Rabbi wa Kiyahudi na familia yake wasilimu

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,890
109,222
Familia maarufu ya Kiyahudi yabadilisha dini kuwa Waislamu. Kiongozi wa kidini wa Kiyahudi aitwaye Rabbi Mort alitangaza kusilimu kwake rasmi. Hapo awali, Rabbi Mort alichukia sana na alikuwa na chuki kwa Waislamu. Hata hivyo, uongozi wa Mwenyezi Mungu ulimjia na akaugeuza kuwa Uislamu. Wakati wa mchakato wa uongofu katika msikiti, Rabbi Mort pia aliwaalika wanafamilia wake wote, pamoja na mkewe. Pia aliambatana na watoto wake.Awali, jina la Rabbi Mort lilienea kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sababu hiyo, alikubali kabisa kwamba Mtume Muhammad alikuwa mjumbe wa Allah. Ingawa wakati huo Rabbi Mort alikuwa kiongozi maarufu wa kidini, kutaniko na jumuiya ya Wayahudi walishangaa kusikia uamuzi huu. Hata hivyo, Rabbi Mort alielezea kwa upole kwamba mabadiliko haya yalikuwa sehemu ya safari yake ya kiroho. Alielezea heshima yake kwa mafundisho ya dini ya Kiyahudi, lakini pia alisema kwamba alipata amani na ukweli katika Uislamu. Bila shaka, kauli hii ilifanya baadhi ya vyama kujisikia wasiwasi.Watu kutoka dini yake ya awali mara moja walimshambulia Rabbi Mort kwa kutoa habari mbaya juu yake. Kwa kweli, watu wengi wanahoji ukweli wa hadhi yake kama kiongozi wa kidini.

View: https://youtu.be/eqKyEskoPH8?si=Pvf0voCoHZ7LjZcO

17,476 views Nov 22, 2023 #convertingintoislam #jewish

On this occasion, Islamic Secrets will reveal the story of a prominent Jewish family converting to Islam.A Jewish religious leader named Rabbi Mort announced his official conversion to Islam. Previously, Rabbi Mort really hated and was hostile to Muslims. However, Allah's guidance came down to him and he firmly converted to Islam. During the conversion process at a mosque, Rabbi Mort also invited all his family members, including his wife. and also accompanied by his children.Previously, Rabbi Mort's name went viral on social media. The reason is, he firmly admitted that the Prophet Muhammad was the messenger of Allah. Even though at that time Rabbi Mort was a well-known religious leader, the congregation and Jewish community were shocked to hear this decision. However, Rabbi Mort explained gently that these changes were part of his spiritual journey. He expressed his respect for the teachings of the Jewish religion, but also stated that he found peace and truth in Islam. Of course, this statement made some parties feel uncomfortable.People from his previous religion immediately attacked Rabbi Mort by making negative news about him. In fact, many people question the authenticity of his status as a religious leader.
 
Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.

Tupige kelele Israel iache kuua wapalestina.

Israel inawapa familia moja ya watu 2 inaua watu 12,000 halafu mnabakia kufurahia familia moja ya kiyahudi iliyobadili dini, ambayo kesho inaweza kubadili dini tena.

Ama roho ya myahudi mmoja akibadili dini ina thamani sana kuliko roho za wapalestina ama waislamu 12,000 ambao Israel imeua na inaendelea kuua?

Why dini zinafanya mnakosa akili ya kufikiri?
 
Kwan hakuna wayahudi waislamu?Hao ndo wa kwanza ama?
Uislamu una classes. Akibadili dini mzungu, myahudi ama msanii ama mtu maarufu mmoja wanafurahia sana hata kama wameuawawa waislamu laki 2.

Kwa maana kwamba roho moja ya mtu mmoja maarufu akislimu ina thamani mara elfu 40 kwa Allah kuliko mwarabu ama mtu asie na hadhi yoyote ila ni muislamu.

Ndio maana unakuta uislamu ama waislamu wanatumia nguvu na pesa nyingi sana kusilimisha watu maarufu kama wasanii, waimbaji, wacheza kikapu, mipira ama ngumi kina Tyson ili kutafta legitimacy ya uislamu wao.

Tukisema hii dini ni ya kitapeli watu hawaelewi.
 
Familia maarufu ya Kiyahudi yabadilisha dini kuwa Waislamu. Kiongozi wa kidini wa Kiyahudi aitwaye Rabbi Mort alitangaza kusilimu kwake rasmi. Hapo awali, Rabbi Mort alichukia sana na alikuwa na chuki kwa Waislamu. Hata hivyo, uongozi wa Mwenyezi Mungu ulimjia na akaugeuza kuwa Uislamu. Wakati wa mchakato wa uongofu katika msikiti, Rabbi Mort pia aliwaalika wanafamilia wake wote, pamoja na mkewe. Pia aliambatana na watoto wake.Awali, jina la Rabbi Mort lilienea kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sababu hiyo, alikubali kabisa kwamba Mtume Muhammad alikuwa mjumbe wa Allah. Ingawa wakati huo Rabbi Mort alikuwa kiongozi maarufu wa kidini, kutaniko na jumuiya ya Wayahudi walishangaa kusikia uamuzi huu. Hata hivyo, Rabbi Mort alielezea kwa upole kwamba mabadiliko haya yalikuwa sehemu ya safari yake ya kiroho. Alielezea heshima yake kwa mafundisho ya dini ya Kiyahudi, lakini pia alisema kwamba alipata amani na ukweli katika Uislamu. Bila shaka, kauli hii ilifanya baadhi ya vyama kujisikia wasiwasi.Watu kutoka dini yake ya awali mara moja walimshambulia Rabbi Mort kwa kutoa habari mbaya juu yake. Kwa kweli, watu wengi wanahoji ukweli wa hadhi yake kama kiongozi wa kidini.

View: https://youtu.be/eqKyEskoPH8?si=Pvf0voCoHZ7LjZcO

17,476 views Nov 22, 2023 #convertingintoislam #jewish

On this occasion, Islamic Secrets will reveal the story of a prominent Jewish family converting to Islam.A Jewish religious leader named Rabbi Mort announced his official conversion to Islam. Previously, Rabbi Mort really hated and was hostile to Muslims. However, Allah's guidance came down to him and he firmly converted to Islam. During the conversion process at a mosque, Rabbi Mort also invited all his family members, including his wife. and also accompanied by his children.Previously, Rabbi Mort's name went viral on social media. The reason is, he firmly admitted that the Prophet Muhammad was the messenger of Allah. Even though at that time Rabbi Mort was a well-known religious leader, the congregation and Jewish community were shocked to hear this decision. However, Rabbi Mort explained gently that these changes were part of his spiritual journey. He expressed his respect for the teachings of the Jewish religion, but also stated that he found peace and truth in Islam. Of course, this statement made some parties feel uncomfortable.People from his previous religion immediately attacked Rabbi Mort by making negative news about him. In fact, many people question the authenticity of his status as a religious leader.

FaizaFoxy, watu hatushtushwi kwanini mtu anabadili dini, kuamini dini ni uhuru wa kila mmoja. hata sisi wakristo, usijefikiri kwamba huwa tunawapenda wayahudi kwasababu ni watakatifu, hapana, wayahudi ni watu kama sisi tu, wengine wachawi, wengine wanaabudu mashetani, wengine freemason n.k. kama walivyo ndugu zako tu nao wengine wachawi wanafuga majini, wengine waganga wa kienyeji nguli, washirikina na wengine magaidi. wakristo nao hivyo hivyo. Wakristo tunawapenda wayahudi unconditionally, hatuhitaji chochote toka kwao, ila ni Biblia imetuagiza tuwapende, wawe na dhambi au watakatifu, watupende sisi au wasitupende and infact Wayahudi wanaamini wakristo ndio watu hatari zaidi kwao katika imani kwasababu ya kumwamini Yesu, wao wanasema sisi wakristo ni threat kubwa kwenye imani yao ya Kiyahudi kwasababu tangu Yesu awepo sisi wakristo ndio tumekuwa tukiwaattack wao zaidi na kuwaambia dini yao ni ya kizamani na imepitwa na wakati, mahubiri karibia yote ya AGano jipya yanapinga dini ya kiyahudi ambayo haitambui ujio wa Yesu Kristo.

But still we love them. kwahiyo hata kubadili dini awe muislam au awe hata mganga wa kienyeji kwetu sisi hatuwashangai wayahudi kwasababu kwa imani ya Kikristo wayahudi pale walipo sasaivi wakifa au siku ya mwisho ikifika ghafla, wote wataenda motoni isipokuwa wale tu waliompokea na kumwamini Yesu Kristo. hao wote wanaoabudu judaism kwetu sisi wakristo, wamepotoka na hawana tofauti na wanaoabudu uislam na imani zingine na wapo kinyume na Mungu. Wayahudi wanaye Mungu ila hawamwabudu kiusahihi na hiyo ndio sababu Mungu yupo nao kiagano tu kwamba anawalinda na kuwapatia uzima ila kwa habari ya wokovu siku ya hukumu watahukumiwa kwanini walimkataa Yesu na wataenda motoni kama kawaida kwasababu hiyo.

kwetu sisi, hasa tuliookoka, mtu kubadili dini kwenda uislam akitokea dini yeyote, kama alikuwa hajaokoka huwa hatushangai kwasababu huwa tunawaweka wote ninyi kwenye kapu moja, muwe wakatoliki, wasabato, walutheran, wanini nini wote kama hamjaokoka hamna tofauti na wayahudi, waislam, wabudha n.k. na mtaenda motoni kwasababu mnamkataa yule aliyekufa kwa ajili ya wokovu wenu, mnaabudu dini badala ya Mungu, mmechagua kumkataa Roho wa Mungu mkaaamini mafundisho manyonge yasiyookoa. nyote mmepotea.
 
1701022952243.png
 
Hayo yanatukia ili kuthibitisha uwepo wa nguvu kubwa kuliko ya kibinadamu. Tumejisahau sana. Ndio maana covid ., Russia against lgbtq then Israel vs Palestine ambayo ni kuthibitisha uwepo wa Mungu. Bila hivyo tungeamini kuwa hakuna Mungu. Ila kifupi iwepo wa Israel as flag bearer of God's kingdom on earth sijui iliishq au bado..as long wao ndio litmus paper of any Abrahamic religious. Islam bila torah can't exist.
 
Familia maarufu ya Kiyahudi yabadilisha dini kuwa Waislamu. Kiongozi wa kidini wa Kiyahudi aitwaye Rabbi Mort alitangaza kusilimu kwake rasmi. Hapo awali, Rabbi Mort alichukia sana na alikuwa na chuki kwa Waislamu. Hata hivyo, uongozi wa Mwenyezi Mungu ulimjia na akaugeuza kuwa Uislamu. Wakati wa mchakato wa uongofu katika msikiti, Rabbi Mort pia aliwaalika wanafamilia wake wote, pamoja na mkewe. Pia aliambatana na watoto wake.Awali, jina la Rabbi Mort lilienea kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sababu hiyo, alikubali kabisa kwamba Mtume Muhammad alikuwa mjumbe wa Allah. Ingawa wakati huo Rabbi Mort alikuwa kiongozi maarufu wa kidini, kutaniko na jumuiya ya Wayahudi walishangaa kusikia uamuzi huu. Hata hivyo, Rabbi Mort alielezea kwa upole kwamba mabadiliko haya yalikuwa sehemu ya safari yake ya kiroho. Alielezea heshima yake kwa mafundisho ya dini ya Kiyahudi, lakini pia alisema kwamba alipata amani na ukweli katika Uislamu. Bila shaka, kauli hii ilifanya baadhi ya vyama kujisikia wasiwasi.Watu kutoka dini yake ya awali mara moja walimshambulia Rabbi Mort kwa kutoa habari mbaya juu yake. Kwa kweli, watu wengi wanahoji ukweli wa hadhi yake kama kiongozi wa kidini.

View: https://youtu.be/eqKyEskoPH8?si=Pvf0voCoHZ7LjZcO

17,476 views Nov 22, 2023 #convertingintoislam #jewish

On this occasion, Islamic Secrets will reveal the story of a prominent Jewish family converting to Islam.A Jewish religious leader named Rabbi Mort announced his official conversion to Islam. Previously, Rabbi Mort really hated and was hostile to Muslims. However, Allah's guidance came down to him and he firmly converted to Islam. During the conversion process at a mosque, Rabbi Mort also invited all his family members, including his wife. and also accompanied by his children.Previously, Rabbi Mort's name went viral on social media. The reason is, he firmly admitted that the Prophet Muhammad was the messenger of Allah. Even though at that time Rabbi Mort was a well-known religious leader, the congregation and Jewish community were shocked to hear this decision. However, Rabbi Mort explained gently that these changes were part of his spiritual journey. He expressed his respect for the teachings of the Jewish religion, but also stated that he found peace and truth in Islam. Of course, this statement made some parties feel uncomfortable.People from his previous religion immediately attacked Rabbi Mort by making negative news about him. In fact, many people question the authenticity of his status as a religious leader.

Huyo wawe naye makini atakuwa ni spy, ni vyepesi mkristo kuwa mwislamu au mwislamu kuwa mkiristo kuliko myahudi kuwa mkristo au mwislamu
 
FaizaFoxy, watu hatushtushwi kwanini mtu anabadili dini, kuamini dini ni uhuru wa kila mmoja. hata sisi wakristo, usijefikiri kwamba huwa tunawapenda wayahudi kwasababu ni watakatifu, hapana, wayahudi ni watu kama sisi tu, wengine wachawi, wengine wanaabudu mashetani, wengine freemason n.k. kama walivyo ndugu zako tu nao wengine wachawi wanafuga majini, wengine waganga wa kienyeji nguli, washirikina na wengine magaidi. wakristo nao hivyo hivyo. Wakristo tunawapenda wayahudi unconditionally, hatuhitaji chochote toka kwao, ila ni Biblia imetuagiza tuwapende, wawe na dhambi au watakatifu, watupende sisi au wasitupende and infact Wayahudi wanaamini wakristo ndio watu hatari zaidi kwao katika imani kwasababu ya kumwamini Yesu, wao wanasema sisi wakristo ni threat kubwa kwenye imani yao ya Kiyahudi kwasababu tangu Yesu awepo sisi wakristo ndio tumekuwa tukiwaattack wao zaidi na kuwaambia dini yao ni ya kizamani na imepitwa na wakati, mahubiri karibia yote ya AGano jipya yanapinga dini ya kiyahudi ambayo haitambui ujio wa Yesu Kristo.

But still we love them. kwahiyo hata kubadili dini awe muislam au awe hata mganga wa kienyeji kwetu sisi hatuwashangai wayahudi kwasababu kwa imani ya Kikristo wayahudi pale walipo sasaivi wakifa au siku ya mwisho ikifika ghafla, wote wataenda motoni isipokuwa wale tu waliompokea na kumwamini Yesu Kristo. hao wote wanaoabudu judaism kwetu sisi wakristo, wamepotoka na hawana tofauti na wanaoabudu uislam na imani zingine na wapo kinyume na Mungu. Wayahudi wanaye Mungu ila hawamwabudu kiusahihi na hiyo ndio sababu Mungu yupo nao kiagano tu kwamba anawalinda na kuwapatia uzima ila kwa habari ya wokovu siku ya hukumu watahukumiwa kwanini walimkataa Yesu na wataenda motoni kama kawaida kwasababu hiyo.

kwetu sisi, hasa tuliookoka, mtu kubadili dini kwenda uislam akitokea dini yeyote, kama alikuwa hajaokoka huwa hatushangai kwasababu huwa tunawaweka wote ninyi kwenye kapu moja, muwe wakatoliki, wasabato, walutheran, wanini nini wote kama hamjaokoka hamna tofauti na wayahudi, waislam, wabudha n.k. na mtaenda motoni kwasababu mnamkataa yule aliyekufa kwa ajili ya wokovu wenu, mnaabudu dini badala ya Mungu, mmechagua kumkataa Roho wa Mungu mkaaamini mafundisho manyonge yasiyookoa. nyote mmepotea.
eti unajifanya unamjua sana yesu kwa kumsikia kuliko hao wayahudi walio ishi nae. Jinga kabisa na lidini lako la kiitaliano.
wao waliishi nae na kuona matendo yake na wakamkataa sasa wewe upo zako huko machame unajikuta ndo unamjua sana
 
Wasfrika tuwanafiki. Hatujui nani anafaa kutetewa. Tuna watu kibao wanaonewa Afrika tupo kimya tu. I don't see faiida ya huu ushabiki. Hawa jamaa wote hawafai. Hao Palestine kwa nini wanajaa uk na USA kwa wzfadhili wa Israel. Kwa nini hawakuandama mapema . Waliporusha rocketing 5000 walilenga nini. Na kama wanataka suluhu bila vita kkwa nini wanaendelea kurusha makombora.
 
eti unajifanya unamjua sana yesu kwa kumsikia kuliko hao wayahudi walio ishi nae. Jinga kabisa na lidini lako la kiitaliano.
wao waliishi nae na kuona matendo yake na wakamkataa sasa wewe upo zako huko machame unajikuta ndo unamjua sana
hivi wewe umeenda shule kweli? nini kigumu kuelewa hadi utukane? halafu mimi sio mkatoliki, dini yangu sio ya kitaliano. imani ya kikristo msingi wake mkuu ni Yesu Kristo ambaye wayahudi walimkana, hata Biblia imeandika kabisa kwamba alikuja kwao ila walio wake walimkataa, na waliotuita sisi ni wakristo sio watu wengine, ni wayahudi, walikuwa wanatutofautisha na dini ya kiyahudi kwamba sisi ni wale wanaomfuata Yesu Kristo. sisi hatufuati dini, tunamfuata KRisto ndio maana tunaitwa wakristo. halafu mbona una hasira sana, una mapepo?
 
Jambo ambalo huwa linanishangaza ni waislam kushangilia mtu akibadili dini,wakati ni jambo la kawaida tu,na hapo Kanisa kwetu kila siku waislam wanakuwa wakristo,mfano saizi kuna darasa kabisa kuwafundisha kama 17 hivi,na isn't a big deal...........😀😀
 
hivi wewe umeenda shule kweli? nini kigumu kuelewa hadi utukane? halafu mimi sio mkatoliki, dini yangu sio ya kitaliano. imani ya kikristo msingi wake mkuu ni Yesu Kristo ambaye wayahudi walimkana, hata Biblia imeandika kabisa kwamba alikuja kwao ila walio wake walimkataa, na waliotuita sisi ni wakristo sio watu wengine, ni wayahudi, walikuwa wanatutofautisha na dini ya kiyahudi kwamba sisi ni wale wanaomfuata Yesu Kristo. sisi hatufuati dini, tunamfuata KRisto ndio maana tunaitwa wakristo. halafu mbona una hasira sana, una mapepo?
dini maana yake ni nini?
eti tunamfata yesu sio dini
huelewi hata unayoyasema.
kukuita mjinga sijakosea
 
Huyo wawe naye makini atakuwa ni spy, ni vyepesi mkristo kuwa mwislamu au mwislamu kuwa mkiristo kuliko myahudi kuwa mkristo au mwislamu
Walioingia Uislam kwanza ni wayahudi. Soma historia.

Kuwa "spy" ili a "spy" nini zaidi? hakuna siri katika Uislam tunakaribisha sana kila mmoja anaeweza ku u "spy" Uislam au 'spy".

Ukianza kuuchunguza Uislam ndipo utapoujuwa ukweli na kuwa Muislam. Tunakaribisha wachunguzi wote.

Unangoja nini?
 
Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.

Tupige kelele Israel iache kuua wapalestina.

Israel inawapa familia moja ya watu 2 inaua watu 12,000 halafu mnabakia kufurahia familia moja ya kiyahudi iliyobadili dini, ambayo kesho inaweza kubadili dini tena.

Ama roho ya myahudi mmoja akibadili dini ina thamani sana kuliko roho za wapalestina ama waislamu 12,000 ambao Israel imeua na inaendelea kuua?

Why dini zinafanya mnakosa akili ya kufikiri?
Unaonekana umeumia sana kwa hii habari.

Kelele zako hatuzihitaji, kampigie mumeo.
 
Back
Top Bottom