Naweza kupata basi la saa 5 usiku kutoka Mwanza kwenda Musoma?

Wakuu naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku
Mkuu hautapata msaada hapa,ila naamini kama unataka utafika.Nenda Nyamhongolo ulizia au vizia private Car au lori,sio lazima ikufikishe Musoma muhimu ikusogeze tu. Ukifika huko mbele nadhan maeneo ya bariadi kuna Bus zinazotoka Dar kwenda Musoma usiku zipo utapata mpaka Musoma. Nilisikia pia kuna Bus zinazotoka Dar kwenda Musoma zinapita Mwanza,sina hakika kama zipo,ila muhimu tuendelee na huu mjadala ukiwa njiani.
 
Unaelewa unachoandika Dogo? Yaani atoke Mwanza aende Bariadi ili awahi kufika Musoma?🙄🙄🙄🙄!? Serious!!???
 
Back
Top Bottom