Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,553
- 2,992
Tunajua
Ndani ya chama cha Mapinduzi CCM kunatofauti nyingi mno zinazotokana na uchu wa madaraka,makundi mengi yanazuka kulingana na nani ananipa nini pia nitapata nini?
unazani kwa mtu kama Samia Suluhu afanye kitu gani ili kudhibiti mwendendo huu mbaya ambao unatishia kukiangusha chama cha mapinduzi??
jibu ni Moja kuna makundi makubwa ambayo yamejengwa ndani ya chama kutokana na madaraka au fedha hivyo kuna mambo hayo mawili ambayo yametengeneza makundi hivyo hata afanyaje ni ngumu mno kushawishi mtu wa muelekeo fulani kwenda upande mwengine.
Divide and Rule
ambapo ndani yake kuna njia kama kuharibu(destruction) mtandao wa mawasiliano ya hawa jamaa kupitia kupitia mambo yanayowaunganisha.(pesa au fedha ila sio kwa kiasi kikubwa).
Creativity anatakiwa kubuni mbinu za kuunganisha chama kulingana na msimamo wake na mwisho kuendeleza mazuri yaliyokuwepo ambayo kimsingi unayapata kwenye katiba yao ya chama.
nawasilisha.