Makamanda nisaidieni: Hivi " Peoples power" ni lazima iendane na uporaji? Au ndio sababu Polisi huzuia maandamano yenu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
42,109
2,000
Nguvu ya Umma au peoples power kinadharia hutumiwa sana na Chadema lakini waliwahi kuitumia kivitendo wakati fulani tukashuhudia kifo cha binti asiye na hatia.

Ninafuatilia kinachoendelea Marekani kupitia luninga ya Al-Jazeera kiukweli sijaelewa kama hii ndio nguvu ya Umma wanayoiamini Chadema...... au ndio peoples power inayohofiwa na Polisi.

Niwaombe makamanda mkieemo Tindo, Allen Kilevela, mmawia, G.sam, Mrangi nk mkuje mnipe darasa kidogo mnapozungumzia nguvu ya Umma mnamaanisha nini?

Nawatakia Pentecoste yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
8,711
2,000
Nguvu ya Umma au peoples power kinadharia hutumiwa sana na Chadema lakini waliwahi kuitumia kivitendo wakati fulani tukashuhudia kifo cha binti asiye na hatia.

Ninafuatilia kinachoendelea Marekani kupitia luninga ya Al jazeera kiukweli sijaelewa kama hii ndio nguvu ya Umma wanayoiamini Chadema...... au ndio peoples power inayohofiwa na polisi.

Kwenye maandamano yoyote lazima kuwe na watu wengine wenye malengo tofauti na malengo kusudiwa, Wahenga walisema kwenye msururu wa mamba kenge hawakosekani. Vibaka, wahuni nk ndio Kenge.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
52,047
2,000
Kuna haya maandamano ya MATAGA mliyafanya hadi kwenye ubalozi wa South Afrika mkidai ndege iliyodakwa na Mkulima anayetudai pesa,
630a222c6ead9e0ee03e2e7bd8481b0f.jpeg
_108523578_042a1081.jpg
69171675_963181377356597_1781791595339710464_n.jpg

Sasa mleta mada wewe kama sehemu ya mataga hebu tuambie haya mliyokua mnayofanya na mkadhibitiwa na polisi ndiyo peoples power au inaitwaje hii?

NB:Maandamano haya yaliratibiwa Lumumba na vijana wa uvccm wapo wamerekodiwa wakihojiwa eneo la maandamano wakiwa na mabango 🤣
 
SHANTI

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
246
500
Nguvu ya Umma au peoples power kinadharia hutumiwa sana na Chadema lakini waliwahi kuitumia kivitendo wakati fulani tukashuhudia kifo cha binti asiye na hatia.

Ninafuatilia kinachoendelea Marekani kupitia luninga ya Al jazeera kiukweli sijaelewa kama hii ndio nguvu ya Umma wanayoiamini Chadema...... au ndio peoples power inayohofiwa na polisi.

Niwaombe makamanda mkieemo Tindo, Allen Kilevela, mmawia, G.sam, Mrangi nk mkuje mnipe darasa kidogo mnapozungumzia nguvu ya Umma mnamaanisha nini?

Nawatakia Pentecoste yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Mahakama imetamka bila kupepesa macho kuwa Mbowe na wenzake hawahusiki na kifo Cha yule binti.

Achana na ushabiki unaweza kushitakiwa wewe binafsi kwa hiki ulichoandika.
Mahakama ya kisutu imepokea na kesi ya mitandao kwa reference ya post za jamii forum.

Jiulize kwa ukimya nafsini mwako, hivi Mbowe na Chadema waishtaki JF , watoe ID yako na wewe ujumlishwe kwa style ileile ya kesi ilyopita itakuwa wapi.

Ningekusihi ufanye editing kidogo otherwise Kuna kitu unakijua na unatakiwa ukatoe ushahidi mahakamani .
Jinai huwa haiozi siku ushahidi ukipatikana muhusika anapewa mimba yake.

Ila kwa Sasa tuendelee na msimamo wa mahakama ya kisutu ambayo iliwa clear Mbowe na wenzake.

Ni ushauri tu ,
 
kantasundwa

JF-Expert Member
May 25, 2020
1,557
2,000
Ina maanisha nguvu ya umma..ni umma katika kudai haki iliyo ndani ya sheria au katiba...hufanyika ktk kutafuta haki na sio uharifu
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,421
2,000
Nguvu ya Umma au peoples power kinadharia hutumiwa sana na Chadema lakini waliwahi kuitumia kivitendo wakati fulani tukashuhudia kifo cha binti asiye na hatia.

Ninafuatilia kinachoendelea Marekani kupitia luninga ya Al jazeera kiukweli sijaelewa kama hii ndio nguvu ya Umma wanayoiamini Chadema...... au ndio peoples power inayohofiwa na polisi.

Niwaombe makamanda mkieemo Tindo, Allen Kilevela, mmawia, G.sam, Mrangi nk mkuje mnipe darasa kidogo mnapozungumzia nguvu ya Umma mnamaanisha nini?

Nawatakia Pentecoste yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!

Ukaiulize serikali ya --------- ni ile ile.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
42,109
2,000
Kuna haya maandamano ya MATAGA mliyafanya hadi kwenye ubalozi wa South Afrika mkidai ndege iliyodakwa na Mkulima anayetudai pesa,
View attachment 1464318 View attachment 1464319 View attachment 1464320
Sasa mleta mada wewe kama sehemu ya mataga hebu tuambie haya mliyokua mnayofanya na mkadhibitiwa na polisi ndiyo peoples power au inaitwaje hii?

NB:Maandamano haya yaliratibiwa Lumumba na vijana wa uvccm wapo wamerekodiwa wakihojiwa eneo la maandamano wakiwa na mabango 🤣
Bwashee hii siyo peoples power bali harakati za kawaida kabisa!
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
8,711
2,000
Kwenye maandamano uporaji hauepukiki tofauti na operation bwashee!

Nakwambiaje, Kila siku katika opereations duniani watu wanakufa je dunia imewahi kusema kwamba operations za wagonjwa ni haramu?? Maana yake ni nini??- ni kwamba katika kila jambo jema pia kuna uwezekano wa kutokea kasoro, kinachoangaliwa ni je kasoro na faida kipi kimeshamiri baada ya udhibiti wa hizo kasoro.

Sasa katika maandamano inatakiwa Waandamanaji kwanza waeleze kusudi la maandamano, pili Polisi wajulishwe ili wao wafanye kazi ya usalama wa kuwalinda waandamaji na kudhibiti watu wabaya wanaoweza kujipenyeza katika maandamano kwa nia ya kufanya uhalifu wowote.

Kumbuka maandamano yapo kisheria. that is all I can say.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom