Nani alibariki maandamano haya makubwa

Nani alibariki maandamano haya makubwa

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
312
Reaction score
616
Nakumbuka kwenye mwaka 2006 au 2007, yalifanyika maandamano makubwa binafsi nilikutanana nayo maeneo ya Kinondoni Mkwajuni maandamano yalikuwa na dhima ya kufikisha ujumbe kwa taifa la Marekani waandamanaji walisikika wakiimba “Bush gaidi” utaratibu wa maandamano nchini ni pamoja na Kuomba Vibali polisi....leo nimekumbuka na nimetamani kujua ni nani alikuwa nyuma ya maandamano hayo?
 
Asiyempenda bush
 
Itakuwa Kichaka.🤣

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom