lugha

  1. 2019

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja za hawa wanazi wa CCM, ni dhahiri tumeanza kuongea lugha moja

    Rejea kichwa cha habari juu. Kwa sasa bungeni hakuna wapinzani wa kweli, kwa hoja za wabunge halisi, wanazi, wanachama kindaki ndaki, watiifu wa CCM kama Nape Mnauye, Joseph Musukuma kuhusu kufungwa kwa biashara sasa tunaelekea kwenye chumba kimoja. Hii ni dalili ya kuanza kuongea lugha moja...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

    Habari zenu JamiiForums. Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza...
  3. Risk manager

    JamiiForums Tanzania English iwe lugha ya kufundishia tokea chekechea

    Habari zenu wadau, Hapa mkoa wa Mwanza Shule ya Msingi Nyanza imeabadilishwa kuwa ya English medium. Ni moja ya shule za msingi kongwe hapa mjini alizoacha mkoloni mana nikipitaga hapo nje imeandikwa 1948. Mwenyewe kuna muda nikiwa primary nilikuwa naendapo kufanya mitihani ile std 7 ya...
  4. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tuishie kwenye kuandika hukumu kwa lugha adhimu ya Kiswahili au twende mbali zaidi?

    TUISHIE TU KWENYE KUANDIKA HUKUMU AU TWENDE MBALI ZAIDI? Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mh Rais alimpongeza Jaji wa Mahakama kanda ya Msoma ambaye aliandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili. Mh Rais hakuishia kumpongeza tu, bali jana hiyo hiyo alimteua kuwa Mhe Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amuapisha Jaji Zephrine Galeba kuwa jaji wa mahakama ya Rufaa

    Jaji wa Mahakama Kuu wa Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba alietuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufaa kutokana na kuandika Kiswahili katika moja ya hukumu alizowahi kuzitoa. Leo Rais Magufuli anamuapisha rasmi Dodoma, kuwa nami kukujuza yanayojiri. === 10:22 Asubuhi: Jaji Galeba anatia saini...
  6. mose

    JamiiForums Tanzania Farsight Instutute katika lugha ya Kiswahili...

    Habari Wanajamii, Ni kwa furaha tukaribishane katika jamvi la Habari, Mafunzo na Utaalam wa 'Ukiona Mbali katika Lugha ya Kiswahili'.... Farsight Institute, ikishughulika kutoka Atlanta, GA, hivi karibuni imemtambulisha Intysam Goldsmith kwenye jukwaa la 'Uona Mbali' kama mtaarifu katika lugha...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, Lugha inayotumikwa kwenye hii video ni Kiswahili cha wapi, au ni lugha gani hii?

    Kuna baadhi ya maneno ya kiswahili yanaeleweka, lakini mengine ni mfanano na mengine ni kama kilugha, ni lugha ya wapi hii hapa bongo?
  8. JOESKY

    JamiiForums Tanzania Kiingereza ni lugha Universal

    Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini. kwa mfano Ugali Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza
  9. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Mhimili wa Mahakama kipaumbele chenu kwa sasa ni kutafsiri lugha za sheria zenu na kuwa kwa Kiswahili?

    Katika nchi yetu kila mwaka huwa tunakuwa na wiki moja ambayo huwa tunaiita ni wiki ya sheria nchini, ambapo tumeianza rasmi tarehe 24/1/2021 na kilele chake kitakuwa tarehe 1/2/2021. Ninajua kumekuwa na juhudi kubwa sana toka kwenye mhimili mmoja ambao ni serikali "kuulazimisha"...
  10. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

    Salaam Wana JF, Kupitia ukurasa wa twitter Bwana Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" CHADEMA" ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa kiongozi wa nchi juu ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Covid19, Ukweli ni kwamba Bwana Mbowe ameshindwa...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais aagiza kumbukumbu zote za Serikali ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili

    MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha huduma na kumbukumbu zote muhimu za nchi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na akahimiza haja ya mamlaka kuja na Sera ya Kiswahili. Aidha, Rais John Magufuli leo anatunukiwa tuzo maalumu ya Shaaban Robert kutokana na...
  12. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji kufundishwa lugha ya kingereza kuongea na kuandika tuwasiliane

    Kama tujuavyo Teknolojia inaturahishia kujifunza Mambo mbali Bila kukaa darasani, Hivyo Basi kwa yule ambaye atahitaji kujifunza lugha Hii adhimu kwa ajili ya mahitaji yake Binafsi kama vile biashara, masomo , mahusiano , dini n.k Basi tuwasiliane PM, Masomo Yetu yako kwa njia ya WhatsApp na...
  13. sekulu

    JamiiForums Tanzania Reed_blowz: Msanii kutoka Mayote anaeimba kwa lugha ya Shimaoré, yenye asili ya Kiswahili

    Nimeisikiliza nyimbo ya Huyu jamaa inaitwa TSENA na nilichoshangaa ni kwamba humo ndani kuna Maneno ambayo yanafanana na kiswahili na baada ya uchunguzi wangu mdogo nikagundua jamaa anaongea Lugha inayoitwa Shimaore ambayo asili yake ni lugha ya Kiswahili. Enjoy
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Majina ya ndege wafuatao kwa lugha za asili

    Kama title inavyosema hapo juu. Ningependa kufahamu majina ya ndege wafuatao kwa lugha yenu ya asili. Unapotaja, naomba unijuze ni jina la kabila lipi. Vile vile nimejaribu kuweka majina yao ya Kiswahili (in blue). Sina uhakika wa 100% kama ndivyo wanavyoitwa kwa Kiswahili. Hivyo basi, kama...
  15. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hoja: Bidhaa zote zinazosajiliwa Tanzania ziwe na maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya Kiswahili

    Nimeonelea nilete hii mada kwa mara ya pili. Maelezo kwa mtumiaji ni muhimu sana hasa kwa vitu kama dawa. Sasa unakuta bidhaa inauzwa Tanzania na nyingine inatengenezwa hapahapa lakini inakuwa na maelezo ya Kiingereza, Kifaransa, kiarabu na lugha zingine lakini si Kiswahili. Watumiaji wengi wa...
  16. Matope

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha tunaomba tafsiri ya neno PISI

    Wakuu samahani naomba kujua tafsiri ya neno PISI linatumiwa sana Mawingu studio na Millard kwa walimbwende wa Mashindano ya Taifa! Na kama haijakaa sawa kutumiwa kwa walimbwende hawa inakuwaje baraza la sanaa wamekaa kimya? Kama Taifa ndio tumefikia kutumia maneno ya mtaani kwenye mambo ya...
  17. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu

    Tukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu mfano; We "bitozi' tu Huyu jamaa ni "joblesi" "poa" "Kompyuta" Hayo maneno ya kwenye fungua na funga semi ni asili ya kizungu lakini tumejifanya kuyabisisha. Tuendelee.
  18. Shark

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

    Wakuu kwema? Sasa kila Mwajiriwa atatakiwa kuwa na TIN, hii itatumika kumtambulisha kama mlipa kodi pale anapokatwa PAYE kwenye Mshahara wake.
  19. Superpower

    JamiiForums Tanzania Kuunda uchumi mkubwa kunahitaji maarifa. Sasa leo jifunze kupata maarifa kutoka kwenye lugha yoyote ile

    Kama kichwa Cha habari hapo juu Kinavyojieleza hapo juu ni kwamba lugha imekua sio tatizo tena kwa mtu kujipatia maarifa kutoka kwenye vitabu na nakala mbalimbali. Sasa mm leo nimekuletea video mbili part 1 inayohusu jinsi ya kutafsiri hardcopy na part 2 inayohusu kutafsiri softcopy kwa Tshs...
  20. Superpower

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusoma maandishi na vitabu vya lugha yoyote ile

    Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu, ni kwamba kutokana na maendeleo ya kiteknolojia swala la kujua lugha limekuwa sio tatizo tena kwa wewe kujipatia maarifa. Sasa mm Leo ningependa kushare na nyinyi habari hizi. Kwa kuwatumia video mbili ambazo ni part 1 inahusu kutafsiri hardcopy...
Back
Top Bottom