Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,194
- 10,929
Abdel-Malik al-Houthi ambaye ni kiongozi wa juu wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mpaka sasa wamefanikiwa kuzishambulia meli zenye mafungamano na Israel zipatazo 73 tanguj waanze operesheni yao ya kuwatetea watu wa Palestina.
Kupitia televisheni inayomilikwa na wanamgambo hao Abdel Malik akaongeza kusema kuwa wana mpango kabambe kuanza kuzuia njia nyengine zinazotumiwa na Israel na ambazo hazikufikiriwa ikiwemo kuzuia meli hizo zipite bahari ya hindi yote hata kuzunguka Afrika kusini.