Mtanzania ahamisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili
Serious nimependa sana.
Kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.
Nguvu ya Umma au peoples power kinadharia hutumiwa sana na Chadema lakini waliwahi kuitumia kivitendo wakati fulani tukashuhudia kifo cha binti asiye na hatia.
Ninafuatilia kinachoendelea Marekani kupitia luninga ya Al-Jazeera kiukweli sijaelewa kama hii ndio nguvu ya Umma wanayoiamini...
The governor of Minnesota called up the state’s entire national guard Saturday for the first time since World War II, awaiting what could be a fifth night of violent protests brought about by the death of an African American man in police custody
For the past four nights, protesting has led to...
Haya yaliyotokea jana kwenye miji ya majimbo mbalimbali si maandamano.
Hayakuwa maandamano ya kudai haki.
Zile zilikuwa ni vurugu.
Sasa kinachobamba kwenye habari si kifo cha George Floyd. Ni hizo vurugu za hao wapumbavu.
Majitu yanaenda yanavunja maduka na kuiba pombe, nguo, masufuria, nepi...
Idara ya Haki ya Marekani imesema imeupa kipaumbele cha kwanza uchunguzi wa Polisi kuhusika na kifo cha George Floyd huku maandamano ya vurugu yakiingia siku ya 2
Idara hiyo imesema Waendesha Mashtaka Waandamizi na Wapelelezi kutoka FBI (Federal Bureau of Investigation) wanachunguza kuangalia...
Waandamanaji nchini Marekani wameingia mitaani katika majimbo kadhaa wakishinikiza magavana kufungua uchumi wa majimbo yao kwa kuondosha amri ya kutokutoka nje ama 'lockdown'.
Marufuku hiyo ya kutokutoka nje imewekwa katika majombo yote ya Marekani ili kudhibiti kusambaa kwa janga la virusi vya...
Nashindwa kuelewa nini maana ya siasa kwamba inafikia hatua watu wazima na akili zao wanashindwa kujua mipaka ya majukumu yao.
Kwanini msitambue wala kujua mambo hatari kwenye usalama wa nchi?
Vyovyote mfanyavyo, msivuke msitari mwekundu, si tu mtaumizwa bali pia mtauliwa kabisa na kutoweshwa...
Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji.
Katika kesi hiyo...
Aliyetengeneza hiki kirusi pengine hakujua kitasambaa kiasi hiki Nina uhakika hofu iliyopo Duniani kwa sasa dhidi ya Coronavirus ni kubwa kuliko Silaha za maangamizi ya Nuclear
Hakuna mwanadamu popote Duniani ataandamana kwa sasa
Hii itakuwa na athari ya muda mfupi juu ya uchumi wa Dunia...
Ni wazi kwamba China isingeliweza kutumia mbinu ya kuzima maandamano ya Hongkong kwa nguvu kama ilipotumia nguvu kubwa kuzima maandamano ya Tianamen kati ya juni 3 na juni 4 mwaka 1989 iliyopelekea kuuawa kwa watu zaidi ya 1000
China imeona hatari kubwa ya kugawanywa kulingana na vugu vugu...
Maandamano ya amani ambayo baadae yaligeuka yenye vurugu yafanywa na wananchi wa Irani hasa wanafunzi wa vyuo kulaumu kitendo cha kudungua ndege ya abiria ya ukraine kimakosa., Wanahoji ni kwa nini kiongozi wa kidini wa nchi hiyo Ayatollah Ali Khamenei asiachie ngazi.
Balozi wa United...
Waandamanaji wengi sana!
An imaginary situation, USA akidondosha ka bomu kamoja katka utitiri huo, ataua wangapi! Kitatokea nini?
Trump amesema " I will hit back severely if Iran retaliates".
Tuombe, let each party restraint from acting as per his wishes.
Nakumbuka kwenye mwaka 2006 au 2007, yalifanyika maandamano makubwa binafsi nilikutanana nayo maeneo ya Kinondoni Mkwajuni maandamano yalikuwa na dhima ya kufikisha ujumbe kwa taifa la Marekani waandamanaji walisikika wakiimba “Bush gaidi” utaratibu wa maandamano nchini ni pamoja na Kuomba...
Huu ndio ukweli, tungekuwa uoga huo tumeuelekeza kwenye kuiogopa ngono zembe na uasherati ingekuwa safi sana, maambukizi ya magonjwa ya ngono yasingekuwepo miongoni mwa vijana wetu.
Lakini cha ajabu Ukimwi unamaliza vijana na wala hawonekani kuujali wala kuogopa.
Unaogopa kufa kwenye...
Waandamanaji walikusanyika mjini New York, Marekani hapo jana kwa lengo la kushinikiza kushitakiwa na kuondolewa madarakani rais Donald Trump.
Mkusanyiko huo unafanyika katika kipindi kifupi kabla ya leo hii, siku ambayo Baraza la Wawaikilishi linatarajiwa kupiga kura kuridhia hatua ya...
Mama hafahamu mwenye njaa haogopi kufa, kwani hata njaa itamuua.
Kuna muda nawaza hawa watu wamesomeshwa na mission nini? Hawajui njaa kabisa. Tuliopitia huu msoto kipindi kile tunaelewa.
=====
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu...
Maelfu ya watu wameteremka majiani katika miji kadhaa ya India , masaa machache tu baada ya dazeni kadhaa za waandamanaji na maafisa wa polisi kujeruhiwa, machafuko yaliporipuka katika viwanja vinavyozunguka vyuo vikuu.
Sheria ya uraia iliyoidhinishwa wiki iliyopita inawaruhusu wahamiaji ambao...
Ghasia zimeibuka tena katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, ambapo vikosi vya usalama vimetumia gesi ya kutoa machozi na mizinga ya maji dhidi ya waandamanaji ambao walikuwa wakirusha chupa na mabomu ya kienyeji karibu na jengo la bunge.
Idadi kubwa wa watu walijeruhiwa katika kadhia hiyo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.