lugha

  1. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mtanzania yeyote, hata asiye na Elimu ni muhimu ajifunze lugha ya Kiingereza

    Habari zenu wanajukwaa la Story of change. Katika uzi huu nataka kuelezea ulazima wa kujifunza lugha ya kiingereza kwa mtanzania hata asie na elimu kubwa. Hili suala huwa haliongelewi kabisa na kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu lugha ya kiingereza. JE, HUO UPOTOSHAJI UPOJE? Hapa nchini...
  2. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Lugha ya Kingereza itumike kama lugha ya kujifunzia kwa shule zote za serikali na binafsi kuanzi elimu ya awali

    Nimefanya kazi katika taasisi za elimu kwa miaka mingi sasa. Tatizo kubwa ambalo nimekuja kukutana nalo hasa kwa graduates wa nchi hii ni uwezo mdogo wa kupambania soko la ajira linapokuja suala la kushindana na nchi nyingine. Tatizo kubwa hapa ni Lugha ya kufundishia. Kwa sasa shule za msingi...
  3. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Matumizi ya Lugha Fasaha katika Majukwaa ya Dini

    Lugha ndio nyenzo kuu inayotumika kufikisha ujumbe kwa walengwa. Ingawa kuna nyenzo zingine kama picha, michoro, ishara, alama nk zinazotumika katika kufikisha ujumbe lakini lugha ndio nyenzo pekee yenye kueleweka kwa haraka na isiyo na ubaguzi. Lugha hii inapotamkwa kwa ufasaha na mpangilio...
  4. Tango73

    JamiiForums Tanzania Rudisheni lugha ya Kiingereza shuleni kama lugha ya kufundishia

    limekuwa gumzo kwa nini mawaziri na watu wanaojiweza wanapeleka watoto wao shule za kiingereza kwa gharama kuu wakati watoto wa masikini hawajaliwi katika shule za kata. sababu ni moja tuu ni kutafuta njia ya watoto wao waongee kiingereza vizuri kama ilivyokuwa enzi za darasa la nane .sasa...
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunateseka kwa kuendelea kutumia Kiingereza kama lugha ya kujifunzia?

    Nimerudi tena na hii hoja dhidi ya matumizi ya kiingereza kama Lugha ya kujifunzia. Umewahi soma riwaya za kiingereza na kiswahili? Kama umewahi, utagundua kuwa utatumia muda mrefu sana kusoma riwaya ya kiingereza kuliko ya kiswahili. Riwaya ya kiswahili unayoweza kusoma kwa siku mbili, ikiwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tuzikatae lugha zisozokuwa na staha kwenye mambo ya msingi

    Kama Taifa tuna mambo ya msingi sana mbele yetu kutumia muda wetu kurushiana matusi. Bila ya kujali itikadi zetu tuyakatae yote yanayodhalilisha utu wa mtu, bila ya kujali mlengwa au mlenga kwa cheo, mhusika au chama. Mambo kama haya: Kauli kama: 1. "Tulizo Mat*ko wewe!" 2. "U baji na M@vi...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Picha: Tazama mchanganuo wa nafsi katika lugha ya kiswahili na Kiingereza

  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Aina za Viwakilishi (W) katika lugha ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, tuendelee na somo letu pana la aina za maneno. Katika andiko hili tutasonga zaidi kwa kutazama kiundani Viwakilishi na aina zake. Twende pamoja. VIWAKILISHI Viwakilishi ni maneno yanayotumika badala ya nomino(vibadala vya nomino). Nomino husika huwa haitajwi katika sentensi. Kwa...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Aina za Vitenzi (T) katika lugha ya Kiswahili

    Wakuu salaam, tunaendelea na mada yetu ya aina za maneno katika andiko hili tutatazama vitenzi kwa upana wake. Tutaangalia dhana ya vitenzi kwa ujumla pamoja na aina zake. Twende pamoja tujadili. Ruksa kuongezea maarifa. VITENZI Vitenzi ni maneno yanayoarifu kuhusu jambo linalotendwa au...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Aina za Nomino (N) katika Lugha Kiswahili

    Subalkheir ndugu zangu, Baada ya andiko lililopita kufafanua aina mbalimbali za maneno (Soma hapa: Aina za maneno katika lugha ya Kiswahili) nikaona si vyema kuwaacha hewani. Kama nilivyoahidi kuja na ufafanuzi wa undani wa aina moja moja ya maneno, katika andiko hili tutaangalia aina za...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Aina za maneno katika lugha ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, Leo turudi shule kidogo tujikumbushe aina mbalimbali za maneno katika lugha. Mada hii itaeleza kwa ufupi aina mbalimbali za meneno zilizopo halafu mada zijazo ntagusia aina moja moja kwa upana wake. twende kazi hapa chini: Kabla hatujaenda kiundani kuelezea aina za maneno kwanza...
  12. Umuzukuru

    JamiiForums Tanzania Utata katika matumizi ya lugha

    Kwa fasili ya harakaharaka Utata katika maneno au katika matumizi ya lugha ni ile hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja Mfano:maneno kama vile 📌Ua 📌Mbuzi 📌Chezewa Mfano wa sentensi: 📌Mwenye kazi yeyote halali Hapa maana ya kwanza ni kuwa mtu yeyote mwenye kazi huwa halali...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Lugha ni Utamaduni?

    Kiongozi mmoja wa Kiyunani (Kigiriki) aliitwa Alexander Mkuu, ndiye aliyefanya mabadiliko makubwa sana ya kueneza utamaduni wa Kigiriki eneo lo lote alilotawala. Akaeneza na kuhimiza watu kutumia lugha ya Kiyunani, ikawa lugha ya kibiashara kwa mataifa yote aliyotwala, ikachangia kwamba hata...
  14. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Upi ni uandishi sanifu: Muenendo au Mwenendo, Mwongozo au Muongozo?

    Kama kichwa cha mada kisemavyo, upi ni uandishi sanifu: Muenendo au Mwenendo, Mwongozo au Muongozo? Kwa wataalamu msaada tafadhali.
  15. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery school

    Wasalaam wakuu Hivi ni kwanini watoto wetu wasifundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery? Huu mfumo wa kuwafundisha kwa kiswahili mpaka la saba halafu waanze tena kufundishwa kwa kiingereza kuanzia form one ni mgumu mno Mtoto akifundishwa kwa kiingereza tokea nursery school...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa nchi za Afrika zinazoimba nyimbo za Taifa kwa lugha za kigeni

    Zamani hata kabla ya kuja wageni na dini za kigeni waafrika walimwomba Mungu kwa lugha zao na kulikuwa na matokeo ya haraka sana kuliko sasa katika dini za kigeni. Kuimba wimbo wa taifa kwa Kiingereza au Kireno au Kiarabu au Kifaransa hii ni sawa na kumkosea Mungu heshima, naipongeza Tanzania...
  17. Mt Paulo

    JamiiForums Tanzania Application ya Kutafsiri sauti ya lugha za kwenye Video

    Habari ya mda huu wana JF Kama kichwa kinavyojieleza wadau Hivi hakuna application inayoweza kutafsiri sauti ya kwenye video au audio ya kwenye video
  18. luangalila

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya neno "Lugha ya kitaalam"

    Kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya wa Tanzania wa kada mbali mbali pale wanapo elezea jambo sasa inapokuja kuli tafsiri ilo neno au msamiati kutoka English kuja kiswahili, au kiswa kwenda Eng utasikia mtu anasema eti kwa lugha ya kitalaam inaitwa. Mfano: Mtalaam wa lishe labda anaelezea...
  19. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumfikisha mwanamke kileleni mapema

    Habarini wakuu.. Miezi kadhaa iliyopita nilijiwa na mshkaji wangu wa kitambo sana mtaani kwangu. Katika story za hapa na pale akanipa mbinu moja ya kumfikisha demu kileleni mapema ambayo yeye mwenyewe amewahi kutumia mara kadhaa. Anasema kabla ya kukamua show natakiwa niwe na vitu viwili...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

    Muda unaenda kasi sana! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa. Eti Tunampambania, anatupambania! Too low! Hivi mtu anayetekeleza majukumu yake na analipwa pesa ndefu na nyingine anabeba na kugawa...
Back
Top Bottom