Ule msafara wa waasi wa Wagner kuelekea Moscow kweli ulitisha japoj wengi wetu tunaofuatilia vyema vita hivi tulijuwa hautofika mwisho wa safari.Namna ambavyo ungezimwa ndio tulitofautiana,ni kwa kupigana au kwa njia ipi.
Ukraine na NATO walishangilia sana na kuanza kuongeza petroli kwenye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023.
Akizungumza kwenye Tamasha hilo linaloashiria Mwanzo wa mavuno, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Namsikia sikia aliyekuwa mgombea Urais 2020 kupitia CHADEMA Tundu Lissu akijisulubu nafsi yake kwa dhana ya kufikirika tu kwamba hakuna hata kiongozi hata mmoja aliyeshinda.
Anayesema haya atambue kwamba:
Siku ya kupiga kura 2020 niliona misululu mirefu sana ya watu wakisubiri zamu zao kupiga...
Ndege inapoondoka Dar es Salaam inajulikana for sure itatua Dodoma muda gani na miundombinu ya uwanja inajulikana.
Lakini Kwa tuliosoma Cuba tunaposikia ndege ya Yanga yashindwa kutua, ndege ya kiongozi mkubwa yashindwa kutua lakini ndege zenye abiria wasio na attention Kwa jamii hazikwami...
hechejohn
Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu..
Bado anataka kuongeza mzigo!!!
Pesa zipo za kutosha lakini zinaibiwa kwasababu ya wajinga kama huyu Kushindwa...
Mpasuko unaendelea Urusi, asema kuna uwezekano Ukraine wakafaulu kutembeza kichapo kwenye counteroffensive ijayo maana wakuu wa Urusi ni wazembe na wanaondoka na kuacha jeshi likiwa hovyoo.
===========
Wagner mercenary chief says Ukraine's counteroffensive could succeed against Russian forces...
Haingii akilini hata kidogo mtu apambane zaidi kutafuta njia ya kujitegemea kwa kutegemea elimu ya chuoni impe ajira ambazo hazina uhakika huku hana ujuzi wowote wa kumfanya ajiajiri kwa uhakika hata akikosa ajira.
Mwenye ujuzi ni ngumu sana kulala njaa lakini mtu hata uwe na masters yako kama...
Imekuwa ni porojo tu utumishi huko na hazina.
Bora tu kaondoka Jenista maana alikuwa gundu watu hawalipwi madai yao!
Hivi Serikali mnawaona wafanyakazi wanyonge au mapoyoyo? Kutwa kujifanya mnaandaa malipo ya malimbikizo na hamlipi?
Je, Rais naye anadanganywa kuhusu hili?
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali. Baadhi ya sababu hizo ni:
1. Uongozi mbaya: Mashirika ya serikali yanaweza kuingia hasara kama uongozi wake ni mbaya na usiofaa. Wakurugenzi na mameneja wa mashirika haya...
Kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana, na wao wanaona ni sawa.
Kuna sehemu nilienda wakaanza kuandaa chakula, mara nikaona mpishi anapika mara akafutia sufuria na kanga aliyojifunga, nikasema tobaa hiki chakula siwezi kukila tena.
Usafi ni muhimu sana kwa mpishi kwani ukizingua kwenye usafi...
Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.
===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.
Hata hivyo amesema...
Urusi imepoteza zaidi ya wanajeshi 70,000 kwa kujaribu kufumua kamji kadogo ka Bakhmut, imeshambulia kwa nguvu zote na kutupa kila kitu, lakini wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kwa sasa Urusi imekwama kiasi cha kutojua nini cha kufanya zaidi.....kichekesho...hawa ndio...
Limekuwa ni suala linalojirudia kila siku kwa Adam Mchovu kama sio kupiga watu basi kutukana ama kufanya mambo ya fedheha.
Kushindwa kwa uongozi wa Clouds Fm kuweza kumdhibiti na kumpa adhabu stahiki basi inamaanisha aidha anafanya upuuzi wake kwa baraka za uongozi wake ama ni mkubwa mno kuliko...
Fei kushindwa soka letu limeshinda! Ukubwa wa jina la Fei alioupata akiwa Yanga ungekuwa silaha ya kuuangamiza mpira wetu 🇹🇿.
Kivipi?
Kesi/Shauri lake kama angeshinda lingetumika kama kielelezo na mfano kwa Wachezaji mbalimbali kuvunja mikataba yao bila utaratibu.
"Mbona Fei alivunja?" Kauli...
Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
---
Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea...
Kitendo cha Waziri wa Fedha kukiri kwamba akiba ya Taifa ya Fedha za kigeni ilichotwa na fedha kutumika kwa ujenzi wa Madarasa ni kiashiria cha dhahiri kukosekana fedha katika njia za kawaida (makusanyo ya mapato).
Foreign Reserve hutumika tu endapo kuna mkwamo wa kiuchumi na serikali huzitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.