Mgomo wa kitaifa umeathiri shule na usafiri wa umma nchini Ufaransa
Shughuli za usafiri zimesitishwa, shule zimefungwa, na katika mnara wa Eifel, hakuna watu baada ya vyama vya wafanyakazi kuitisha migomo kupinga mipango ya serikali ya kuufanyia marekebisho mfumo wa pensheni.
Jiji la Paris...
Wanabodi,
Kazi Kuu ya Jeshi la Polisi ni kulinda raia na mali zao, katika kutimiza jukumu hilo, pia wanawajibu wa kutuliza ghasia na kuhakikisha kunakuwepo amani na utulivu kwa ustawi wa taifa hili.
Kwa vile tayari kuna viashiria vyote vya uwezekano wa kutokea vitendo vya fujo na uvunjifu wa...
Wandugu wanajamvi
Hivi hawa CHADEMA mbona nakuwa siwaelewi sasa,Kila kukicha hapa utakuta thread za mara CHADEMA wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.