Nawezaje kuzuia app ya bank kutokuwa na access kwenye contact zangu?

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Wandugu Salama

Hivi nawezaje kuzuia kuzuia app ya bank wasiweze ku access contact na calendar kwenye simu yangu

Mfano ukidownload app ya crdb kunasehemu inataka Ile app iweze kuwa na access ya contact, calendar and picture

Sijajua why ina recommend hivyo but what if sitaki wapate hiyo access naweza kufanyaje?

And kama nilikuwa na hiyo app, na Nika allow then what happen kama Niki unstal ? Bado wanaweza kufika kwenye contact zangu au inakuwaje?
 
Kataa inapoomba hizo permission ila app inaweze ikakataa kufanya kazi bila ya hizo permission, kama wameshanyonya data zako ndo wameshanyonya kuondoa permission au kuuninstall kunaondoa access yao kwenda mbele tu haifuti data walizonyonya.

Njia nyingine kama walivyosema ni kuwa na simu ambayo haina contacts wall picha zozote.
 
Hapana access imekata iyo backup hawana memory ya mchezo ivo.

Mkuu, ni App ya Bank au hawa online Mikopo?

Crdb app, me bwana ni muoga Sana nikiona app inasema unataka access ya contact na picture, sasa nataka SIM banking na app inasema hivyo that's why nimeuliza

Hawa online mikopo nadhani hata ukidelete app Yao bado wanaweza kuona contact zako 😂 wale wachina hatari Sana
 
Sidhani kama waki access hivyo vitu kuna shida. Je ulipitia privacy policy kabla hujadownload?

Shida ipo, shida ya wafanyakazi wao hawana misingi mizuri ya Elimu za privacy,

Kuna jamaa yangu Yuko bank flan anything unachomuuliza ambacho kinahusu account ya mtu mwingine anakwambia fastaa tu
 
Crdb app, me bwana ni muoga Sana nikiona app inasema unataka access ya contact na picture, sasa nataka SIM banking na app inasema hivyo that's why nimeuliza

Hawa online mikopo nadhani hata ukidelete app Yao bado wanaweza kuona contact zako 😂 wale wachina hatari Sana
Hao wa online loan unakua na simu ina contacts za watu ata wewe uwajui.
 
Back
Top Bottom