Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

Objective football

JF-Expert Member
Oct 21, 2023
1,195
2,758
1.Nurdin Bakari
2.Abdi Kassim Babi
3.Joseph Kaniki
4. Niko Nyagawa
5. Fredrick Mbuna
6. Juma Jabu JJ
7. Meshack Abel
8.Shamte Ali
9. Said Bahanuzi
10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa
11.Mrisho Khalfani Ngasa

Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
 
1.Nurdin Bakari
2.Abdi cassim babi
3.Joseph kaniki
4. niko nyagawa
5. fredrick mbuna
6. juma jabu jj
7. Meshack abel
8.Shamte ali
9. Said Bahanuzi
10.Emmanuel Gabriel mwakyusa
11.Mrisho khalfani ngasa

Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
Hawa wa elfu 2 Hawa kazi kweli
 
wa zama zako ni wepi mkuu?
Kuna akina abedi mziba, Moses mkandawile, Niko bambaga, mandata rubigisa , fumo felisian, Makumbi Juma, athumani china, jastin mtekele, malota soma, Christian sikinde mbunga, deogratias muhani, Juma mgunda, sahau kambi , smart boy husein Masha, twaha hamidu, idrisa ndunguru, fled Felix minziro, na wengine wengi
 
vp mzee ulikua darasa la pili?

Hayo majina yanatamba nilikuwa shule ya msingi madarasa ya juu juu kama la nne ama la tano najielewa tayari.

Mechi ya simba na enyimba mwaka 2003. Ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kwenda taifa. Tulienda na jirani yetu mzee msolla ndugu wa kocha wa zamani wa taifa starz

Enzi hizo simba ina kina Boniface pawasa na enyimba inapiga mpira mkubwa sana ugenini kama nyumbani
 
Hapa hapanifai kutokana na umri, nikajua ningeona majina ya Kina Kenneth Mkapa, Zamoyoni Mogela, Issa Athumani, Fumo Felician, George Masatu na wengineo.
Nami napita kimya kimya hapa, kumbe mtoa mada ni wa dot.com, wale wa kulalama na viajira vya tra!,Celestine Mbunga,aka sikinde, Peter Tino, Mohamed Richard aka Adolf, Nicodemus Njohole, Kassim Manara, yoooo kipindi nchi Ina heshima na adabu
 
Hayo majina yanatamba nilikuwa shule ya msingi madarasa ya juu juu kama la nne ama la tano najielewa tayari.

Mechi ya simba na enyimba mwaka 2003. Ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kwenda taifa. Tulienda na jirani yetu mzee msolla ndugu wa kocha wa zamani wa taifa starz

Enzi hizo simba ina kina Boniface pawasa
mi nilisikiza redioni hio gemu, tulikula 3-0 ?
 
Kuna akina abedi mziba, Moses mkandawile, Niko bambaga, mandata rubigisa , fumo felisian, Makumbi Juma, athumani china, jastin mtekele, malota soma, Christian sikinde mbunga, deogratias muhani, Juma mgunda, sahau kambi , smart boy husein Masha, twaha hamidu, idrisa ndunguru, fled Felix minziro, na wengine wengi
duuh haloo , shikamoo uncle!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom