kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni lini Mashirika ya serikali yatajiendesha bila ya kupata hasara?

    Salaam! Mashirika ya kiserikali ni taasisi zinazofanya kazi kwa uhuru kwenye baadhi ya mambo na pasipokuingiliwa kwa majukumu lakini kwa asilimia kubwa hizi taasisi zinakuwa monitored by Government Ministries (Single Tier),imekuwa ni kawaida kwa serikali kutenga kiasi cha fedha ili kuzipa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania GPA ya ngapi inahitajika kupata tutorial assistant

    Nilikua nauliza ni GPA ya ngapi inahitajika kua shortlisted kwenye interview za tutorial assistant katika vyuo vya umma
  3. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata control number mtandaoni TRA

    Nina Shida na kupata control number tra ili nilipie Nilienda juzi wakanipigia makadilio ila kwenye kupata control number mtandao wao ukasumbua so jambo halikukamilika na mwezi ushaisha nikikaa mpk tarehe 1 penati naombeni mnisaidie namna ya kuipata conyrol number kwenye tovuti yake
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7 na Kupata Ujauzito

    Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7. Siku yake ya hatari ya kubeba mimba inangukia siku ambayo bado yuko kwenye hedhi. Inabidi akutane na mtu wake siku ya hedhi ili mimba iingie. Bila kujua hilo anaweza kumaliza waganga wote akijua yeye ni mgumba. Credit: Dr. Kala
  5. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchakato wa Kupata Tume Huru ya Uchaguzi Uanze Sasa

    MCHAKATO WA KUPATA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) UANZE SASA Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ndg Isihaka Rashid Mchinjita, kimewataka Wajumbe wote wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wajiuzulu ili mchakato wa kuundwa kwa Tume mpya ya Uchaguzi uanze kwa...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli basi ushindi wao hauna maslahi zaidi ya kupata jina tu!

    Ramadhani Brothers washindi wa AGT wamekatwa zaidi ya asilimia 70 kwenye pesa walizoshinda kwenye mashindano ya AGT. Ukipiga hesabu za haraka ni kwamba hawa jamaa wamebakiwa na hela ndogo sana baada ya makato mbalimbali waliyokatwa kwenye zawadi yao. ✍️Mjanja M1
  7. U

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kupata pesa zangu nilizodhurumiwa na huyu kigogo?..

    Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama na kaka yake ni mteule wa raisi hivyo nikagonga mwamba.. nikaenda...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo

    Wakuu msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo.
  9. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Mwana JF hapa unaweza kupata alama ngapi?

    1. Hujawahi kunywa pombe 2. You've never watched porn 3. You've never cheated on your patner 4. You've never fought with someone since you were born 5. Kukaa siku nzima bila kula
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli na tuache unafiki, kwa kikosi kile cha Azam nani anaweza kuthubutu kupata hata sare?

    Timu la AZAM limejaa wachezaji wa viwango vya Kimataifa, jana tu mziki ulikuwa ule na bado kuna mijitu ya hatari haikucheza, kuna binadamu linaitwa Akaminko halikucheza, kuna jibaba Sidibe halikucheza, Bajana hakucheza, ina michezaji ya hatari iko kule Africa Kusini ikipatiwa matibabu. Hawa...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Wenye akili na wazalendo walishajua kuwa Tunahitaji sana kupata Rais Mwingine kama Hayati Magufuli

    Leo tarehe 17/03 ni siku ambayo hayati JPM alitutoka 2021. Katika pitapita leo nimekutana na kijana mmoja kuniambia sisi ambao hatuna akili na sio wazalendo ambao wengi wetu tulikosa virutubisho utotoni na kupata udumavu hatuoni mchango wa hayati Magufuli. Hiyo inapelekea kumsema vibaya na...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kupata mwanamke full package

    Nilikuwa najipa moyo kwamba unaweza kupata mwanamke mwenye sifa angalau 80% ya vile vigezo muhimu vya kuwa mke bora. Nikasema kama wapo wanawake wazuri wa sura zenye mvuto, lakini kwa nini usipate mwenye mvuto akawa pia na tabia nzuri, mnyenyekevu, mtiifu, mwenye bidii nk? Nikaona ngoja niingie...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata maji safi

    Tatizo la maji bado ni kubwa sana. Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru. Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Kulala chini ya Saa 6 kunaweza kuongeza hatari ya kupata Saratani na Kifo

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Marekani (Heart.Org) kwa Watu wenye miaka kati ya 20 hadi 70 umeonesha Watu wasiopata muda mrefu wa Kulala Usingizi kwa zaidi ya Saa 7 kila siku wanakuwa hatarini kupata Saratani au Kifo cha Ghafla. Utafiti huo uliochapishwa kupitia Journal...
  15. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Fahamu Sababu za Watu Wengi Hupata Stroke(Kiharusi) Bafuni

    Kawaida, nafasi za kupata Stroke (kiharusi) ni kubwa kutokea Bafuni kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaanzia Kichwani, ambayo ni njia mbaya. Ikiwa unaanzia kichwa kwanza, damu hupanda kwa haraka kichwani na mishipa ya damu inaweza Kupasuka. Hivyo Stoke(Kiharusi) hutokea na unakuta watu hujikuta...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Nafanya nin kupata mchumba ninayemhitaji??

    Maana kila nikitongoza Wadada anasema yupo kwa mahusiano. Sio poa Inaniumiza kichwa sana kupata ninayemhitaji. Chaajabu kuna wadada wanaonekana kunikubali asilimia zote hata sjawatongoza, chaajabu siwaelewi wala nin. Ninaowaelewa wanawatu wao. Nifanyej??
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Masikini wana uwezekano Mkubwa wa kutoa Rushwa kupata huduma za msingi kuliko matajiri

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Shirika la Kupinga Rushwa na Ufisadi la Transparency wa Mwaka 2013 uliohusisha kuangazia mitazamo mbalimbali ya watu kuhusu Rushwa, watu wenye hali duni ya Kiuchumi na wanakabiliwa na athari za rushwa kwenye huduma za Umma kwa kiwango kikubwa zaidi. Utafiti...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS?

    Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wanachadema wengi tunapiga mahesabu ya kupata ubunge 2025. Tukimwagwa na wananchi tusingizie kuibiwa kama 2020

    Tatizo kubwa makamanda wenzangu huwa wanawaza pesa tu. Mahesabu sasa ni kurudi mjengoni. Kisa tu ukiwa mbunge kuna pesa lukuki za bure. Badala ya kuwekeza kwa kuanza kujenga imani kwa wanannchi ili angalau tukubalike. Tumewekeza kwenye maandamano njaa. Tukimwagwa. Mayowe kibao kama 2020.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ili kupaa kisiasa Tanzania inabidi umuongelee Hayati Magufuli tu

    Asalaam Aleikum, Kama kichwa kinavyojieleza. In Tanzania currently, sio ruling party wala watu wa opposition parties, wote hao wanatafuta political mileages kupitia kumuongelea MZ. Ni kwamba sera za kuongelea na hoja za kisiasa zimeisha au ndo mvuto wa kisiasa wa hao wagombea wenu hakuna...
Back
Top Bottom