Kesi gani?habari wanaJF kesi mahakamani hususan mahakama za mwanzo ikifutwa na kama kumetokea hitlafu katika ufutaji kesi hio ni taratibu gani za kuchukua kufufua kesi hio na kama hujarizika na ufutaji wa kesi ni zipi taratibu za kufanya.kupata haki zako kuendelea na kesi
Itakua kesi ya Madai!!Kesi gani?
achana kwanza na hizo hitilafu,imefutwa kwa ajili gani? haukuhudhuria mahakamani?na wewe ni mlalamikaji au mlalamikiwa katika kesi husika?habari wanaJF kesi mahakamani hususan mahakama za mwanzo ikifutwa na kama kumetokea hitlafu katika ufutaji kesi hio ni taratibu gani za kuchukua kufufua kesi hio na kama hujarizika na ufutaji wa kesi ni zipi taratibu za kufanya.kupata haki zako kuendelea na kesi
Samahani nami nidandie 'Lift' je, kama Mimi ni Mlalamikiwa na sikuhudhuria mahakamani kesi ya madai bila kutoa taarifa yoyote mahakamani ni nini kitakachoendelea??achana kwanza na hizo hitilafu,imefutwa kwa ajili gani? haukuhudhuria mahakamani?na wewe ni mlalamikaji au mlalamikiwa katika kesi husika?
kesi itaendelea kusikilizwa upande mmoja na hukumu itatolewa kulingana na uthibitisho wa madai uliotelewa na mlalamikaji dhidi yako,na itabidi uitekelezeSamahani nami nidandie 'Lift' je, kama Mimi ni Mlalamikiwa na sikuhudhuria mahakamani kesi ya madai bila kutoa taarifa yoyote mahakamani ni nini kitakachoendelea??
Je, kama hukumu imetolewa naruhusiwa kupata nakala ya hukumu na kuruhusiwa kukata rufaa mahakama ya juu japo awali sikuwa nimehidhuria mahakama ya chini iliyotoa hukumu?kesi itaendelea kusikilizwa upande mmoja na hukumu itatolewa kulingana na uthibitisho wa madai uliotelewa na mlalamikaji dhidi yako,na itabidi uitekeleze
Je kutakua na ushahidi mpya na je utaweza pokelewa na Mahakama!!??kesi itaendelea kusikilizwa upande mmoja na hukumu itatolewa kulingana na uthibitisho wa madai uliotelewa na mlalamikaji dhidi yako,na itabidi uitekeleze
Kwanza tuambie,umepigwa chini kwa which grounds, ili tukushauri kabla hujakataa rufaa ili tuone kama utatoboa kwenye rufaa yako!!Je, kama hukumu imetolewa naruhusiwa kupata nakala ya hukumu na kuruhusiwa kukata rufaa mahakama ya juu japo awali sikuwa nimehidhuria mahakama ya chini iliyotoa hukumu?
ni kesi ya jinai ambayo nilichelewa session mahakamaniKesi gani?
yes mimi ndio mlalamikaji nilifika mahakamani saa 3 kamili asubuh kama siku zote tunaanza kuitwa mda huo lakini nilivyofika nikamfata karani akaniambia uliitwa saa moja hukutokea kwaiyo kesi imefutwa.nikawauliza hata siku moja kesi mbon sijawai ona imeitwa saa moja asubuhi na mbona sijawahi kosa session hata moja wakaniambia hilo ilo nikosa lako wao washafunga kesiachana kwanza na hizo hitilafu,imefutwa kwa ajili gani? haukuhudhuria mahakamani?na wewe ni mlalamikaji au mlalamikiwa katika kesi husika?
makarani siwaelewi kwa kweli alafu ni kesi ya jinaiyes mimi ndio mlalamikaji nilifika mahakamani saa 3 kamili asubuh kama siku zote tunaanza kuitwa mda huo lakini nilivyofika nikamfata karani akaniambia uliitwa saa moja hukutokea kwaiyo kesi imefutwa.nikawauliza hata siku moja kesi mbon sijawai ona imeitwa saa moja asubuhi na mbona sijawahi kosa session hata moja wakaniambia hilo ilo nikosa lako wao washafunga kesi
Wakati wa kesi Mimi nikiwa mdaiwa nilishindwa kufika mahakamani na pia sikuitaarifu mahakama sababu za kushindwa kuhudhuria mahakamani.Kwanza tuambie,umepigwa chini kwa which grounds, ili tukushauri kabla hujakataa rufaa ili tuone kama utatoboa kwenye rufaa yako!!
navyofikiri ushahidi mpya unaweza kuwepo lakini iikawa inategemea maamuzi ya mahakama kupokea au kutopekea kuwa sehemu ya ushahidi wa mlalamikaji au mlalamikiwa(inategemea na nafasi za wadaawa katika kesi au shauri husika),japo kuwa nafikiri kwa shauri au kesi ambayo inaenda upande mmoja(Ex-parte hearing or trial) ushahidi mpya hautaweza kupokelewa sababu utaenda kumnyima mdai au mdaiwa(inategemea nafasi za waadawa katika kesi au shauri )haki ya kuweza kuuliza maswali ya dodoso au uhalali wa ushahidi au kielelezo husika,ila itaweza kukubaliwa endapo haitaweza kuvunja au kunyima haki ya upande wa pili, lengo ni kuhakikisha Impartiality and justice are attained.Je kutakua na ushahidi mpya na je utaweza pokelewa na Mahakama!!??
Kupata nakala ya hukumu pamoja na mwenendo wa shauri ni haki yako,pia utaruhusiwa kukata rufaa kwenda mahakama ya juu,ila kwa kufuata taratibu za kisheria kabla ya rufaa husika.Je, kama hukumu imetolewa naruhusiwa kupata nakala ya hukumu na kuruhusiwa kukata rufaa mahakama ya juu japo awali sikuwa nimehidhuria mahakama ya chini iliyotoa hukumu?
Unaruhusiwa ili mradi uwe ndani ya muda, iwapo muda umepita itabidi uombe kukata rufaa nje ya muda ukiweka sababu zilizokufanya uchelewe kukata rufaa.Je, kama hukumu imetolewa naruhusiwa kupata nakala ya hukumu na kuruhusiwa kukata rufaa mahakama ya juu japo awali sikuwa nimehidhuria mahakama ya chini iliyotoa hukumu?
Nenda kawaone tume ya utumishi ya mahakama huku ulifata taratibu za kukata rufaa.yes mimi ndio mlalamikaji nilifika mahakamani saa 3 kamili asubuh kama siku zote tunaanza kuitwa mda huo lakini nilivyofika nikamfata karani akaniambia uliitwa saa moja hukutokea kwaiyo kesi imefutwa.nikawauliza hata siku moja kesi mbon sijawai ona imeitwa saa moja asubuhi na mbona sijawahi kosa session hata moja wakaniambia hilo ilo nikosa lako wao washafunga kesi
Unaruhusiwa kuomba Kurejeshwa kwa mashtaka (re-instutuion of the charge/complaint )yako katika mahakama iliyofuta kesi yako ndani ya siku 30 toka siku au tarehe ambayo kesi yako imefutwa au tarehe ya hukumu /maamuzi ya mahakamayes mimi ndio mlalamikaji nilifika mahakamani saa 3 kamili asubuh kama siku zote tunaanza kuitwa mda huo lakini nilivyofika nikamfata karani akaniambia uliitwa saa moja hukutokea kwaiyo kesi imefutwa.nikawauliza hata siku moja kesi mbon sijawai ona imeitwa saa moja asubuhi na mbona sijawahi kosa session hata moja wakaniambia hilo ilo nikosa lako wao washafunga kesi
uko sahihi ila naona atakuwa anajichelewesha tu,afuate taratibu za kisheria za kuomba re-institution tuNenda kawaone tume ya utumishi ya mahakama huku ulifata taratibu za kukata rufaa.