Farsight Instutute katika lugha ya Kiswahili...

mose

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
284
232
Habari Wanajamii,

Ni kwa furaha tukaribishane katika jamvi la Habari, Mafunzo na Utaalam wa 'Ukiona Mbali katika Lugha ya Kiswahili'....

Farsight Institute, ikishughulika kutoka Atlanta, GA, hivi karibuni imemtambulisha Intysam Goldsmith kwenye jukwaa la 'Uona Mbali' kama mtaarifu katika lugha ya Kiswahili.

Huyu hapa Dk. Courtney Brown akilifungua jamvi la wafuatiliaji wa shughuli za Farsight katika lugha ya Kiswahili -- Akiripoti kutokea Meru, Kenya.



Habari za Farsight humu JF si ngeni -- zimekuwa zikitajwa katika nyuzi kadhaaa ikiwamo There is No Time Traveling,

Kusafiri Kiwakati 101: Kutoka Viumbe watu wageni hadi Wanasayansi wetu wa leo || Majaribio ya Nikolai Kozyrev, Urusi

Na sasa, hebu tukaribie jukwaa la habari, mafunzo na mbinu kwa vipawa vya akili vinavyopitiliza kawaida--japo ni kawaida ya namna ingine tu.

Tuwe Hapo na Sasa!
 
Kiranja wa Maudhui, msaada kwenye uhariri wa Kichwa cha Uzi --- iwe

"Farsight Institute katika lugha ya Kiswahili..."​

 
Back
Top Bottom