maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha Polisi kuzuia mikusanyiko, mikutamo na maandamano kama inavyoruhusiwa na Katiba chateguliwa!

    Yawezekana watu wengi wanashangaa kwa nini hali imeendelea kuwa shwari toka Mh. Tundu Lissu atue nchini. Binafsi nawapongeza Watanzania wenzangu, asanteni Watanzania popote mlipo. Watanzania kwa mamia na maelfu wameweza kujitokeza kwa wingi na kuandamana kwa amani bila misukosuko yoyote kutoka...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Lebanon: Watu 728 wajeruhiwa katika maandamano

    Takribani watu 728 wamejeruhiwa na polisi mmoja ameripotiwa kufa katika maandamano yanayoendelea Lebanon, baada ya kutokea mlipuko katika Bandari ya Beirut Mamlaka za Lebanon zinawashikilia watu 19, huku uchunguzi ukiendelea kuhusu mlipuko huo ulioua watu 158 na kujeruhi zaidi ya 6,000, idadi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je, maandamano yataruhusiwa siku za kuchukua na kurejesha fomu wagombea wa Urais?

    Mwaka 2015 tulishuhudia usumbufu wa kiwango fulani hasa wakati wa kurejesha fomu kwa wagombea wa urais, barabara zilifungwa na baadhi ya shughuli kulazimika kusimama. Safari hii zoezi hili linafanyikia Dodoma na kuna chama kimeshawatangazia wafuasi wake " watata watata" kuwa mgombea wao...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa siku ya kufunga kampeni za urais 2015 alifunga mitaa yote ya Dsm kwa maandamano lakini aliangukia pua!

    Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani. Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa? Maendeleo hayana vyama!
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi waonya mikusanyiko ya kumpokea Lissu, na maandamano ya wanafunzi

    Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020. Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
  6. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

    Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.
  7. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kutoka maandamano hadi “mapinduzi”, waandamanaji wa “BlackLivesMatter” wanataka kufikia lengo gani?

    Mwezi zaidi ya mmoja umepita tangu maandamano ya kupinga kifo cha mmarekani mwenye asili ya Afrika George Floyd mikononi mwa polisi kuibuka nchini Marekani na kusambaa katika Ulaya, Australia na baadhi ya nchi za Afrika. Dhamira ya awali ya maandamano hayo ilikuwa ni kupinga ubaguzi wa rangi...
  8. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Vladimir Putin wa Urusi akosoa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi Marekani. Asema yale sio maandamano, ni fujo

    Rais wa Jamuhuri ya Urusi Bwana Vladimir Putin amekosoa vikali maandamano yanayoendelea nchini Marekani ya kupinga ubaguzi na kusema yale sio maandamano bali ni fujo. Putin anasema zile ni fujo zilizojificha kwenye mgongo wa maandamano ya kudai haki za usawa na ubaguzi wa rangi. Binafsi...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Twitter yafuta akaunti 170,000 zilizokuwa zikihamasisha maandamano Hong Kong na kueneza uongo kuhusu usambaaji wa COVId-19 China

    Mtandao wa Twitter umesema umezifuta akaunti 170,000 zilizokuwa zinahamasisha maandamano Hong Kong, kutoa mtazamo wa uongo kuhusu COVID19 na kuhusu maandamano ya Marekani ya George Floyd Twitter imesema akaunti 23,750 zilizoandika jumbe hizo na 150,000 zilizosaidia kusambaa zaidi jumbe hizo...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanayoendelea yatufunze kuona haki za binaadamu kwa jicho pevu

    Katika nchi zinazoendelea watu wamekuwa wakiuawa na watu wasiojulikana au wengine wakifa mikononi mwa polisi. Watu wamekuwa hawaoni umuhimu wa kuikumbusha serikali kuhusu hayo kwa visingizio kuwa aliyekufa au kuonewa alikuwa akifanya kazi fulani, tabia fulani au alikuwa na itikadi fulani hivyo...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania’s Elizabeth Maruma Mrema appointed as Executive Secretary of the U.N. Convention on Biological Diversity (CBD)

    JUST IN - United Nations Secretary-General António Guterres has appointed Elizabeth Maruma Mrema of Tanzania as Executive Secretary of the U.N. Convention on Biological Diversity (CBD), which is based in Montreal, Quebec, Canada. ======= United Nations Secretary-General António Guterres...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Watu 36 wakamatwa kwa kuwashambulia polisi katika maandamano

    Jumla ya watu 36 wamaekamatwa wakati wa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa Polisi uliofanyika na kusababisha kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd. Waandamanaji hao wamekamatwa kwa kufanya fujo, uharibifu na kuwashambulia polisi. Taarifa iliyotolewa hivi karibuni imesema...
  13. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona maandamano yamepamba moto nchi zenye lockdown

    Nimejaribu kufuatilia maandamano yanayofanyika USA. Ukweli ni kwamba watu wamechoka na lockdown. CORONA kweli ipo lakini kwa jinsi ilivyowekwa ni tofauti na uhalisia. Nimeona maamdamano Italy, USA nk. Watu wananjaa wanaingia kwenye maduka na kubomoa.
  14. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu ishara ya kupiga goti moja chini inayofanywa katika maandamano ya George Floyd nchini Marekani

    Habari! Ikiwa ni takribani wiki mbili zimepita baada ya tukio la kuuawa kwa Mmarekani mweusi George Perry Floyd Jr. ama George Floyd jijini Minneapolis, Minnesota nchini Marekani yakifuatiwa na maandamano makubwa ya kupinga kitendo hicho sambamba na udhalilishwaji wa watu weusi kwa ujumla...
  15. Allan8

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanayoendelea USA ni sawa na kufunga goli baada ya kipenga cha mwisho

    Poleni na harakati za kila siku. Ni matumaini yangu kuwa nyote mu wazima wa afya. Basi kama kichwa cha habari kilivyo mimi binafsi ninaona marehemu hakutendewa haki. Wakati jamaa amewekewa goti juu ya shingo yake na askari Nina imani kulikuwa na mashuhuda mbalimbali eneo la karibu. Je...
  16. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Jeshi awaagiza askari walinde Katiba juu ya maandamano na sio kumlinda Trump na kauli zake

  17. comte

    JamiiForums Tanzania Waamerika wajichambua kufuatia mauaji ya George Floyd, maandamano na matamshi ya Rais Mstaafu Barack Obama

    In 2008, Barack Obama campaigned as a new kind of politician, someone who could bring America's disparate factions together in a new era beyond partisan politics. Like many of Obama's campaign promises, things haven't quite worked out that way. After eight years of his own partisan attacks...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Maandamano haya yanaweza kubadili uelekeo na kuwa sababu ya kumtoa Trump madarakani

    MAANDAMANO HAYA YANAWEZA KUCHANGE DIRECTION NA KUWA SABABU YA KUMTOA TRUMP MADARAKANI Maelfu ya watu wamejitokeza kote New York kwa maandamano yaliyoendelea usiku kucha juu ya kifo cha George Floyd Maandamano juu ya kifo cha raia mweusi wa Marekani George Floyd bado yanaendelea kwa usiku wa...
  19. Jile79

    JamiiForums Tanzania Haki ya kuandamana na tamko la Tanzania kuhusu maandamano Marekani!

    Kufuatia kifo cha kikatili cha Mmarekani mweusi George Floyd, kumetokea maandamano Marekani na sehemu mbalimbali duniani kote tangu wiki iliyopita. Hapa kwetu Tanzania haki ya maandamano imetamkwa kikatiba katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Matukio mengi sana ya kuogofya yemetokea...
  20. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania USA: Hapa ndio polisi wameua mmoja tu, hali iko hivi ya maandamano. Wangekuwa watatu au zaidi unadhani ingekuwaje?

    Hii ndiyo USA. Polisi kwa kutokuwa makini na kwa kukanyaga sheria zinazowaongoza kufanya kazi zao wakaua RAIA MMOJA TU asiye na hatia na asiye silaha kabisa huku wakiwa wameshamkata. Hali iko hivi. Serikali nzima iko kwenye misukosuko. Inasemekana watu ilibidi waingie kwa nguvu hadi kwenye...
Back
Top Bottom