maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu duniani wenye asili ya Tanzania

    Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania. 1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen. Ukitaja waimbaji kumi wa muda wote duniani huwezi kumkosa. Alizaliwa Zanzibar mwaka 1946. Alikuwa upinde...
  2. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Je ni kitu gani kilikufanya uwe maarufu shuleni?

    Mdau karibu utuambie
  3. D

    JamiiForums Tanzania Maneno maarufu ya Kiswahili yaliyotokana na kukosewa kwa matamshi. Charan Singh - Cherehani

    (1) Cherehan - Charan Singh. Inaarifiwa uyu ndo fundi nguo wa kwanza afrika mashariki na waswahili tukashindwa kutamka jina lake tukawa tuna litamka cherehani. (2) Kariakoo - Carrier Corps. Ofisi za kikosi cha Jeshi la mkoloni Muingereza cha kubebea vifaa vya kijeshi. (3) Ndafu - Mzungu...
  4. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwaka wa Uchaguzi Mkuu, viongozi wengi au watu maarufu hufariki?

    Mwaka 2015 wakati Taifa linajiandaa na Uchaguzi Mkuu, baadhi ya watu mashuhuri walipoteza uhai. Wachache wao ni kama Mchungaji Christopher Mtikila, Emanuel Makaidi, Deo Filikunjombe nk Nimeuliza haya, maana miezi michache ijayo Taifa litakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa kuchagua Rais, Wabunge na...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi Mwenza wa Lebo ya Murder Inc Records, Irv Gotti afariki Dunia

    Producer maarufu duniani Irv Gotti amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54. Chanzo cha kifo chake bado hakijatajwa huku ripoti za awali zikisema mwaka jana alipata tatizo la kupooza kwa muda mfupi na baadae kupata nafuu. Irv Gotti ambaye jina lake halisi ni Irving Domingo Lorenzo Jr...
  6. Kitambi chakufutia tachi

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Wazee Maarufu na Mashuhuri wa Tabora

    https://www.youtube.com/live/DbZXc2xgRBw?si=a-oNRfgTi6lXcL_v
  8. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi serikali haiwaoni hawa wanawake wanaocheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko?

    Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam ikizidi kukuwa kwa kasi . Mkuu wa mkoa yupo , Wakuu wa wilaya wapo na viongozi wote wa serikali...
  9. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Makabila maarufu Afrika

    The 47 Most Prominent Tribes in Africa 1. Maasai (Kenya🇰🇪, Tanzania🇹🇿): Migrated from the Nile Valley between the 15th and 18th centuries AD. 2. Zulu (South Africa🇿🇦): Rose under Shaka Zulu in the early 19th century, with Bantu roots dating back to 3000–2000 BC. 3. Hausa (Nigeria🇳🇬, Niger🇳🇪...
  10. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania TANROADS yapiga maarufu Watu kupita kwenye Flyovers kwa Miguu

    Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) imewataka Wananchi kuacha kutumia Madaraja ya juu maarufu kama Flyover isivyotakiwa kama kupita kwa miguu juu ya Madaraja hayo au kupiga picha mnato( selfii),kupiga picha za harusi na kufanya mazoezi katika Madaraja hayo. Hayo yamesemwa na Meneja wa...
  11. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Mwandishi maarufu JF aliteswa sana baada ya yale Maswali

    Hii habari imenisikitisha sana Kuna mwanafamilia mmoja wa Mwandishi huyo alisoma nae Tambaza anasema Mwandishi huyo maarufu humu JF aliteswa sana baada ya yale maswali. Ilifika mahali alitamani kurudi kijijini na kama sio uhusiano wake na Rais Mkapa mambo yangekuwa mengine Hii ni kwenye...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Zipi ni nyimbo maarufu za kuaga mwaka 2024 na kukaribisha mwaka mpya 2025?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, je ni zipi nyimbo maarufu za kuaga na kukaribisha mwaka? mm nafahamu ule wa Abba group, na ule wa huruma kwa wagonjwa, wadau karibuni mtiririke.
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu maarufu na matajiri wengi kila wakifa cancer ndiyo chanzo?

    Enh, hawa wote wamekufankwa hiyo issue Paul Allen Sheldon Adelson Zhao Ning Dietrich Mateschitz Steve Jobs David Koch Kirk Kerkorian Jon Huntsman Sr. Richard Pratt James Simons Audrey Hepburn Patrick Swayze David Bowie Alan Rickman Farrah Fawcett Steve McQueen Bob Marley Luciano Pavarotti...
  15. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

    Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Abduli mbona amekuwa maarufu sana?

    Mitandaoni huyu jamaa ana trend japo hana wadhifa wowote serikalini lakini inaonekana kama ndo mtendaji Mkuu wa serikali, labda cheo chake hakipo dhahiri 1. Rais Mseveni wa Uganda Ali tweet Ati ametembelewa na ugeni wa Mseveni na wameingia mkataba ya nishati na Tanzania Sasa Abduli alienda kama...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA asiye maarufu

    Najisikia vibaya kutenda dhambi leo kwa kuwapa mbinu wale watawala wa Puerto Rico mana naona wanataka kutumia njia mbaya ya kumng'ng'aniza Mbowe awe mwenyekiti ili azeeke kwa stress akiwa mwenyekiti mana kachokwa haswa na Lisu hatakiwi. Mnakumbuka ule uchaguzi wa DRC ambapo Joseph Kabila...
  18. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu waliofariki mwaka 2024

    Tujikumbushe watu maarufu wakiwemo wanasiasa, wasanii, wanamichezo waliotutoka mwaka 2024
  19. Junior Lecturer

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma mke wangu akimfunda jirani/maarufu kama shoga yake kuchepuka

    Asalaam wana JF! Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura chache sana na kutangazwa mshindi chini ya ulinzi mkali sana. Sijui kwanini, lakini ni Mwenyekiti...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu maarufu namtumia meseji IG hazifiki. Nifanye nini zimfikie?

    Wakuu ni muda Sasa nimekuwa nikimtumia mtu maarufu Instagram mweye followers zaidi ya 1M lakini meseji hazifiki! Hivi ni kwanini? Nifanye vipi aweze kuona text zangu? Naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom