kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. Livingson1

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali ianzishe sheria na elimu kuzuia kutupa taka hovyo

    Utupaji wa taka hovyo ni changamoto za utunzaji wa mazingira, Serikali na wadau mbali mbali wanaweza kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira. Kuanzisha sheria itakayopinga utupaji wa taka hovyo, Kutengeneza dustbin kubwa na kuziweka kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu kisha zikijaa...
  2. ROJA MIRO

    JamiiForums Tanzania SoC01 UTENZI: Kuipenda Tanzania, Ni Corona Kuzuia

    1.Kila mtu anajua, Kiloikumba dunia, Huruma itakujia, Habari ukisikia, Kwa kubwa asilimia, Wengi wakiangamia, Tuwaze na kuwazua, Corona kuizuia. 2.Vifo vinavyotokea, Afrika na eshiaa, Italia na India, Kote wanaugulia, Kikubwa kilobakia, Tahadhari kuchukua, Na tusione udhia, Afya zetu kuokoa...
  3. ROJA MIRO

    JamiiForums Tanzania Utenzi:-Kuipenda Tanzania, Ni Corona kuzuia

    1.Kila mtu anajua, Kiloikumba dunia, Huruma itakujia, Habari ukisikia, Kwa kubwa asilimia, Wengi wakiangamia, Tuwaze na kuwazua,Corona kuizuia. 2.Vifo vinavyotokea, Afrika na eshiaa, Italia na India, Kote wanaugulia, Kikubwa kilobakia, Tahadhari kuchukua, Na tusione udhia,Afya...
  4. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume: Mbinu za kuzuia kufika mapema on top

    1. Mazoezi: Kufanya mazoezi, mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwa hiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mpaka bobby walikuwepo kuzuia katiba mpya jana mjini Mwanza

  6. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye akili timamu duniani ambaye atapinga au kuzuia Katiba ya nchi kuboreshwa, kwa sababu huwezi ukaboresha Katiba ikawa mbaya zaidi

    Labda watu hawaelewi maana ya Katiba au umuhimu wa Katiba ya nchi, au Katiba ya nchi ni kwa ajili ya nini na nani. Lakini hakuna mtu duniani, kama ana akili timamu, atazuia wazo la kuboreshwa kwa Katiba ya nchi. Mtu anaefanya hivyo ni mwendawazimu, au hajui kazi ya Katiba ni nini, au utaratibu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kamwe usirithi maadui, tengeneza wa kwako

    Ningelipata nafasi ya kuonana na rais SSH ningelimuuma sikio na kumpa tahadhari kwamba awe kama ndege mbayuwayu (akili za kuambiwa achanganye na zake. Rais SSH bado ana kundi kibwa Sana la watu ktk serikali yake waliokuwa wameaminiwa na mwendazake. Na kimsingi watu hawa walijipanga kufaidi...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama viongozi wenyewe ndio hawa wenye mamlaka ya kuzuia au kuruhusu jambo ambo katiba imeruhusu hamna umuhimu wa katiba mpya

    Habari! Hii mada haina uhusiano na uchochezi. Watanzania ni vyema tukapigania utawala wa haki na misingi ya katiba tuliyonayo kabla hatujaisaka katiba mpya. Kama tuna viongozi ambao kwa mamlaka yao wanaweza kuigalagaza katiba hadharani itasaidia vipi katiba mpya? Katiba inaruhusu mikutano ya...
  9. jay pelle

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia zinazotumiwa na wezi wa mitandaoni (cyber criminals) na jinsi ya kuzuia

    Miaka kadhaa nyuma wahalifu wa mitandaoni walilenga sana Computers aina ya desktop na laptops kwani shughuli nyingi za kifedha zilizohusisha internet zilitegemea sana vifaa hivyo. Lakini kwa sasa hivi wamelenga sana watumiaji smartphone na kwa mujibu wa mtandao wa Statista watu zaidi ya Bilion...
  10. Dive

    JamiiForums Tanzania Hivi TTCL na TCRA wanashindwa kuzuia matapeli kwa njia ya simu?

    Kiukweli inasikitisha sana Kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ambayo ilielekeza lines zote za simu zisajiliwe Kwa kutumia vitambulisho vya NIDA ilu ktambua watumiaji na kuepusha uhalufu lakini leo hii lines za simu hasa hasa za TTCL zinatumika sana kutapeli watu. Kumekuwa na ongezeko la...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siasa ni Ajira, kuzuia mikutano ni kunyima kundi fulani ulaji

    SIASA NI AJIRA, KUZUIA MIKUTANO NI KUNYIMA KUNDI FULANI ULAJI Kwa Mkono wa, Robert Heriel Moja ya mambo ambayo nilipishana na JPM Kwenye utawala wake ni suala la kuzuia mikutano ya Kisiasa ya nje hasa Kwa wapinzani huku CCM wakiendelea na mikutano kwa mwamvuli wa kukagua miradi ya serikali...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais kuzuia mchakato wa mabadiliko ya Katiba ni kuvunja Sheria

    Taifa zima limekuwa likidhani kuwa suala la katiba mpya ni hisani ya CCM au rais aliyeko madarakani. Hili jambo siyo kweli hata kidogo. Suala la katiba mpya linaongozwa na Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012. Katika sheria hii, hakuna mahali rais amepewa mamlaka ya kuzuia mchakato wa...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vijana wanaochangishana kumsaidia Sabaya wafuatiliwe, wana nia ovu ya kuzuia haki isitendeke(obstruction of justice), pia wanatukana Serikali

    Hawa ni lile kundi ambalo mimi nimelichana hapa JF hivi karibuni, lina mambo ya hovyo sana. Hili kundi linachangishana pesa huku likitoa maneno ya kashfa kwa mkuu wetu. Nina wasiwasi wana lengo la kuzuia haki isitendeke. Vyombo vya kisheria na vya kidola viwakamate, viwahoji na ikibidi...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuzuia watu wasichafue jengo lako ambalo halijakamilika (pagale)

    Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika? Iliniuzunisha sana wakuu, nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo
  15. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu: Itungwe sheria kuzuia teuzi nyingi za fasta kwa Wakati mmoja

    Anapoingia Rais mpya Kama tulivyoshuhudia kwa Mh. JPM na sasa mama SSH, teuzi nyingi zinafuata. Naona zinaharibu utendaji kwani Strategic plans za nyuma hazitekelezwi na wale Waliokuwa ofisini kwani wanahamishwa hamishwa mno. Pia anapokuja mtu mpya kwa ofisi ataanza na yake, hii siyo sawa...
  16. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

    Je, imetokea kwa bahati mbaya umetegeka na mwanafunzi na ukamwaga ndani? Au umemwagia dada ambae unahisi huwezi kuzaa nae au hauko tayari, vivyo hivyo kwa mwanamke umetembea na mwanaume usingependa uzae nae au hauko tayari kuzaa nae. Embu tusubiri wataalamu watupe majibu, mwenyewe sijui.
Back
Top Bottom