afya
 
ni abiria ndio wanaotoka nao nyumbani kwenye mabegi yao
 
Back
Top Bottom