Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,721
- 218,274
Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024
Taarifa hii Kabambe iliyokuwa inasubiriwa na Wananchi wote imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe mbele ya vyombo vyote vikubwa vya Habari vya Kimataifa pamoja na vyombo vidogo vya Tanzania.
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
=================For English Audience=================
The opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), has announced peaceful protests scheduled for January 24th this year in the Dar es Salaam region to urge the government to consider stakeholders' opinions on electoral issues.
These protests for justice will commence in Dar es Salaam and will take place on January 24, 2024.
This statement, eagerly awaited by all citizens was announced by the party's Chairman, Freeman Mbowe, in front of major international media outlets as well as local Tanzanian media platforms.