Komwe (frontal bossing): Sababu ni zipi? Ni njia zipi za kuzuia ili mtoto asiwe na komwe?

kayanda01

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,086
913
Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi...

Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake.

1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)?

2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe?

3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu) zinasaidia kuzuia komwe kwa mtoto?

Nawasilisha.
 
Kuna wengine wana pua kubwa unaizuiaje?
 
Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi...

Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake.

1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)?

2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe?

3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu) zinasaidia kuzuia komwe kwa mtoto?

Nawasilisha.
Kwani Kuna shida gani Ukiwa na komwe? Naona watu mnaohangaika.na mambo ya kijinga
 
Back
Top Bottom