kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Ukiifikiria sana hii nchi unaweza kupata wendawazimu!

    Huku nikiwa naendelea kufurahia vitu vya asili tulivyobarikiwa na Mungu pamoja na chakula kizuri, maisha ya watu wangu kiujumla ni magumu sana. Hakuna jitihada za makusudi za kuhakikisha watu wanaishi maisha yenye furaha. Unajenga nyumba nzuri, unaweka mifumo ya maji, vyoo vya ku flash, AC...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Miguu kupata ganzi wakati wa kukaa muda mrefu

    Wanabodi habari za mchana. Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana! Naomba msaada kujua tatizo linaweza kuwa nn? Dr Ahmed Albah-Shahwa na Madr wengine msaada.
  3. K

    JamiiForums Tanzania A-Z Jinsi ya kupata pesa kupitia chaneli ya YouTube

    Je, wajua kwamba waweza jipatia pesa nyingi sana kupitia Youtube? Labda unajiuliza ni jinsi gani jambo hili linawezekana! Leo nakupa maujanja kuhusu mchongo huu. Video nyingi ambazo hua unazitazama YouTube ni chanzo kikubwa sana cha pesa kwa wanaopost video hizo, yawezekana hujawahi kuujua...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napata tatizo kila nikijaribu kujisajili MCT

    Habari ya muda huu Wana JF, Nimemaliza kozi ya utabibu NTA level 5 mwaka 2023, sasa nilikuwa kwenye process za kuomba leseni kupitia MCT, kwenye mfumo inagoma, nikitaka ku submit information baada ya kuzijaza inaandika.. ERROR; Your registration number does not match with the end year of study...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kupata marafiki wapya wanaojielewa kutoka huko duniani.

    Nilianza kimzaa mzaa, nikaanza kujiunga kwenye magrupu ya wafanya biashara, wajasiriamali, wanaofanya fedha za kimtandao n.k kutoka huko duniani. Nimekuwa namwaga nondo nzito, za kibiashara za kimataifa na namna ya kufanya uwekezaji wa hapa na pale popote duniani n.k Nimejikuta napata marafiki...
  6. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Anawezaje kupata Chuo?

    Wandugu kuna mdogo wangu ambaye amehitimu kidato cha nne mwaka jana na wakati wa kujaza selform, alichagua kwenda chuo, sasa alikuwa anauliza ni kwa namna gani anaweza akapata connection hapo chuoni, na ni kwanamna gani anaweza kutengeneza marafiki wengi awapo chuoni, ikibidi hata chuo kizima...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wateja mtandaoni

    Hellow .... Wapendwa, Najua kutafuta wateja siyo kazi rahisi hasa kwa mtu ambaye anafanya online business...... Mnatumia mbinu gani kupata wateja wapya? Mnatumia njia gani kupata wateja wa kilasiku.....mbona Mimi naweza kumaliza mwezi na sipati mteja Na ninapost kila siku...... Nimegundua...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana wa kiume mnaosumbuka kupata mabinti, Nawapa mbinu rahisi zaidi ambayo niliitumia enzi zangu,

    MUHIMU: Mbinu hii haitumiki kwa magurumbembe na gold diggers, ni kutwanga maji kwenye kinu. BE HER DADDY, MFANYE AKUONE WEWE NI KAMA BABA YAKE, Niseme tu ya kwamba ukiweza kuwa yule mtu anaeona anaendana ama kumzidi baba yake alivyo kwa vitu positive basi ni rahisi sana kumpata. ndio maana...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda ahimiza ubunifu katika mbinu za ufundishaji ili kupata wahitimu mahiri

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali inaendelea kufanya mageuzi ya Elimu, na kuboresha mbinu za ufundishaji kuanzia ngazi za Awali hadi Vyuo Vikuu ili kupata Wahitimu Mahiri kukidhi mahitaji ya soko la ajira. Waziri Mkenda amesema hayo Februari 26, 2024...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanaolewa ili kupata urahisi wa maisha na sio upendo wa kweli

    Jambo? Kwa ulimwegu wa sasa wenye changamoto nyingi za malezi na uzinzi uliokithiri kupita kiasi usije ukajidanganya kuwa mwanamke unaetaka/uliemuoa anakupenda kwa dhati. Mwanamke aliewahi kuwa na mahusiano kadhaa nyuma huwa anaolewa kwasababu ya vitu na sio upendo wa kweli. Sasaivi sio jambo...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shally Raymond: Kupata Ndoo ya Maji Same ni Elfu 4 Hadi Elfu 5

    Mbunge Shally Raymond: Kupata Ndoo ya Maji Same ni Elfu 4 Hadi Elfu 5 Mbunge Shally Raymond amelieleza Bunge kuwa bei ya maji hivi sasa kwa jimbo la Same Mashariki mkoani Kilimanjaro ni kati ya shilingi elfu 4 na shilingi elfu 5 kwa ndoo huku akisema adha ya maji katika jimbo hilo inawakumba...
  12. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

    Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke kisha namsindikiza kwao kwa daladala. Siku moja akanambie we nenda tu nikasema sawa sasa kuna...
  13. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Kenge akikupiga na mkia wake kuna athari anakuachia ya kufanana maisha yako na yake. Akiumwa, akikonda nawewe inakutokea

    Je, hili linalosemwa ni la kweli kwamba endapo kenge akikupiga na mkia wake kuna madhara unaweza kupata. Kwa mfano akikonda na wewe unakonda akinenepa na wewe unanenepa akifa na wewe unakufa.
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Baada ya Samweli Sitta spika wa viwango! Sasa ni Tulia Ackson Mwansasu homa ya jiji

    Bila unafiki, ushambenga, uchawa na ukurung'unzu wowote. Nasimama kusema katika umri wangu spika Bora niliyewahi kumuona na kumkubali alikuwa Samweli Sitta mzee wa viwango! Lakini kwa sasa nchi ipo mikono salama chini ya spika Tulia Ackson Mwansasu. Huyu mtu sio tu ni spika bali tumepata...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kadri mti wake ulivyokuwa unakua, ndivyo na yeye alivyozidi kupata nguvu

    Ooh! Sawa kabisa. Usipoelewa sasa, utaelewa baadaye. Basi bhana, Mfalme Nebukadneza katika fahari yake, akawa anatembea kwenye kuta za mji wa Babeli huku akijisifu namna alivyoiboresha Babeli ndani ya kipindi chake cha uongozi. Ni kweli hadi kufikia muda huo, Babeli ilikuwepo muda mrefu wa...
  16. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

    Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu. Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna. Mimi ndoto yangu...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jonas Van Zeeland Aipambania Mvomero Kupata Maji Safi na Salama kwa Wananchi Wake

    MBUNGE VAN ZEELAND AIPAMBANIA MVOMERO KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WANANCHI WAKE "Je, lini Serikali itakamilisha mradi wa kusambaza maji katika tarafa ya Tuliani?" - Mhe. Jonas Van Zeeland, Mbunge wa Jimbo la Mvomero "Serikali inaendelea na utekelezaji wa mradi wa kusambaza maji katika...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kupata HIV baada ya kufanya ngono nzembe na mdada niliekutana nae siku 1

    Habarini wna JF ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya tele, ningependa ku share hii experience wakati nikiendelea kuishi kwa hofu sana baada ya kukutana na mdada ambae ni muathirika baada ya kumpima. Story iko hivi nilikutana na mdada sehemu akiwa na rafiki yangu pamoja pia na dem wa...
  20. Yofav

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujifunza udereva na kupata cheti pamoja na leseni kwa ujumla

    Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, Naomba kwa mwenye experience na masuala haya ya mafuzo ya udereva yanavyokwenda anishauri ni Driving school gani niende ili kupata elimu ya mafunzo ya kuendesha Magari japo haya mdogo kwanza lakini muhimu nijipatie cheti... Ningeomba kujua pia...
Back
Top Bottom