kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Lini Tanzania itaanza kutumia hii teknolojia ya kuzuia ajali?

    Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo. Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail). Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hili la Jerry Silaa kuzuia maafisa ardhi kuwashauri watu waende Mahakamani, anataka watu wauane mitaani badala ya kufuata sheria?

    Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya? Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria! Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania USA yaamua kuzuia Mtandao wa TikTok

    Ni siku chache zimepita tangu USA kuja na maamuzi ya kuzuia Mtandao wa TikTok ndani ya Taifa lao Mpaka sasa hakuna sababu za kueleweka kwamba kwa nini mtandao huo uzuiwe zaidi ya wivu na uhasama wa kibiashara Mara nyingi USA imekuwa ikijaribu kuua maendeleo ya China kwa muda mrefu sana hata...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa polisi walikuwa wanazuia Ole Shangay kusimikwa kuwa Laingwanan, kuna kitu gani kimefanya wazuie?

    Haijafahamika sababu hasa za Jeshi la Polisi kufanya jitihada kabambe za kuingilia mila za wamasai ili kuzuia Ole Shangay kusimikwa na kupewa Ulaigwanan (mwenye kujua atufahamishe) Hata hivyo zoezi hilo limefanyika baada ya nguvu ya umma kushinda
  5. hp4510

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuzuia app ya bank kutokuwa na access kwenye contact zangu?

    Wandugu Salama Hivi nawezaje kuzuia kuzuia app ya bank wasiweze ku access contact na calendar kwenye simu yangu Mfano ukidownload app ya crdb kunasehemu inataka Ile app iweze kuwa na access ya contact, calendar and picture Sijajua why ina recommend hivyo but what if sitaki wapate hiyo access...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Houth atoa takwimu ya meli walizozipiga na kusema wanakusudia kupanua wigo wa kuzuia meli za Israel zisipite bahari ya hindi yote

    Abdel-Malik al-Houthi ambaye ni kiongozi wa juu wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mpaka sasa wamefanikiwa kuzishambulia meli zenye mafungamano na Israel zipatazo 73 tanguj waanze operesheni yao ya kuwatetea watu wa Palestina. Kupitia televisheni inayomilikwa na wanamgambo hao Abdel Malik...
  7. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Komwe (frontal bossing): Sababu ni zipi? Ni njia zipi za kuzuia ili mtoto asiwe na komwe?

    Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi... Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake. 1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)? 2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe? 3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu)...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Serikali isimamie na kutilia mkazo sheria ya kuzuia ulaji wa KASA ili kuepusha vifo

    Salaam wakuu, Kila mwaka wenzetu Zanzibar wamekuwa wakipata visa vya vifo kutokana na ulaji holela na usio makini wa KASA. Tukiendelea kuendekeza hili suala tutajikuta kila mwaka tunapoteza nguvu kazi nyingi tena za familia moja kutokana na ulaji wa huyu kiumbe. Ni vyema mamlaka za Zanzibar...
  9. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmeamua kuingia kwenye uchaguzi 2024/25, mmejiandaaje kuzuia dhuluma/uchafuzi kama za "chafuzi" za 2020 zisijirudie tena

    Si wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii: 1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO? a) Kuna kuenguliwa b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko aambiwe ukweli. Kuzuia likizo za wafanyakazi wa TANESCO ni ukiukwaji wa sheria, na hakuleti umeme

    Tatizo la umeme hapa nchini ni la kimfumo, siyo la mtu (waziri). Ndiyo maana mawaziri wengi wanateuliwa na kutenguliwa lkn tatizo liko pale pale. Waziri Biteko naye kama wenzake waliopita hana jipya. Namuona amejaa maneno mengi ya vitisho na manyangaso kwa wafanyakazi wa TANESCO lkn tatizo la...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na Unyanyapaa

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na Unyanyapaa ni tukio linaloadhimishwa kila mwaka tarehe 1 Machi. Lengo la siku hii ni kuhamasisha uelewa na kuchukua hatua dhidi ya ubaguzi na unyanyapaa katika jamii. Inalenga kuelimisha umma kuhusu madhara ya ubaguzi na unyanyapaa kwa watu na makundi...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Serikali Imejipanga Vipi Kuzuia Maafa Katika Kipindi Hiki cha Mvua

    Mbunge Sylvia Sigula: Serikali Imejipanga Vipi Kuzuia Maafa Katika Kipindi Hiki cha Mvua Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari ili kuepuka maafa yanayoweza kutokea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu...
  13. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka jeuri ya pesa ya Qatar kupandisha ndege ng'ombe wa maziwa 4000 sababu Saudia ilizuia kupitisha maziwa

    Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani. Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe! Mwenye kisa hiki tuelezeni.
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Hatujazuia mahojiano ya Tundu Lissu, Wasafi FM

    Serikali imeona kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhusu taarifa za Wasafi FM kuzuia mahojiano kati ya Makamu Mwenyekiti, wa CHADEMA na kutoa taarifa kuwa maamuzi hayo yametokana na maelekezo kutoka juu. Tangu kuingia kwa Serikali ya Awamu ya Sita kazini, jambo la...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Chumvi inalabwa sana vyumbani, kuna haja ya kuzileta kondom za ulimi kuzuia maradhi

    Kujilinda sio kwenye kupiga kavu tu, kwa huu mchezo unavyozidi kujipatia umaarufu tafiti zimeonyesha kuna wanaopata magonjwa ya vinywa na makoo, ni muhimu kuanza kuchukua tahadhari
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Uingereza kupiga marufuku vapes ili kuzuia kutumiwa na Watoto

    Serikali ya Uingereza inatarajia kupiga marufuku matumizi ya Sigara za Kielektroniki ikiwa ni sehemu ya mipango ya kukabiliana na ongezeko la matumizi makubwa ya vijana katika uvutaji huo. Takwimu za Shirika la kutoa Misaada la Action on Smoking and Health (Ash) limeema 7.6% ya Watoto wenye...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ndugu yetu aliyekamatwa kwa kuzuia Watoto kwenda shule mbona hapewi dhamana na Polisi?

    Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu. Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu wasisome ili wajipange kumpokea Yesu, Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kuzuia ghasia magerezani: moja ya vikosi hatari kabisa, FFU wanasubiri kwa hawa jamaa

    Hiki ni moja ya vikosi hatari zaidi nchini vinavyotumika kuzuia ghasia magerezani. Kiko chini ya Jeshi la Magereza Kwa taarifa za ndaani kabisa, zinasema mafunzo waliyonayo hawa jamaa, FFU wanasubiri.. Jamaa ni kama wanakula misumari kwa meno, au wanatafuna kokoto. Ni kikosi ambacho si maarufu...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kuzuia Mapinduzi ya kijeshi

    Hizi ni Njia Zitumikazo na Serikali Mbalimbali Duniani Kuzuia Mapinduzi na Kupunguza Hasira za Wanajeshi. Imagine kila siku unaamka asubuhi unakwenda kazini na kulipwa mshahara. Fikiria kwamba umefanya hivyo kwa miaka isiyopungua 15, utajisikiaje? Unaweza kusema kwamba itakua sawa lakini...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nitashiriki kuzuia maandamano ya CHADEMA Januari 24, 2024

    Uhuru wangu utakomea pale unapoanzia uhuru wa mwenzangu. Kuna wanaotaka kuandamana na kuna wasiotaka kuandamana itakuwaje hapo? Kuna magari na waenda kwa miguu watakaosumbuliwa na maandamano haya yanayofanyika siku na saa za kazi. Chadema ilikutana na wananchi wanaolalamika wangapi lini na wapi...
Back
Top Bottom