maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani maarufu zaidi kwa makabila ya wasukuma na wahaya ?

    Muhimu naomba jina liwe fupi, lisizidi herufi nane (8) kuna simulizi naiandika nimekwama kwenye majina ya koo maarufu za wasukuma na wahaya, nimekutana na majina mengi sana, natafuta jina za koo maarufu hata watu wa mbali wakisikia tu wanajua asili yake. Mfano mtu akiikia Laizer anajua ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kumi (10) Bora ya Mashabiki Maarufu, Vichaa na wenye mapenzi zaidi na timu zao Tanzania.

    Mashabiki maarufu wa mpira Tanzania 10. GB 64 Huyu ni Shabiki maarufu wa Simba sc ambaye amekuwa gumzo sana siku za hivi karibuni hususan baada ya kupata mizengwe kutokana na kauli zake dhidi ya uongozi wa timu yake. 9.Aggy Simba Huyu mwanadada jasiri na shabiki lialia wa Simba sc ambaye...
  3. JamiiForums Tanzania Wilaya maarufu kuliko mikoa yake

    Songea Moshi Sumbawanga Kahama Kibaha
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kakifanya Bambo kiasi cha kutrend ghafla na kuurudisha umaarufu wake uliopotea kwa muda mrefu

    Tangu mwezi uliopita Bambo amekuwa akitrend sana mitandaoni, ni kitu gani kimemrudisha kwa kasi ya 5g? Naona pia watoto wa 2000 wamevutiwa sana na style yake iliyowahi kumpa umaarufu ya kuchanganya herufi kwenye maneno
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waandishi Maarufu wa Quran baada ya Kifo cha Muhamad

    Tukumbuke kuwa Muhamad hakuwa akijua kusoma wala kuandika. Alikuwa maamuma katika mambo hayo. But he was a very clever man ukimsoma utatambua hilo. Na hii ilimsaidia sana kuweza jipatia wafuasi hata katika safari mbalimbali ambazo alifanya akienda kupora na kuchukua mateka. Alikuwa na jeshi...
  6. JamiiForums Tanzania Nani ni maarufu sana eneo unaloishi? Nini chanzo cha umaarufu wake?

    Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile. Mi naanza na huyu.. Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja...
  7. JamiiForums Tanzania Huenda wasanii/watu maarufu wetu ndio wakawa ‘ombaomba’ wakuu ama ‘the most state-priviledged’ hapa nchini

    Amani iwe nanyi! Kwa ufupi tu, nimejaribu kuwaza jinsi tabaka hili la watu maarufu, wakiwemo wasanii, linavyoishi kwa kututegemea sisi wananchi na kodi zetu. Msanii akiwa ana-rise to fame, ataomba support ya mashabiki (sisi) na hata serikali (kupitia mamlaka zinazowahusu) ili afike...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani inaendelea kuilenga kampuni ya TikTok, TikTok inaendelea kuwa maarufu barani Afrika

    Katika siku za karibuni Marekani imeendelea na mpango wake wa kuishambulia China na makampuni yake, baada ya wabunge na ikulu ya Marekani kusema wana wasiwasi kuwa kampuni inayomiliki App ya TikTok inahatarisha usalama wa Marekani na inaweza kutumiwa kufanya ushawishi kwenye uchaguzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta Skanska
  10. JamiiForums Tanzania Utapeli na udalali wa ndoa hususani kwa watu maarufu

    Nimeitoa huko twitter, Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti. Bila kupoteza muda ni kwamba inasemekana kampa red card mh: kisa tu kapost picha za harusi jambo ambalo mjuba hakutaka...
  11. JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba za kwenye series maarufu kwenye tv

    Kwa wale wapenzi wa kuangalia TV Drama/Series za Hollywood, lazima kutakuwa kuna nyumba umeipenda na ungetamani ungeishi humo. Leo tuangazie baadhi ya ramani hizo SEHEMU YA KWANZA 1.HOW I MET YOUR MOTHER Wanaoikumbuka sitcom hii,iliyokuwa na akina Tedy Mosby,Marshall,Bernie,Robin na Lily...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini channel za Afrika kusini zimezuia replay ya goli lililokataliwa isionekane nje ya mipaka, wamepigwa biti au rushwa ? hii nimeipata kwa vpn

    Mfano kituo cha Tv Sabc kwenye ukurasa wao huwezi kutazama nje ya mipaka yao, inabidi uwe sauzi ama utumie vpn https://twitter.com/SABC_Sport/status/1776330085353607554 Hii ndio video iliyowekewa vizuizi (nimetunza nakala)
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

    Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom. Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji maarufu Dkt. Manyaunyau agundulika mbinu yake ya kutapeli watu kwa kumchezesha jini kimbunga kwa remote control

    Habari wadau, Mganga wa kienyeji maarufu kwa kunywa damu za paka. Dr manyau nyau agundulika mbinu yake ya utapeli. Akiwa anafanyiwa mahojiano na mtangazaji wa global online tv. Dr manyau nyau alitaka kuonesha mbwembwe kwa mwandishi huyo wa habari kwa kumuambia asalimie majini yake na aone...
  15. JamiiForums Tanzania Mchora katuni maarufu "Oscar Makoye"

    OSCAR MAKOYE MCHORA KATUNI MAARUFU TANZANIA. ______________________ Katika pita pita zangu nime bahatika kukutana na moja Kati ya wachoraji maarufu wa katuni Hapa Nchini Tanzania kwenye mangazeti mbalimbali ya udaku na siasa na huyu si mwingine ni "Oscra makoye" ... Naimani jina hili sio ngeni...
  16. JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Bodaboda nyingi sasa hivi hazina Vioo vya pembeni, (Side mirrors)?

    Thread was deleted
  17. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa,dini, ndugu zetu na watu maarufu wanaotumia Facebuku akaunti zao zinatumika kama link ya picha za ngono

    Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka changamoto ya akaunti nyingi za Facebuku kutumika kama platfom ya picha za ngono. Utafiti mdogo unaonyesha ukitaka kutambua mtazamaji wa picha chafu kagua akaunti zao kwani wamewekewa ads za Facebuku akaunti kurahisisha watu wengi kuvutiwa na kujiunga. Kama...
  18. F

    JamiiForums Tanzania "Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

    Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
  19. JamiiForums Tanzania Orodha tukufu ya Wanawake maarufu niliowahi kuwahusudu na kuishia kuwala kwa macho

    Kila rijali huwa kuna mwanamke maarufu anayemhusudu ila ndo hivyo huishia kumtafuna kimoyomoyo kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kuweza kumpata. Ifuatayo ni orodha tukufu ya wanawake maarufu niliowahi kuwala kwa macho. Nitaanzia wale wakongwe hadi hawa wa sasa. 1. Miriam Odemba Huyu manzi...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu maarufu wa Geography, Mtegetwa Mng'ala Afariki Dunia

    Mwalimu wetu/Rafiki yetu Mr. Mtegetwa Mng'ala amefariki Siku ya Leo katika Hospital ya Mloganzila, alipokuwa akipatiwa Matibabu. Kwa Sasa Msiba upo Nyumbani kwake Ukonga- Bomba Mbili Ila utahamishiwa Nyumbani Kwao Ruvu Na mazishi yanatarajiwa kufanyika Siku Ya Ijumaa March 1, 2024 huko RUVU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…