maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Cuba aongoza maandamano kuunga mkono Hamas. Waziri Mkuu wa Spain amwambia Netanyahu taifa la Palestina ni lazima liwepo

    Rais Miguel akiongoza maandamano Havana kuwaunga mkono Hamas. Katika hali ya mabadiliko ya haraka kufuatia mashambulizi ya Hamas ya Oktoba sana huko Cuba Rais wa nchi hiyo ameongoza maandamano ya maelfu ya raia wake katika kuwaunga mkono Hamas na harakati zao za kutetea haki ya kuishi kwenye...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Palestina jijini London yamfukuzisha kazi Waziri wa Mambo ya ndani UK

    Wanaukumbi. --- The PM moved to oust Ms Braverman as he tries to restore his authority with potentially less than a year to a general election. The sacking comes after an extraordinary week of rowing over handling of pro-Palestinian protests in London on Armistice Day. Ms Braverman drew the...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya watu zaidi ya 180,000 yafanyika Paris ya kupinga chuki zozote dhidi ya Wayahudi

    Hii inapaswa iwafikie walioaminishwa na dini yao kuchukia Wayahudi, hamtaweza kuwafuta duniani maana hamkuwaumba nyie. ========== More than 180,000 people turned out on Sunday to march against antisemitism in France, after a surge in anti-Jewish incidents across the country in the wake of...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

    Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya Wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas. Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya Wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto. Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

    Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU Wananchi wote mnakaribishwa
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Haya ni Maandamano ya Chumbani na Ofisini au Barabarani?.

    Tunajua Asilimia kubwa ya watanzania bado hawaelewa au kujua kabisa haki yao ya msingi katika taifa ni ipi kupitia katiba. Na hata kama tunajua ila bado haki yetu ya msingi kutoka kwa serikali haina maana sababu serikali hiyo hiyo ndiyo inakupa kibali na hiyo hiyo inakunyima kisa inaogopa popo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo mbovu wa mahakama wakwamishan kesi ya kupinga zuio maandamano Mbeya

    Mheshimiwa JAJI KIONGOZI, kuna TATIZO la KUSAJILI KESI katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Mbeya) linalosababishwa na UBOVU wa MFUMO wa MALIPO (Control Number). Ili HAKI isicheleweshwe KINYUME na ibara ya 107A(2)(b) ya KATIBA ya Tanzania, NAOMBA kesi hiyo ISAJILIWE kwa DHARURA.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandamano? Watu wa Mbeya tuambieni kama hizi picha ni za kweli

    Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandaano? Watu wa Mbeya tuambieni kinachoendelea kama hizi picha ni za kweli =============== UPDATES... Hofu na wasiwasi vimetanda kwa wananchi jijini Mbeya kufuatia askari polisi kuzagaa kwa makundi maeneo mbalimbali tofauti na siku nyingine. Hata hivyo hakuna...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maandamano ya Mwabukusi na Mdude 9/11/2023, wasizuiwe waachwe maana hayana maana, watapuuzwa na wananchi

    Kinachokwendwa kufanywa na wakili Mwabukusi na mwanaharakati Mdude tarehe 9/11/2023 juu ya maandamano waliyopanga ni kujaribu kuficha aibu ya kuumbuka kwa upotoshaji wao. Maandamano hayo ya tarehe 9/11/2023 awali yalipangwa kufanyika 30/09/2023 na kama yangefanyika kipindi hiko na hoja...
  10. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde wana Mbeya msikubali kutumika, msishiriki hayo maandamano haramu

    Ndugu zangu wana Mbeya, mimi ni miongoni mwa wapingaji wakuu wa mkataba wa uwekezaji bandarini, hususani ile IGA. Huo mwingine bado hatujui kama ni mzuri au tumepigwa. Lakini, kuna njia sahihi na njia isiyo sahihi ya kupinga jambo. Njia sahihi ni kama ile aliyoitumia Lissu kwa kuelezea...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Maandamano ya Mbeya dhidi ya DP WORLD yanaungwa mkono na watu wote

    Hili ni swali kwa watu wote , kule Mbeya kumeandaliwa maandamano ya kupinga Mkataba wa aibu wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika . Sasa cha kushangaza ni hiki , Maandamano hayo yanaungwa mkono na Watu wote wa Mkoa huo pamoja na wa nje ya mkoa , yaani kwa Mbeya kesho ni kama Sikukuu . Unadhani...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

    Huu ni mrejesho wa yenye kujiri: (a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya: 1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa: "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" 2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu. 3. Wajumbe...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina kudai watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas Waachiliwe huru

    Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
  14. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

    Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano kwenye bunge la Marekani kupinga mauaji Palestine

    Watu wameandamana ndani ya Majengo ya bunge la Marekani kupinga mauaji ya Israel dhidi ya wapalestina huko Gaza!
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Iran ikiishambulia Israel Uarabuni wataruhusu maandamano ya kujiunga mkono Israel?

    Iran ndiyo tishio na miongoni mwa madui wa Israel huko Mashariki ya Kati. Israel imevamiwa na kulipa kisasi dhidi ya Palestina kwa siku kadhaa sasa. Nchi za Magharibi zinashutumiwa kuiunga mkono Israel dhidi ya Palestina, lakini kwenye nchi hizo hizo za Magharibi (isipokuwa Ufaransa)...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hamas kuitisha Maandamano Ijumaa katika nchi za kiarabu kulaani mashambulizi ya Israel

    Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili. Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
  18. Logikos

    JamiiForums Tanzania SAUTI ya Watanzania na Maandamano ya Bila Kikomo - There is more Than one Way to Skin a Cat....

    Ushauri tu; Gandhi alivaa shuka sio sababu alikuwa hana pesa za Mavazi mengine na ingawa ilimfanya a-connect na masses (kuwa mmoja wao) bali huenda hii ilikuwa ishara ya Mgomo.... (Mgomo dhidi ya Viwanda vya Nguo vya Mkoloni); na impact yake ilikuwa ni kubwa na mpaka leo lile shuka limekuwa kama...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Polisi Moro na mazoezi ya kufa mtu, ni yale Maandamano yetu?

    Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro: https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4 Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule na mapema asubuhi Kariakoo...
  20. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

    Salaam wana jukwaa, nimekutana na interview ya Wakili Mwabukusi na Maria Sarungi probably kutoka Maria spaces/clubhouse. Cha kushangaza Wakili msomi alikua busy kushambulia wapinzani kuwa ni wawaza ubunge, wapenda vyeo n.k. Hivi kweli hajui struggle za lissu hadi kumwagiwa risasi, hajui mbowe...
Back
Top Bottom