maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Jeshi Linapaswa Kusimamia Ulinzi na Kulinda Usalama, suala la Maandamano Kauli ya Chalamila Inautata

    Jeshi La Ulinzi na Usalama ni kwaajili ya wananchi. Kauli ya Jeshi kufanya usafi baada ya tangazo la maandamano ni mara ya pili sasa, hii ni kwaajili kuwapa hofu wananchi katika kuandamana. Tunajua Maandamano yanamadhara yake makubwa lakini Jeshi la Ulinzi na Usalama tunaomba msimame kulinda...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yakubali kufanya mdahalo na CCM kwa masharti

    Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam, ameibuka Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi na kutoa kauli potofu dhidi ya Maazimio ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maanadamano yasiyoifanya Katiba Mpya kuwa ni ajenda kuu ni maandamano ya wasaka vyeo

    Katika nchi yetu tatizo la msingi siyo sheria za uchaguzi, Tatizo la msingi ni katiba mbovu inayozaa mfumo mbovu wa uongozi na utawala, mfumo mbovu wa haki na mfumo mbovu wa uwajibikaji. Nashangaa chama kikuu cha upinzani ambacho kinajua wazi kuwa mzizi wa fitina ni katiba mbovu, hakina...
  4. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Jeshi litafanya usafi tarehe 23-24, basi CHADEMA ifanye maandamano tarehe 25 wapite njia zikiwa safi

    CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23. Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi. Hata hivyo suala la usafi ni suala muhimu Sana,, Hivyo CHADEMA nawashauri tarehe Hiyo wasofanye MAANDAMANO Yao...
  5. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanganyika wanaogopa maandamano: Virungu vya polisi ni vikali

    Famchezo nini!! Ukinyukwa kirungu cha ugoko lazima utoe gesi kwa mkupuo. Historia inaonesha watanganyika wanaogopa matokeo ya maandamano kuliko maandamano yenyewe. Mwaka 2018, Bwana Mbowe aliitisha maandamano lakini akaambulia patupu. Hakuna mtanganyika aliyejitokeza. Baadaye dada uchwara wa...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu

    Wanabodi, Kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na uoga wa maandamano, naomba kutoa wito kwa serikali yetu, let's do things differently this time. Hiyo 24 Jan, namuomba sana Rais Samia, amuite Waziri wa mambo ya ndani na IGP kuwaeleza watoe kila aina ushirikiano ili CHADEMA ili kufanikisha...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa sababu hizi, maandamano ya CHADEMA Tar 24 yaungwe mkono na kila mtanzania

    1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi. 2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa nchi kuruhusu kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake. 3 Waarabu ambao ni ndugu zake na rais Samia...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mch. Msigwa alisema kufanya jambo lilelile kwa njia ile ile utarajie matokeo tofauti ni uwendawazimu

    CDM wamejaribu sanaa ya maandamano si jana si leo. Wameshakuwa na slogani nyingi, ukuta, katiba, M4C. Hakuna hata moja iliyowahi kufanikiwa. Mchungaji Msigwq alisema kwamba unapofanya jambo lilelile kwa njia ile ile, utarajie matokeo tofauti, ni uwendawazimu. Njia ya majadiliano imeleta...
  9. Kindeena

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbona CHADEMA mnalalamikia zoezi la usafi wakati RC Chalamila hajalaumu maandamano yenu?

    CHADEMA kupitia Mwenyekiti Mbowe wametangaza kufanyika maandamano Dar es Salaam, January 24, 2024. Lakini pia RC wa Dar es Salaam Bwana Chalamila Albert ametangaza Majeshi ya Ulinzi na Usalama kufanya usafi mkoani kwake tarehe 23-24 January 2024. CHADEMA kila kona mitandaoni wanamlaumu RC...
  10. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sina hakika kama RC Chalamila anaweza kuligusa kundi hili katika Maandamano ya CHADEMA

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam RC Albert Chalamila, jana alitangaza kuwa mkoa wa Dar es salaam utakuwa katika operation ya kufanya usafi siku ya tar 24/01/2024, siku ambayo pia ilipangwa kufanyika maandamano ya chama cha upinzani nchini Chadema. Watu wengi wamekuwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jan 23/24, Maandamano yahusishe wadau wote

    1. Kwamba tunataka katiba mpya? La mgambo limelia, haijalishi nani kaitisha. 2. Kwamba siku za nyuma kuna waliotutenda ndivyo sivyo, hayo yalikuwa mapungufu yao; hayatuhusu! 3. "Mwabukusi, Mdude, Buberwa, Sauti ya Watanzania, ACT, CHADEMA, TEC, BAKWATA, MAIMAMU, Masheikh, Maaskofu, nk; fursa...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Maandamano hapa ukitangazwa

    Huu utaratibu wachukue Chadema.
  13. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na tamko la maandamano ya amani

    Mbowe amezungumza......
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi. Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Papua New Guinea: Hali ya hatari yatangazwa Mji Mkuu baada ya maandamano na uporaji kutokana na kupanda kwa gharama za maisha na malipo finyu

    Papua New Guinea imekusanya vikosi vya usalama baada ya uporaji na ghasia nchini kote. Ufinyu wa ajira na kupanda kwa gharama ya maisha kumezua hali ya kufadhaika katika taifa hilo la Pasifiki Kusini Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape alitangaza hali ya hatari ya wiki mbili katika mji...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yafanyika Morocco kutaka kufutwa mahusiano na Israel

    Japokuwa Morrocco wamekuwa wakiandamana mara kwa mara dhidi ya Israel, lakini maandamano ya jana disema 24 ndiyo makubwa zaidi kufanyika kwa ajili ya kuitaka nchi yao kusitisha mahusiano yote yaliyokubaliwa mwaka 2020. Maandamano hayo yaliyosimamiwa na chama cha Kiislamu cha Al adl wal ihsan...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Moise Katumbi ataka uchaguzi ufutwe. Viongozi wa Upinzani wapanga kufanya maandamano

    Uchaguzi wa urais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) unakabiliwa na mgogoro wa uhalali kutokana na wito wa upinzani wa kufuta kura kutokana na udanganyifu uliodaiwa. Wapinzani watano, ikiwa ni pamoja na aliyekuwa Gavana wa Mkoa Moise Katumbi, walisema Jumamosi kwamba kura hiyo haipaswi...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Raia Iran wafanya maandamano ya furaha, maana furaha ni haram kwa hiyo nchi inayooongzwa kidini

    Nchi ya Iran inayoongozwa kwa itikadi za dini ya kiislamu huwa imeharamisha vitu vingi sana ikiwemo kucheza kwa furaha, sasa raia wa Iran wameanzisha aina mpya ya maandamano ili kujitoa kwenye utumwa wa kidini, wanacheza kwa furaha nchi yote na kupachika video kwenye mitandao, japo pia...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa Tel Aviv, baada ya Wanajeshi wa IDF kuwaua mateka watatu huko Gaza

    Wanaukumbi. Maandamano makubwa huko Tel Aviv Israel. Wananchi wa Israel wanapiga kwa nini jeshi la nchi yao limewaua mateka wao, Wananchi wanahoji kwa nini waliwapiga risasi wakati hawakuwa na silaha… Wananchi wa Israel wanaitaka mateka warudia wakiwa hai...
Back
Top Bottom