kuondoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Hotuba Wizara ya Elimu: Tozo ya 6% kwenye mikopo ya Elimu kuondolewa Julai 1. Pia Serikali itaondoa tozo ya 10% kwa wanaochelewa kulipa mikopo yao

    Serikali itaondoa tozo ya asilimia sita ya kulinda thamani ya fedha katika urejeshaji wa mkopo kuanzia 1 Julai 2021, iliyokuwa inatozwa kwa wanufaika wa Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, ikiwa ni agizo la Rais Samia Suluhu Hassan Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichakob ameeleza bungeni kuwa...
  2. Analogia Malenga

    Malawi kuondoa hukumu ya kifo

    Mahakama kuu ya Malawi imeamua kuwa adhabu ya kifo ni kinyume cha katiba. Mahakama imesema kuwa hukumu ya kifo ipo kinyume na viwango vya kimataifa vya haki za binadamu, Hii ikimaanisha kuwa adhabu kubwa zaidi itakayotolewa nchini Malawi itakuwa hukumu ya kifungo cha maisha. Tume ya haki za...
  3. D

    Rais Samia abaki na Urais, Uenyekiti wa chama apewe mwingine ili kuondoa mkanganyiko

    Pamoja na kwamba ukiona mwana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi! Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais! Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi yao kichama, pia kama taifa tutasonga pamoja! Ifahamike kwamba Ili mwana CCM apitishwe kugombea...
  4. Idugunde

    Kuondoa ukiritimba kama uliopo Chadema sheria ya vyama vya siasa ibadilishwe hakuna kiongozi wa chama kuongoza zaidi ya miaka kumi

    Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu. Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka...
  5. D

    Mashirika na taasisi mmejipangaje na tahadhari ya kimbunga ili kuondoa usumbufu na hatari kwa wateja wenu?

    Matamko na Tahadhari zinapotolewa na wataalam; Serikali za kiafrika hasa Tanzania kumekuwa na kasumba ya baaadhi ya mamlaka/mashirika kujitoa kuwajibika ipasavyo kwa watu wake! Je, tahadhari hii ya kimbunga awamu hii Taasisi na mashirika mmejipangaje kupunguza hatari ya kimbunga kiafya na...
  6. Idugunde

    Wanaume wengi wamegeukia upigaji mitungi na kuachana na mademu ili kuondoa stress

    Wanawake wa siku hizi sio kama wa zamani. Zamani wanawake walikuwa na mapenzi ya kweli. Mtu alikuwa anakaa kwenye ndoa na mahusiano bila stress. Mtu alikuwa anatunza, anasomesha na kisha kuoa bila kukwazana. Siku hizi mambo yamebadilika sana. Watu wameamua kujidunga mitungi na kwenda homu...
  7. D

    Dawa ya kuondoa mvi kichwani

    Wandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
Back
Top Bottom