kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata barua ya mualiko kusafiri nchi za nje

    Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko 1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu , au Family friend ambapo hao ndio watakuandikia barua wewe ya kwenda kuwatembelea kwa sababu fulani...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kupata Mke/Mume mtandaoni?

    Kuna mtu ana ushuhuda? Basi atudhuhudie. Hivi inawezekana kupata Mke/Mume mtandaoni?
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania RITA, watu kupata vyeti vyao ni haki ya kimsingi tupunguze usumbufu

    Ni taasisi niliwahi kuiamini sana sana ila nahisi imevamiwa na vijana wasiojua majukumu yao. Vijana wakikupokea wanahaha kama vile wanapewa mshahara kesho mpaka unapenda. Shida unapoanza kupewa tarehe njo siku fulani wapendwa inachosha mbadilike. Jana nilikuwa na ndugu mmoja tunafwatilia...
  4. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wataalam wa Tiba Asili nao wameshindwa kupata Tiba ya mtoto wa jicho?

    Hospital hakuna Tiba ya cataract zaidi ya upasuwaji je wataalam wa miti shamba nao ugonjwa huu umewashinda?
  5. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?

    Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupata bahati ya kufanikiwa kwenye maisha ukaichezea?

    Ndugu zangu ama kweli bahati haiji mara mbili. Huu ni ushuhuda nilionao dhidi ya rafiki yangu kipenzi, rafiki yangu huyu baada tu ya kumaliza masomo yake. Mungu si Athumani ni bahati iliyoje alipata kazi haraka sana huko bandarini kwenye moja ya kampuni kubwa sana ya mafuta. Kaka yake ni moja...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

    Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala. Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kupata visa/hati ya kusafiria ya tanzania

    Wanajukwaa habarini za wakati huu. Poleni kwa majukumu. Nilikuwa naomba msaada wa namna ya kupata visa/hati ya kusafiria ya hapa kwetu Tanzania. Nataka niende ughaibuni (taifa X huko America kaskazini) nikajitafte kidogo na huko maana bongo land kwetu wanga wamekuwa wengi (natania 😅) Naamini...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Bei za vifurushi vya intaneti kuendelea kuwa juu ni ishara ya kubinywa kwa uhuru wa kutoa na kupata taarifa

    Sio mbali sana. Ni miaka mitatu kurudi nyuma bei za vifurushi vya intaneti ilikuwa ya kawaida sana. Kwa 1000 mtu angeweza kupata kifurushi cha GB1 kwa wiki. Leo hii, GB1 ni 3000. Hebu fikiria kwa sasa, ni watu wangapi wameathirika na mabadiliko hayo? Mimi kipindi hicho, kulingana na bei kuwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Serikali yamtaka Luhaga Mpina Kuomba na kupata Ufafanuzi kwa Serikali kabla ya kuzungumza mambo yasiyo na ukweli hadharani

    Ndugu zangu Watanzania, Siku chache baada ya Mheshimiwa Luhaga Mpina kuzungumza hadharani na kulaumu au kutoa shutuma zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kununua vifaa vya kuongeza makalio badala ya kutumia pesa hizo kutoa huduma kwa wananchi. Serikali kupitia naibu waziri wa...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hello , nipeni muongozo wa kupata pesa za mkopo wa hazina kwa mtumishi wa umma.

    Natanguliza Asante
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Mapenzi mara kwa mara unakuwa hatarini kupata UTI

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke Dkt. Ikrah Abdallah ametoa wito kwa Jamii kutofanya tendo la ndoa mara kwa mara badala yake tendo hilo linaweza kufanyika angalau mara Tatu (3) au Nne (4) kwa wiki ili kuondokana na hatari ya kupata UTI...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu wa elimu ya vipande BOT, mtaji wa 30,000,000 Tshs unaweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka?

    Kuna wale akina sisi ambao tunaona risk kufanya biashara ambayo mazingira yake hapa kwetu hayatabiriki na hubadilika badilika. Je endapo nina 30 M Halafu nafikiria kuweka bond za BOT, je naweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka? Masharti ni yapi? Nimepiga hesabu liquid fund ya UTT...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wadau washauri kusiwe na Ada ya kupata Kitambulisho kipya cha Mpiga Kura iwapo cha awali kitafutika au kupotea

    JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa maoni kwenye Miswada ya Sheria ya Uchaguzi na kushauri kusiwe na gharama za kupata Kitambulisho kipya...
  15. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Procedures for the establishment and registration of unit titles (hatua za kuanzisha na kupata hati pacha)

    Article: By Zakaria Maseke zakariamaseke@gmail.com Advocate/Wakili. (0754575246 - WhatsApp) Unit titles (hati pacha) ni nini? 🤷‍♂️ Ni mfumo ambao mtu ‘ANAMILIKI’ sehemu au chumba (apartment au portion) kwenye jengo lenye vyumba vingi. 🏬 Jengo ni moja ila mnashare wengi, 🌆 kila mtu anamiliki...
  16. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

    Hivi wadada bora kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au kupata mwanaume mwenye hela? Hebu funguka unachagua nini? #nyumayapazia
  17. L

    JamiiForums Tanzania naomba kuuliza jinsi ya kupata ramani ya mipango miji ardhi

    habari za jioni wadau heri ya mwaka.mpya naomba kuuliza kama nimepata coordinate za eneo usiku kwaajili ya kurasimisha kiwanja changu nawezaje kupata ramani ya mipango miji ya eneo husika na gharama yake kupata ramani ni sh ngapi
  18. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Njia 8 Za Uhakika Za Kupata Wazo Linalolipa Kupitia Uwekezaji Wa Viwanja/Mashamba/Majengo

    Mwanaidi alipata wazo la kutafuta wateja wa kukodi shamba lake la ekari 10 baada ya kumiliki eneo hilo kwa muda mrefu bila kuingiza kiasi chochote. Eneo lake (Mwanaidi) lina uwezo wa kuingiza 500,000 kwa msimu wa kilimo. Ikiwa ataweza kupata wafugaji wa ng'ombe au mbuzi au samaki, kipato...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani wananchi wanaweza kupata msaada wa kisheria

    Nchi nyingi huwa na ofisi za huduma za kisheria zinazotoa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kulipia huduma za mawakili binafsi. Huduma hizi zinaweza kujumuisha ushauri wa kisheria, usuluhishi wa migogoro, na hata uwakilishi kisheria kwa mahakamani. Kuna mashirika mengi ya...
  20. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kukosa ulichokitaka na kupata ulichokitaka yote ni majanga

    Nimekaa nikatafakari endapo ningemkosa huyu mwanamke nilienae, huenda ningekua na mjuto kwa kuamini kulikua na chaguo zuri ambalo sijalipata. Lakini leo nimepata kile ambacho niliamini ndio kitu bora zaidi huku uhalisia ukipingana na nilichokua naamini.. Kweli pema usijapopema ukipema si...
Back
Top Bottom