DOKEZO Ndugu yetu aliyekamatwa kwa kuzuia Watoto kwenda shule mbona hapewi dhamana na Polisi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu.

Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu wasisome ili wajipange kumpokea Yesu, Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la Country Living, huyo mtu ni ndugu yangu hata mimi sikubaliani naye kuhusu hizo hoja zake, lakini kuna jambo limenifanya niandike hapa.

Taarifa ni kuwa yule bwana kapigwa sana na baadhi ya Askari Polisi, hata kutembea hawezi na tangu kashikwa sasa anamaliza zaid ya zaidi ya wiki bila kupelekwa Mahakamani na haruhusiwi kupewa mdhamana mpaka itoke Shilingi laki mbili (Tsh. 200,000).

Pia kijana huyo kiukweli baada ya kumaliza form six, mwaka 2019 alikuwa kama hayuko sawa kiakili hasa katika mambo ya dini, maana alikuwa Roman Katoliki, baadaye akahamia kwa Walokole, akataka kuingia kwa Waislam ila hakufanikiwa.

Nilipojaribu kumhoji akasema anataka kujua dini ya kweli ni hipi.

Sasa baadaye aliingia Sabato ila hakuwa kama alivyo sasa, ila alivyofika chuo huko UDOM ndIo mambo yakawa mabaya zaidi.

Maana alikutana na Mwanafunzi mwenzie mwenye imani ya Wasabato Masalia, ndio akamrubuni waache chuo wakamsubiri Yesu huko vijijini.

Ombi langu kubwa ni juu ya Afya ya ndugu yetu, maana tunaambiwa mgonjwa kwa sababu ya kipigo na hakuna dhamana, Je, kosa hilo halina dhamana? au asipelekwe Mahakamani hadi leo, ikiwa ni wiki hadi sasa imepita.

Naomba msaada kwa mamlaka…
photo_2024-01-18_12-25-36.jpg
Pia soma:
= Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi
= Ruvuma: Polisi yasema Muinjilisti aliyezuia Watoto kwenda shule bado anashikiliwa na hajapigwa na Askari
 
Mi nikajua tayari ameshahukumiwa na yuko magereza? Mtu kama huyo wanakaa nae polisi kwajili yanini?

Kesi ingesikilizwa siku moja kesho yake anahukumiwa, anaenda kupumzisha akili yake ndogo gerezani.
 
Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu.

Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu wasisome ili wajipange kumpokea Yesu, Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la Country Living, huyo mtu ni ndugu yangu hata mimi sikubaliani naye kuhusu hizo hoja zake, lakini kuna jambo limenifanya niandike hapa.

Taarifa ni kuwa yule bwana kapigwa sana na baadhi ya Askari Polisi, hata kutembea hawezi na tangu kashikwa sasa anamaliza zaid ya zaidi ya wiki bila kupelekwa Mahakamani na haruhusiwi kupewa mdhamana mpaka itoke Shilingi laki mbili (Tsh. 200,000).

Pia kijana huyo kiukweli baada ya kumaliza form six, mwaka 2019 alikuwa kama hayuko sawa kiakili hasa katika mambo ya dini, maana alikuwa Roman Katoliki, baadaye akahamia kwa Walokole, akataka kuingia kwa Waislam ila hakufanikiwa.

Nilipojaribu kumhoji akasema anataka kujua dini ya kweli ni hipi.

Sasa baadaye aliingia Sabato ila hakuwa kama alivyo sasa, ila alivyofika chuo huko UDOM ndIo mambo yakawa mabaya zaidi.

Maana alikutana na Mwanafunzi mwenzie mwenye imani ya Wasabato Masalia, ndio akamrubuni waache chuo wakamsubiri Yesu huko vijijini.

Ombi langu kubwa ni juu ya Afya ya ndugu yetu, maana tunaambiwa mgonjwa kwa sababu ya kipigo na hakuna dhamana, Je, kosa hilo halina dhamana? au asipelekwe Mahakamani hadi leo, ikiwa ni wiki hadi sasa imepita.

Naomba msaada kwa mamlaka…
Pia soma:
= Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi
hao wajinga washaona fursa ya kupiga hela
hivi hii laki mbili ya dhamana inaonekana ni wameipanga nchi nzima
maana hata huku tarime hela ya dhamana wanaomba laki mbili
 
Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu.

Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu wasisome ili wajipange kumpokea Yesu, Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la Country Living, huyo mtu ni ndugu yangu hata mimi sikubaliani naye kuhusu hizo hoja zake, lakini kuna jambo limenifanya niandike hapa.

Taarifa ni kuwa yule bwana kapigwa sana na baadhi ya Askari Polisi, hata kutembea hawezi na tangu kashikwa sasa anamaliza zaid ya zaidi ya wiki bila kupelekwa Mahakamani na haruhusiwi kupewa mdhamana mpaka itoke Shilingi laki mbili (Tsh. 200,000).

Pia kijana huyo kiukweli baada ya kumaliza form six, mwaka 2019 alikuwa kama hayuko sawa kiakili hasa katika mambo ya dini, maana alikuwa Roman Katoliki, baadaye akahamia kwa Walokole, akataka kuingia kwa Waislam ila hakufanikiwa.

Nilipojaribu kumhoji akasema anataka kujua dini ya kweli ni hipi.

Sasa baadaye aliingia Sabato ila hakuwa kama alivyo sasa, ila alivyofika chuo huko UDOM ndIo mambo yakawa mabaya zaidi.

Maana alikutana na Mwanafunzi mwenzie mwenye imani ya Wasabato Masalia, ndio akamrubuni waache chuo wakamsubiri Yesu huko vijijini.

Ombi langu kubwa ni juu ya Afya ya ndugu yetu, maana tunaambiwa mgonjwa kwa sababu ya kipigo na hakuna dhamana, Je, kosa hilo halina dhamana? au asipelekwe Mahakamani hadi leo, ikiwa ni wiki hadi sasa imepita.

Naomba msaada kwa mamlaka…
Pia soma:
= Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi
Inawezekana polisi wanaendelea kumshikilia wakisubiri Yesu aje amchukulie dhamana.
 
Kumbe na wewe ni mmoja wapo!! Unasema ndugu yako!! Sasa tuambie unapatikana pande zipi tuendelee na wewe!!?
 
Yaani hata huyo masikini amekuwa Dili?
Huwa wanapiga kwanini maana huwa sielewi kabisa, tena wanapiga mpaka wengine wanakufa
Halafu wanajiona wako sawa
Yote hayo kuomba rushwa ya laki 2
Poleni sana
 
Unasema wewe ni ndugu yake, mbona unasema Tena kwamba 'taarifa inasema' Ina maana nawewe unatuhadithia kitu Cha kuambiwa hapa na huna uhakika.
Kwa kuwa hiyo kesi inahusisha watoto wa shule kwa vyovyote na watu wa ustawi wa Jamii lazima nao waingilie kati. Tayari kesi Ina public interest polisi Hawez kuomba rushwa hapo..kitanuka
 
Back
Top Bottom