kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Viongoiz jifunzeni kufuata utawala wa sheria! Mkuu wa mkoa manyara huna mamlaka ya kuzuia Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio kuzongatia sheria kuna siku yatatokea ya Dr. Kleruu na mwamwindi Mkuu wa mkoa kwa utashi wake anasimama...
  2. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA yajipanga kuzuia watoto kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wabaini madudu haya

    Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kwa TBS ili kuzuia matumizi ya kemikali ya Ethylene katika kuivisha ndizi kwa muda mfupi na kuokoa afya za walaji

    Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha ndizi zao. Sasa kama kuna mamlaka ambayo inahusika ina jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TID Afichua: Nilijuta kuwa msanii kutokana na kuzuia nyimbo zangu kwenye Redio kwa Miaka Mitano

    Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo vya Redio kuzuia kucheza nyimbo zake kwa zaidi ya miaka mitano na kukosa matamasha yao amekiri kuwa...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Tuliombe Jeshi la Polisi kuzuia mkutano huu wa TLS hapa Ubungo Plaza kuhusu watu waliopotea

    Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu . Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je, Poland na Hungary waitwe wabaguzi kwa kuweka ulinzi mkali na kuzuia wahamiaji kuingia kiholela katika mipaka yao.

    Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela. https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B Hapa ni vikosi vya usalama vya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuzuia maandamano ni hujuma kwa serikali ya Mama Samia. CCM idhibiti wanaoihujumu

    Nikicheki kwa jicho la mwewe ni kuwa kitendo cha kutumia nguvu kubwa sana kudhibiti haya maandamano ya CHADEMA ni kuihujumu serikali ya Mama Samia na kuipaka uchafu. Wanaomshauri Rais wapigwe tu chini. Ingawa CHADEMA nao walizingua kuja na kauli ya "Samia must go" , serikali ingetumia busara...
  8. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kuzuia Maandamano

    Heshima sana wana jamvi, Tanganyika ni nchi ya maajabu au ukipenda unaweza kusema nchi ya watu wajinga. Leo police 🚔 wameandamana kuzuia maandamano ya Chadema. Lengo kuu la maandamano lilikuwa kuujuza umma juu ya madhila ya utekaji,mauaji na zaidi ushiriki wa vyombo vya usalama katika kuteka...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

    Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa Tanzania sasa kuna TATIZO limeshatimia hivyo WALIOPANGA KUANDAMANA wameibuka WASHINDI hata kama leo hii...
  10. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Nathanael Atanas Mpasi aibuka mshindi maalumu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Ajinyakulia shilingi milioni 5

    Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kipi rahisi kati ya kuzuia maandamano na kumwajibisha IGP, Waziri Masauni?

    Salaam, Shalom!! Nimekaa hapa natafakari, kipi Hasa ni Rahisi, 1. Umma wa Watanzania unadai viongozi waliopo IGP, Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni wajiuzulu au wafukuzwe nafasi zao Kisha wateuliwe wengine watakaokuja na Mpango mkakati wa kushughulikia mauaji ya raia na utekaji. 2...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye muendelezo wa hii habari ya wananchi Mwanza kuzuia watu waliovaa kiraia kukamilisha ukamataji?

    Jana kulisambaa video ikisemekana ni maeneo ya mwz. Wananchi wakilisonga na kuzuia gari kutoondoka na watu waliokamatwa hadi hapo ocs wa pamba aje.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Serikali itatumia viongozi wa dini kutaka kuzuia maandamano

    Baada ya CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe kutangaza maandamano, wazo lilionijia ni CCM kutafu mbinu ya kuzuia haya maandamano yasifanyike na mojawapo ni kuwatumia viongozi wa dini. Alichofanya leo Padri Kitine ni hatua tu ya awali ila mipango itakuwa teyari imeandaliwa au...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Gueteres aliponda baraza la usalama la umoja wa mataifa. Aliambia limeshindwa kazi na limepitwa na wakati.Kigezo ni kushindwa kuzuia vita vya Gaza n,k

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake. Bwana Gueteres amerudia kwa kusema muunda wa baraza la usalama ambalo lina wajumbe wanaotumia kura ya veto ndio umekuwa kikwazo kwa...
  15. The25824

    JamiiForums Tanzania Sababu na mbinu za kuzuia ajali za barabarani

    Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako. Wizi ni miongoni mwa vitu vyenye kurudisha sana nyuma Biashara zetu. Kuweza kudhibiti wizi kwenye Biashara sio kazi nyepesi kabisa. Lakini unatakiwa kupambana sana mpaka ukae sawa kwenye Biashara yako. La sivyo wewe utateseka kisha wafanyakazi wako...
  17. Bams

    JamiiForums Tanzania Polisi Wapelekwe Shule. Hawana Mamlaka ya Kuzuia Mikutano ya Vyama vya Siasa.

    Kuna tatizo kubwa la weledi ndani ya Jeshi la Polisi. POlisi wa nchi hii, bila shaka hawana weledi wa kutosha, na wala hawajishughulishi kujua sheria ili wafanye kazi zao kwa weledi. Lakini pia yawezekana wanajua sheria inataka nini ila kwa kiburi na kwa makusudi wanaamua kuikanyaga sheria kwa...
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Nawasihi Polisi watumie "akili" za kwenye kuzuia misafara

    Nimesikia kuwa misafara ya Vijana WA CHADEMA wamezuiliwa iringa wasiendelee na safari Yao kwenda Mbeya kuadhimisha siku ya Vijana. Mheshimiwa Mbowe nae eti kaitwa kwa Msajili wa vyama, unajiuliza, hawa watu wanatumia akili au wanatumia vitu gani? Jana Vijana WA CCM walikua na kongomano...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kipigo chote hicho, jeshi la Marekani lasema halitaweza kuwazuia Houth kwa njia ya vita.laomba itafutwe njia mbadala kupambana nao.

    Tamko la aina hiyo limeshatolewa huko nyuma na makamanda wa jeshi la Marekani na ikaonekana kama ni utani.Kwa mara nyengine limetolewa na kamanda mkuu wa vikosi vya wanamaji wa Marekani eneo la mashariki ya kati,vice admiral George Wikoff. Katika hoja zake kamanda huyo amekumbusha kuwa vikosi...
  20. Black Butterfly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaruhusu Dawa za Kuzuia VVU kuanza kutolewa kwenye Maduka ya Dawa

    Serikali ya Kenya imeruhusu Maduka ya Dawa za Binadamu kuanza kutoa huduma ya kwanza ya Dawa ya Kuzuia Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (PrEP) baada ua tafiti kuonesha zitasaidia Watu kuzipata kwa haraka na kuzitumia. Imeelezwa kuwa Majaribio yaliyofanywa chini ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti...
Back
Top Bottom