ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt.Wilbroad Slaa amesema pamoja na kutokushiriki katika siasa za jukwaani lakini hataacha kushirikisha uzoefu wake kwa vijana ili wautumie katika harakati zao.
Slaa amezungumza hayo leo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa JAMBOTV nyumbani kwake...
Tofauti kubwa ninayoiona kati ya CHADEMA na vyama vingine vya upinzani mfano ACT Wazalenda ni kwamba CHADEMA wanaogopa kusahaulika na ACT wanaogopa kushindwa. Hofu hizo ndio zinazoendelea kuutafuna upinzani mpaka mifupa.
Kitendo Cha CHADEMA kuambulia mbunge wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti...
Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali cha maandamano??
swali la ziada, je maandamano haya hayaweze ku-escalate na kuwahusisha watu wote...
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali...
Wanabodi,
Kitu chanye nguvu kuliko kitu chochote duniani ni imani!, faith, ukiamini unafungulia milango ya nguvu fulani zilizoko ndani yako zinazoitwa "will power" ni nguvu za nafsi ambazo zina uwezo wa kufanya kila kitu.
Wengi imani zetu tuezielekeza kwenye imani za dini kwa kuamini Mungu...
JAKAYA KIKWETE MUASISI WA JIJI JIPYA LA DAR ES SALAAM LENYE MIUNDO-MBINU YA KISASA
Awamu ya nne chini ya rais Jakaya Kikwete kwa nia safi isiyo ya kidikteta iliasisi ujenzi wa barabara pana za kisasa na za njia nne hadi nane ni mradi wa maendeleao ya vitu ambayo sasa inatumika kuibana CCM...
WAKATI niliposikia tangazo la maandamano lililotolewa na uongozi wa CHADEMA,Binafsi nilipata tumaini kuwa sasa ni ule muda uliosubiriwa na Watanzania kwa ajili ya kusimama,kupigana na kutetea haki zao za msingi kwa kupaza sauti kwa viongozi wao na kuwakumbusha juu ya wajibu na majukumu...
Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.
Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvu ila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa...
Niwapongeze CHADEMA kwa kuandaa maandamano haya muhimu. Mimi huwa nadeclare interest mara zote kwamba ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi. Sijawahi kuwa nje ya chama hiki asilani. Lakini kuna wakati mnauguza mgonjwa na haponi hivyo mnaomba Mungu amtwae kumpunguzia mzigo. Mgonjwa hakimbiwi...
Kama ni mfuatiliaji mitandao ya kijamii hasa u tube utanikubalia kuwa Zama zimebadirika.
System ime benefit kwa muda mrefu kutokana na ujinga wa jamii tuliyonayo
Kwenye mitandao ya kijamii watanzania wamekuwa kaa la Moto. Akili zilizoko huko ndani ndo zinezaa matunda mahsusi ya haya...
Kwa kweli leo tarehe 24, inabidi iingie katika historia kwa nchi hii, kwa kuwa ni kwa mara ya kwanza, tokea tupate uhuru kwa serikali yetu kuruhusu maandamano ya amani ya chama cha upinzani!
Ingawa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) na 18(2)...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema sababu za vyombo vya ulinzi na usalama kutoshiriki kufanya usafi leo kama aliyoeleza awali, imetokana na Jeshi la Polisi kutoa kibali cha maandamano kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Chalamila amesema vyombo hivyo...
Wakuu,
Baada ya polisi kutoa tamko la maandamano kufanyika nchini, kila kona ni sifa tu kuwa 4R zimefanyiwa kazi, demokrasia imekuwa nchini, mama ametenda na kadha wa kadha, huku pongezi za akina Mbowe, Sugu zikitumika kama rejea ya kuwa hata wapinzani wenyewe wanakubali kuwa sasa Tanzania...
Wasalaam,
Kwanza nianze kwa kuwapongeza chama cha demokrasia na maendelea (CHADEMA) kwa uthubutu wao wa kuanzisha na kuratibu maandamano haya ya amani kama njia ya kufikisha ujumbe wao kwa serikali tawala na hata jamii ya kimataifa.
Kwa upekee sana nipende kuisifu serikali tawala na vyombo vya...
Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa
Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania anayeishi marekani sahivi...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatakia kila la heri wafuasi wa CHADEMA waliokutana maeneo ya Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kwa ajili ya kuanza maandamano ya amani na kuwataka kuulinda uwekezaji uliopo ndani ya Jiji hilo wasiuharibu na badala yake wafikishe ujumbe...
Habari JF , kwa kifupi kabisa kwa katiba tuliyo nayo ni katiba ambayo ina upendeleo mkubwa kwa watawala na kuwapa nguvu kubwa kutawala .
Kwa maana nyingine sio katiba ya kizalendo sababu haiwapi nguvu sana wananchi na hailindi sana mali za Nchi yetu .
Chama chochote kikisha ingia madarakani...
Wakuu,
Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.