Mwenye ufahamu wa elimu ya vipande BOT, mtaji wa 30,000,000 Tshs unaweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka?

budagala

Member
Jun 11, 2015
54
112
Kuna wale akina sisi ambao tunaona risk kufanya biashara ambayo mazingira yake hapa kwetu hayatabiriki na hubadilika badilika. Je endapo nina 30 M Halafu nafikiria kuweka bond za BOT, je naweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka? Masharti ni yapi?

Nimepiga hesabu liquid fund ya UTT nikaona ni asilimia 1 tu. Je kwa pesa hiyo Benki kuu ya Tanzania inaweza kunipa tija kwa kipindi cha mwaka mmoja? Naomba msaada wakuu
 
Kuna bond za muda mrefu na mfupi. Mfaano 5,10,15,20,25 yrs wewe unataka uiweke kwa muda gani bila ya kuigusa. Pia kuwa mjanja nunua bond baadaye ichukulie mkopo ambayo watakupa 3/4 ya iyo hela yako. Chukua mkopo ambao UNALIPWA kwa semi annually yaani Ile riba ndiyo inayolipa marejesho so labda hapa uchukue ya 20yrs.

Baada ya hapo Kama una hela nyingine unaongezea na hiyo unajenga hata kaloji ka vyumba 5-10.
Baadaye na loji unaichukulia Tena mkopo unafanya ishu zingine.
Inatakiwa pia uelewe namna ya kukwepa Kodi Kama ambavyo billionaire like bill gate wanakwepa.

Ama nunua hisa za twiga cement,crdb and nmb hata tbl Mana watu wataendelea kuwa watu na wataendelea kutafuta cheap dopamine kwa kunywa pombe so no guarantee. Na uwaambie gawio lako.wasikupe wawe wanakulipa kwa share so mti utazaa mtu na mtu uliozaliwa nao utazidi kuzaa ,Ila yatakiwa uelewe consequences za kumiliki hisa. Miliki kampuni ambayo management yake iko very strong na iyo kampuni iwe na value kwa jamii ama kwa watu.
Bora umiliki hisa za Bei kubwa zenye thamani kuliko cheap shares of low value.

Check or value the value/quality over the price
 
Inatakiwa pia uelewe namna ya kukwepa Kodi Kama ambavyo billionaire like bill gate wanakwepa.
hiki ndio huwa nataka kukielewa hasa, Robert Kiyosaki alikisema kidogo kwenye Rich dad lakini hakwenda deep,do mind to provide me with more explanation about this please!
 
hiki ndio huwa nataka kukielewa hasa, Robert Kiyosaki alikisema kidogo kwenye Rich dad lakini hakwenda deep,do mind to provide me with more explanation about this please!
Mfano unaweza ukawa UNALIPWA salary in terms of shares so hapa unawekeza huwezi katwa Kodi Mana ukilipwa cash ie you've earned the same government must earn from you.
Kuna kutangaza kuwa umesaidia watt yatima bilioni Mia unaziwekapo Ila baadaye unazichukua 95 wanabakia na 5bn pekee. Mana ukishaziweka kule sio lazima zitumike zote. So hapa utakuwa unaonekana unafanya non-profit stuffs kumbe ni kichaka tu.
Na ndio Mana nje philanthropist Ni wengi mno sio kwa upendo Bali as kichaka Cha kukwepa kuingia darasani kusoma maths
 
Sasa hapa naanza kukusoma rich dad (let me call you that) Ndio maana Mo dewj philanthropist, zuckerberg the same, bill gatesphilanthropist, jeff bzos mule mule.... now I know th reason. Thank you so much you have provide me with a great education today!!!
 
Back
Top Bottom