maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyambala

    JamiiForums Tanzania Maandamano 2.0 - Yenye ufanisi, nchi nzima na haumizwi mtu

    Vurugu na ukatili wa Vyombo vya Dola ni sehemu muhimu ya Serikali za kidikteta katika kupambana na wapinzani wao kwa kisingizio cha kulinda amani na usalama. Kuna kila dalili maandamano yaliyoandaliwa leo yatajibiwa kwa nguvu kubwa ya dola ili kutisha wananchi, maana yakiruhusiwa yatawapa...
  2. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Kufanya maandamano ni kosa gani kisheria?

    Nataka nikuulize wewe DC au RC au Polisi ambaye unawatishia watu kua utawakamata watakaofanya maandamano, maandamano ya amani yamezuiliwa na Sheria ipi? Twafahamu kuwa wewe ni kada wa CCM na unatumika. Ufahamu kabisa kama ataumizwa au kuuawa Raia yeyote ambaye atatokana na maandamano haya...
  3. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwazuie Lissu na Hamad kufanya Maandamano

    Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa Serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine. Ikiwezekana maandamano yote yarekodiwe tangu mwanzo hadi mwisho; yakiisha bila kuingilia uhuru na haki za raia...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    UPDATE "Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM. ===== Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP...
  5. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi. Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio nje ya nchi (Tanzania Diaspora) waanza kuandamana

    Watanzania tuishio nje ya nchi (TANZANIA DIASPORA) tumeanza kuandamana kupinga UCHAFUZI uliofanyika juzi hapo nyumbani Tanzania! Hawa ni ndugu zetu kutoka Ulaya ya Kaskazini (Sweden 🇸🇪, Norway 🇳🇴 na Denmark 🇩🇰) ambao tayari wameanza maandamano yao nje ya Ubalozi wetu uliopo Stockholm, Sweden...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo: Hoja saba zinazowafanya Watanzania wasiwe tayari kumwaga damu kwa maandamano

    CHADEMA na ACT-WAZALENDO: Hoja 7 Zinazowafanya Watanzania Wasiwe Tayari Kumwaga Damu kwa Kuandamana. Vyama vya CHADEMA na ACT- Wazalendo vimekutana na kuwaambia waandishi wa habari eti kuanzia jumatatu wataanza maandamano yasiokuwa na kikomo kwa kile walichodai eti kuibiwa kura katika Uchaguzi...
  8. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwani Maandamano yana tatizo gani watu kudai haki na ni halali askari kuyazuia?

    Wasalaam wajumbe! Mimi ninashangaa sana wanaodai kuwa ooh sijui maandamano yatavuruga amani ya nchi, kwani maandamano si yapo kikatiba na yameruhusiwa kabisa pale mtu anapohisi kua haki yake imepokwa? Kama waandamanaji wanadai kua maandamano ni ya amani na wao hawatashika silaha au kitu...
  9. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    UPDATES: 05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari. MNYIKA: Viongozi wakuu wa vyama vyetu tumekuwa kwenye vikao vya mashauriano na vimeendelea leo asubuhi...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

    Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba. Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani (CHADEMA& ACT-Wazalendo) kwenye mgomo wao na maandamano

    Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani kwenye mgomo wao na maandamano. Kwanza vyama vya upinzani vimegoma kukubali mapungufu yao makubwa kabisa ya kimuundo na kisera katika vyama vyao. Kwanza kabisa wananchi wanataka kujua kama kweli wana nia ya dhati? Kwanini kuna ACT Wazalendo...
  12. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Michenzani, Zanzibar: Maalim Seif akamatwa kwa kutaka kuongoza maandamano ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi

    Mwenyekiti wa ACT Maalim Seif Sharif Hamad, Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji Ismail jussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa muda huu Michenzani walikuwa wanaongoza maandamano ya kutafuta haki.
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya ufalme, Waziri Mkuu yaendelea Thailand

    Licha ya kutangaza kutoongeza eneo la hali ya hatari, Waziri Mkuu wa Thailand ameitisha kikao maalum cha bunge katika wakati ambapo maandamano ya kumshinikiza kujiuzulu na mageuzi ya mfumo wa kifalme yakipamba moto. Katika kile kinachoonekana kama kulegeza misimamo yake, Waziri Mkuu Prayuth...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Maandamano makubwa nje ya lango kuu la Mererani muda huu baada ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe

    Mererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii ni kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao wamekataa kuchukua mwili kwa ajili ya maziko
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 50 wauawa katika maandamano Guinea

    Vikosi vya uslama vyalaumiwa kwa kutekeleza mauaji. Vikosi vya uslama vyalaumiwa kwa kutekeleza mauaji Guinea Shirika la kutetea haki la Amnesty International limesema karibu watu 50 wameuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya kupinga serikali nchini Guinea mwaka jana. Ripoti mpya ya...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UNESCO: Waandishi wananyanyasika ku'cover' stori za migomo na maandamano

    UNESCO: UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA HAKI YA KUPATA TAARIFA WAZIDI KUFINYWA DUNIANI UNESCO imeripoti kuwa waandishi wa habari wanatendewa maovu wanapokuwa kazini hasa kufuatilia matukio ya migomo na maandamano. Ripoti imeonyesha polisi wamekuwa wakivunja uhuru wa vyo vya habari kwa nusu ya...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi: Tangazo la nywele lasababisha maandamano

    Waandamanaji nchini Afrika Kusini wamewalazimisha wenye maduka ya dawa na vipodozi kufunga maduka yao, baada ya kurushwa kwa tangazo la nywele ambalo wanadhani kuwa la ubaguzi wa rangi. Tangazo hilo linaonesha picha za nywele za kiafrika zikiwa kavu na hazina muonekano mzuri wakati nywele za...
  18. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Shangazi: Tume ina majaji 4 lakini wote kama hawajui sheria na hukumu ipo kuwa Maandamano huwa hayahitaji kibali

    NEC ina makamishna 4 majaji na nina hakika wanaelewa kuwa Mahakama ya Rufaani ilitoa HUKUMU kwamba wananchi hawahitaji KIBALI kutoka popote ili kuandamana PEACEFULLY. Polisi ijuilishwe tu lakini kazi yake si kutoa KIBALI! #FactCheck TUME isipate #ElectionFever https://t.co/mAScpweFMb
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtazamo: Tunakoenda watu watakuwa tayari kujitokeza na kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kujitokeza kwenye mikutano ya kampeni

    Kwa yanayoendelea,wananchi wanapata picha kuwa hakuna tena uchaguzi na hivyo hakuna maana yoyote ya kushiriki mikutano ya kampeni kwani hakuna tena kinachoitwa uchaguzi kwa maana ya uchaguzi kwa sifa zake. Hivyo, wananchi hawa wataamasika zaidi kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kwenda...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaendelea Belarus, kumtaka Rais ajiuzulu kwa kudanganya kwenye Uchaguzi

    Maelfu ya waandamanaji wa upinzani wameandamana jiji Minks nchini Belarus kumshinikiza Rais Alexander Lukashenko kujiuzulu kutokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu wanayosema hayakuwa Huru na Haki. Maandamano haya yameelezwa na wachambuzi wa mambo kuwa ndio makubwa zaidi kuwahi...
Back
Top Bottom