Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,504
- 113,620
Wanabodi,
Kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na uoga wa maandamano, naomba kutoa wito kwa serikali yetu, let's do things differently this time.
Hiyo 24 Jan, namuomba sana Rais Samia, amuite Waziri wa mambo ya ndani na IGP kuwaeleza watoe kila aina ushirikiano ili CHADEMA ili kufanikisha maandamano yao, waandamane kwa amani, na hata ikitokea wanataka kuandamana kwenda Ikulu, Rais Samia ayapokee tuu maandamano hayo kwa kutumia falsafayake ya 4R.
Maandamano ni haki za vyama vya siasa, this time waacheni CHADEMA waandamane.
Paskali.