USA yaamua kuzuia Mtandao wa TikTok

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,125
1,922
Ni siku chache zimepita tangu USA kuja na maamuzi ya kuzuia Mtandao wa TikTok ndani ya Taifa lao

Mpaka sasa hakuna sababu za kueleweka kwamba kwa nini mtandao huo uzuiwe zaidi ya wivu na uhasama wa kibiashara

Mara nyingi USA imekuwa ikijaribu kuua maendeleo ya China kwa muda mrefu sana hata katika biashara nyingine ikiwemo simu za Huawei kuzuiwa kuingia USA kipindi cha nyuma

Nadhani China nao wanapaswa kulipa kisasi kwa kuzuia mitandao iliyoundwa na kampuni ya META ikiwemo Facebook, Instagram na WhatsApp ndani ya Taifa lao ili wagawane hasara.

images (3).jpeg
 
Je umefanya reseach yako vzr ukatambua iyo mitandao ya META ipo china
Kwa uwelewa wangu china akuna facebook wasap wala youtube km ulikua ujua mchina ndo anaongoza kwa kufungia na kuzuia app za kimarekan nchini lwake

Lakin ndugu yangu hii mitandao unaweza ichukulia poa ila mitandao inasaidia sana kupata taalifa za kininterigencia kutoka kwa watumiaji wake kwenda kwa wahusika
 
Umenena mkuu
 
Back
Top Bottom