Je, Lugha inayotumikwa kwenye hii video ni Kiswahili cha wapi, au ni lugha gani hii?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
35,845
40,432
Kuna baadhi ya maneno ya kiswahili yanaeleweka, lakini mengine ni mfanano na mengine ni kama kilugha, ni lugha ya wapi hii hapa bongo?

Wangazija wanakiswahili chao, wazanzibari wanakiswahili chao, wamombasa wanakiswahili chao, Kongo wanakiswahili chao na msumbiji pia, tatizo ni sisi kulazimisha kuwa ndio waanzilishi wa lugha ya kiswahili wakati siyo kweli.
 
Kiswahili. Comoros hasa kisiwa cha Mwali.. wanaongea kiswahili sana tu.
 
Attachments

  • sketch-1611989630890.png
    sketch-1611989630890.png
    110.2 KB · Views: 4
Wangazija wanakiswahili chao, wazanzibari wanakiswahili chao, wamombasa wanakiswahili chao, Kongo wanakiswahili chao na msumbiji pia, tatizo ni sisi kulazimisha kuwa ndio waanzilishi wa lugha ya kiswahili wakati siyo kweli.
Unasemaje wewe? Hivi hicho anachoimba utasema ni kiswahili? Seriously?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom