maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Lissu mjanja ameona maandamano hayana maana

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amebainisha kuwa Tundu Lissu ni mjanja ndio maana ameamua kuwakimbia CHADEMA baada ya kuona hakuna haja ya kufanya maandamano yasiyo na tija wala maana yoyote na kuamua kwenda zake Nchini Ivorycoast kuangalia...
  2. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pamoja na UCCM wangu, CHADEMA wana hoja ya kitaifa waachwe waseme kupitia maandamano

    Hizi ni hesabu za kijinga sana kuwazuia CHADEMA kuandamana. Kwanza watazuia nini? Ni nchi ipi duniani watu hawaandamani? WanaCCM wenzangu tutambue kuwa kama Kuna jambo CHADEMA ya Mbowe imefanikiwa ni kukubalika katika jumuiya za Kimataifa. Tutakosea sana kuzuia maandamano yake tena kwa kutumia...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea Polisi wakiruhusu Maandamano ya CHADEMA?

    Habari JF , hivi nini kitatokea CDM wakiruhusiwa waandamane ? Mbona ni kama maisha yataendelea hawata kuwa na madhara yoyote na Rais Samia atapata points za kuwa mwana demokrasia . Binafsi sioni haja ya Polisi kutumia nguvu waachwe tu .
  4. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dodoma asimamishwa uongozi. Alitoa kauli kuyapinga maandamano ya CHADEMA

    Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Ikumbukwe kuwa msimamo wa ACT Wazalendo ambao unatokana na azimio...
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Vyama vingine 6 vyajitokeza kupinga maandamano yaliyoitishwa na CHADEMA

    Wakati zikiwa zimesalia siku sita kabla ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufanya maandamano, vyama vya ACT Wazalendo, CUF, NCCR Mageuzi, AAFP, ADC na Demokrasia Makini vimesema havitashiriki na haviungi mkono kufanyika kwake. Wakizungumza mbele ya waandishi wa habari leo Alhamisi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe: Ni haki ya kila chama dunia nzima kufanya maandamano wakiona kuna mambo hawaridhiki nayo

    Hashimu Rungwe atoa maoni yake kuhusu maandamano ya CHADEMA, asema ni haki ya dunia nzima kufanya maandamano ikiwa kuna mambo wanaona hayaendi sawa. Katiba ya nchi inaviwezesha vyama dunia nzima kufanya maandamano pale ambapo kukiwa na mambo ambayo hawaridhiki nayo. Kama wao wamesema kuhusu...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Upinzani DRC waitisha maandamano Kupinga ushindi wa Tshisekedi

    Viongozi Watatu wa Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameitisha maandamano Nchi nzima mnamo Januari 20, 2024 siku ambayo Rais Félix Tshisekedi anatarajiwa kuapishwa kwa Awamu ya Pili kuwa madarakani. Tshisekedi ameshinda uchaguzi kwa 73% ya kura, kulingana na Tume ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimeshtushwa na taarifa kwamba ACT Wazalendo wameungana na CCM kupinga maandamano ya CHADEMA

    Nikitafakari namna ACT Wazalendo wanavyofanya siasa na malengo waliyonayo kisiasa kwa siku za mbeleni naona wanakosa mikakati sahihi. Sometimes kuna kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo na ukafanikiwa kufikisha ujumbe na kuna kuamua kutoka adharani. ACT siyo chama cha kutoka adharani kikiongozwa...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zikiwa zimesalia siku chache, Wadau wazidi kuunga Mkono Maandamano ya Amani

    Huku kukiwa Tayari kumetolewa ratiba kamili ya maandamano ya Chadema na Wananchi , ili kupeleka ujumbe duniani wa kushinikiza kuondolewa kwa miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi bungeni , Tayari lundo la Wadau wameunga Mkono jambo hilo wakiwemo Waandishi wa habari Hesabu ya leo inaonyesha...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Maandamano ya Bobi Wine yazimwa. Wanajeshi wamdhibiti kabla hajatoka nyumbani kwake

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda na aliyekuwa mgombea urais Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine amesema kuwa leo Alhamisi polisi walikuwa wamezingira makazi yake na kumweka "chini ya kizuizi cha nyumbani" kabla ya maandamano aliyopanga Wanasiasa wa Upinzani nchini Uganda walikuwa...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wassira apinga CHADEMA kufanya maandamano. Adai viongozi wa chama hicho wanajua utaratibu

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amekosoa hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutaka kufanya maandamano kupinga miswada ya sheria za uchaguzi na ugumu wa maisha akisema ni dalili ya kupungua kwa uvumilivu nchini. Wasira amesema hayo leo Januari...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila ni muumini wa maandamano ya amani, bado tunakumbuka kauli ya Mwanza

    Salaam, Shalom!! Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza. Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali. Ni muhimu ukawapa ushirikiano CHADEMA maana Dar Ina wapiga kura pia ambao wangependa kushuhudia na kushiriki...
  13. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuache drama maandamano ni mambo ya kawaida kisheria

    Serikali inajaribu kukuza mambo ambayo yanatakiwa kuwa utamaduni wa kawaida. Maandamano ni sehemu ya demokrasia na maandamano sio fujo ni haki ya kujieleze. Badala ya kujaza Polisi wa wanajeshi kama vile kuna vita kunatakiwa kuwa na pikipiki za Polisi kama maandanamo ya sabasaba au Mei Mosi...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nitashiriki kuzuia maandamano ya CHADEMA Januari 24, 2024

    Uhuru wangu utakomea pale unapoanzia uhuru wa mwenzangu. Kuna wanaotaka kuandamana na kuna wasiotaka kuandamana itakuwaje hapo? Kuna magari na waenda kwa miguu watakaosumbuliwa na maandamano haya yanayofanyika siku na saa za kazi. Chadema ilikutana na wananchi wanaolalamika wangapi lini na wapi...
  15. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu ADC: Tulipanga kufanya maandamano kuunga mkono miswada ipitishwe kuwa sheria lakini CHADEMA wakatuwahi

    Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA...
  16. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdul Mluya: Sisi tulishapigwa, kama CHADEMA wanataka maandamano wajipange na familia zao mbele wapate ladha yake

    Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate...
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

    Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam. Nakala za barua za taarifa ya Maandamano haya zimepelekwa kwa makamanda wote wa Polisi Wilaya...
  18. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kushirikiana na Jeshi Kufanya Usafi Tarehe 23 na tarehe 24 Ili kuwela mazingira Safi ya Maandamano

    CHADEMA KUSHIRIKIANA NA JESHI KUFANYA USAFI ILI JAN 24 WAANDAMANE SEHEMU SAFI "Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi Uteuzi wa Nchimbi ulivyofifishwa na Taarifa za Maandamano ya CHADEMA

    Dkt Emmanuel Nchimbi ameteuliwa na chama chake kuwa Katibu Mkuu , kwa kadiri ya kumbukumbu zetu , kwa mtu yeyote kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni jambo kubwa linalopaswa kuzagaa midomoni mwa wananchi na vyombo vya Habari , hii ni kwa sababu Chama hicho ni kikongwe mno , ikizingatiwa pia...
  20. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtazamo: Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024 yaachwe ili lengo la Mbowe lisitimie

    Mbowe na CHADEMA wana lengo la kupeleka ujumbe duniani juu ya demokrasia ya Tanzania na watatumia maandamano kufikisha ujumbe huo. Kwa kuwa CHADEMA kinakabiliwa na kutokukubalika na wananchi wa hapa nchini hivyo wanaamini wakifanya jambo litakalochochea vurugu na ikitumika nguvu kudhibiti...
Back
Top Bottom