Wakuu habari
Kuna hii shida ya bidhaa kutoka nje kukosa maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili. Mi utakuta umenunua dawa lakini ina maelezo ya kiarabu, kifaransa kiingereza, kirusi nk lakini si kiswahili na watumiaji ni waswahili. Iko hivyo kwenye kila bidhaa na zingine zinazalishwa...
Msaada wenu uwe wa hakika maana ninataka kutumia neno hilo sehemu hivyo nimechanganywa sana na usahihi wake kwakuwa nakutana na sentensi zinazoyatumia yote kwa maana moja hivyo nikumbusheni wakuu
Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu.
Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
CHADEMA, mnapotumia msemo wa "sasa basi", ni vizuri msemo au kauli mbiu hii mkaichagiza kwa kusema,"enough is enough".
Anzeni na msemo huo wa kiswahili kisha ufuatiwe na huu wa kingereza kwani unaeleweka vizuri kwa watu wengi katika miji na majiji.
Namalizia kwa kusema,"enough is enough ".
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha utoaji huduma za utangazaji kwa Wasafi FM kwa muda wa siku saba kuanzia Septemba 12 hadi Septemba 18 mwaka huu.
Uamuzi huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba Jijini Dar es Salaam ambapo amesema hatua hiyo ni kutokana na...
Tundu Lissu amesema haya kuhusu lugha ya kufundishia:
Ukiniuliza mimi, honest opinion Nchi yetu haiwezi kuzungumza Kiingereza, hivyo tunahitaji kuwa na mjadala juu ya sera ya lugha, tusipokuwa na mjadala huu, hatufiki popote kwani language of instruction is everything.
Mimi ni Wakili, Majaji...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la pongezi kwa ITV kuwa ndio the first mainstream TV Station kumhoji Tundu Lissu. Huu ni mwanzo mzuri, TV nyingine zifuate.
Pia nampongeza Mhe. Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu, ametumia lugha za staha, amemwaga sera.
Kati ya freedom zote, freedom ambayo ni absolute...
Baada ya kuwasikiliza wagombea wa upinzani ambao tayari wameshaanza kampeni zao, nimejaribu kubainisha tofauti zao, ambapo kwa mtazamo wangu naona Bernard Membe ana uwezo Mkubwa sana wa kuongelea mambo ya wananchi kwa lugha rahisi na inayoeleweka.
Aliongea kuhusu mazao ya kilimo na changamoto...
Hii kitu inaitwa trade-off.
Ukifuatilia kwa makini utagundua kuwa kauli nyingi anazotoa Tundu Lissu kila anapopata hadhira, they are retaliatory in nature - yaani ni huwa anajibu mabaya yaliyosemwa juu yake au yaliyotendwa dhidi yake.
Nimuoanavyo Tundu Lissu ni mwanasiana mwenye akili nyingi...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
Nina hoja naleta kwenu tuijadili.
Je, mitandao ya kijamii inasaidia kuboresha lugha yetu ya Kiswahili maana watumiaji ni wengi na vile vile wafuatiliaji wa hiyo mitandao ni wengi.
Mifano hai ni katika siku za karibuni kumeibuka maneno mapya toka mitandao ambayo hapo kwenye matumizi ya...
Msajili msaidizi wa Vyama vya Siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu...
Kwasasa imekua lugha inayotumika kwenye mambo maalumu tu, je kuna ubaya nikisema hii lugha imekufa?, kama ulikua hujui kuwa lugha inakufa ndio ujue leo, wataalam wa lugha wanaweza kuelezea lugha inakufa vipi.
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa historia, najua haukuwepo ila unatambua jinsi utawala wa...
Habari wadau.
Hivi haya madai ya tume huru ya uchaguzi sawa kama neno linavojieleza kwamba tume iwe huru lakini yaani kwamba wanaounda tume wawe watu gani kwa mfano?
Mimi kwa akili zangu za kawaida tume huru inamaanisha chukua watu toka nje ya bongo yaani nchi mbali mbali walete waje waunde...
Kwa jinsi alivyo-handle issue ya kijana yule wa Koromije kipindi kile, inaonyesha ni mtu asiekubali kushindwa au kusema akae kimya jambo lipite hasa iwapo ana taarifa au ushahidi wa kutosha kuhusu jambo husika.
Kwa msingi huo, kama kuna figisu zilifanyika kumbeba mtoto wa dada,basi nina uhakika...
Nimegundua kati ya maelfu ya maneno ya Lugha ya Kiswahili kuna neno moja tu la ilabu tupu nalo ni UA, kwa kumbushia tu, ilabu ni a, e, I, o, u. Na herufi zote zilizobaki ni konsonati, na ili neno liwe neno lazima uwepo mchanganyiko wa konsonati na ilabu mfano Uzi, hapo tunaona z ni konsonati...
Habari zenu wanabodi,
Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza
1. Olympio - Dar Es Salaam
2. Diamond - Dar Es Salaam
3. Magufuli -...
Kwa wanasaikolojia na wengine wote ambao mnapenda kudadisi mambo. Kwa kawaida ili mtu aweze kufikiria, lazima tumie lugha, na lazima iwe ni lugha anayoijua, kwa sababu kwa maana nyingine, kufikiria ni sawa na kuongea mwenyewe kimyakimya, na mtu hawezi kuongea kwa kutumia lugha ambayo haijui! Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.