Kama title inavyosema hapo juu. Ningependa kufahamu majina ya ndege wafuatao kwa lugha yenu ya asili. Unapotaja, naomba unijuze ni jina la kabila lipi.
Vile vile nimejaribu kuweka majina yao ya Kiswahili (in blue). Sina uhakika wa 100% kama ndivyo wanavyoitwa kwa Kiswahili. Hivyo basi, kama unadhani nimekosea jina la Kiswahili, naomba unirekebisha. Natanguliza shukrani zangu.
Black-Winged Pratincole… Bwabwaja ****
2. Wattled Starling… Kwezi-dehe
3. The rock kestrel (Falco rupicolus)… Kengewe***
4. The guinea Fowl… Kanga
5. The kori bustard… Tandawala
6. Hadada ibis …. Kwarara-kijani